Tundu Lissu ndani ya BBC HARDtalk

Tundu Lissu ndani ya BBC HARDtalk

Yule mwana siasa nguri na mtu pekee aliyenusurika kupotezewa uhai wake na wabaya wake baada ya kupigwa risasi za kutosha amepona na sasa hivi yupo ktk studio za BBC nchini uingereza anaelezea kilicho mkuta. Mwenye macho na atazame

View attachment 995391

In God we Trust

======

Jana Lissu aikuwa BBC HARDtalk na Stephen Sackur. Interview itarushwa Jumatatu ijayo.

Aidha, alikuwa pia na Zuhura Yunus wa Idhaa ya Kiswahili. Kipindi kitarushwa kesho (Januari 16, 2019)
jiandaeni kukaa giza mpaka afajiri

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nilifikiri BBC- Muzungu kumbe BBC- house negroes? Hamna kitu hapo, targeted audience ni TZ, Kongo, Kenya na labda kidogo Burundi lkn wana yao BBC Kinyarwanda.

Hakuna Muzungu ataangalia huo ujinga!

Next, ...
Haya mambo ni mazito kulinganisha na uwezo wa akili yako. Achana nayo vinginevyo utazidi kuthibitisha umbumbumbu wako kama ulivyofanya hapa. Am certain 110% hujui hata Hardtalk iliyoongelewa ni nini.
 
Ametoa wapi hela za kujenga ofisi nzuri namna hii jimboni kwake alafu hela za kujengea makao makuu ya chama hana?

Mbowe acha usanii hela za jimbo badala ya kuzipeleka kwa wanachi kama Sugu anavyofanya wewe unazijengea ofisi ya mbunge kana kwamba utakuwa mbunge wa milele??

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
Mbona umechanganya madesa? Mbowe ameanza kuwa na hela wewe hujazaliwa? Mbona hujiulizi ana nyumba masaki, obey unashangaa ofisi, tena imejengwa Hai? Maskini wa kutupwa wewe. Hushangai nyumba ya Dr wa mihogo mbweni alipewa na Mbowe, hushangai ze propesa alisema akitingwa alikuwa anakimbilia kwa Mbowe, au hujamuuliza Zitto hadi nguo alikuwa ananunuliwa na Mbowe. Pole sana, mtaishia maisha duni kwa kushindana na karma. Hapa tunaongelea Mh TAL yupo in the house BBC London!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nilifikiri BBC- Muzungu kumbe BBC- house negroes? Hamna kitu hapo, targeted audience ni TZ, Kongo, Kenya na labda kidogo Burundi lkn wana yao BBC Kinyarwanda.

Hakuna Muzungu ataangalia huo ujinga!

Next, ...

Akitoka hapo anaingia HARDTALK wewe kilaza!

Hardtalk sio pa kisenge kabisa nyie kukuz!

Akipanda CNN,akaja kuibukia Alijazeera....

You clowns will dirt up your panths shitlessly!
 
Nilifikiri BBC- Muzungu kumbe BBC- house negroes? Hamna kitu hapo, targeted audience ni TZ, Kongo, Kenya na labda kidogo Burundi lkn wana yao BBC Kinyarwanda.

Hakuna Muzungu ataangalia huo ujinga!

Next, ...
Kwani kwenye hizo nchi ulizotaja akuna binadamu?

Ebu punguza ukubwa jinga kichwani mwako we k.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mbona umechanganya madesa? Mbowe ameanza kuwa na hela wewe hujazaliwa? Mbona hujiulizi ana nyumba masaki, obey unashangaa ofisi, tena imejengwa Hai? Maskini wa kutupwa wewe. Hushangai nyumba ya Dr wa mihogo mbweni alipewa na Mbowe, hushangai ze propesa alisema akitingwa alikuwa anakimbilia kwa Mbowe, au hujamuuliza Zitto hadi nguo alikuwa ananunuliwa na Mbowe. Pole sana, mtaishia maisha duni kwa kushindana na karma. Hapa tunaongelea Mh TAL yupo in the house BBC London!!

Sent using Jamii Forums mobile app
Mwongo mkubwa wewe, angekuwa na pesa angepanga NHC ?
Hahahaha jamaa fukara hana hata pesa za kumlipa wakili wake ana tembeza bakuli!
Hahahaha chadrama ovyo kabisa walahi
 
Hamna kipindi kibaya kama hiki . Trump hata washiriki zake hata kuwasaidia na sera zake hazina kipaumbele kwa Afrika. Hadi leo Marekani haina balozi Tanzania. UK inahangaika na Brexit. EU ina matatizo na Urusi, Brexit na kwa kifupi pale amebaki Mjerumani na Mfaransa ambao hawana ushawishi huku. Inabidi ajiulize kwanini yale matukio makubwa yalishindwa kushawishi hao wazungu na asipokiwa makini akifeli CCM watammaliza kisiasa.

..mwacheni Lissu aeleze yaliyomkuta.

..mwanasiasa yeyote aliyepata matatizo kama ya Mh.Lissu lazima atatafutwa na vyombo mbalimbali vya habari ili wamhoji.

..wanaostahili lawama ni MAGAIDI waliomshambulia, na siyo Mh.Lissu anayeeleza mateso aliyopitia.
 
Wasiompenda watazima TV zao maana Mungu kawaumbua mazima,mwenye record ya Lisu ya kitu chochote alichoanzisha huyu mh akashindwa atuwekee hapa kama kumbukumbu,nijuavyo Mimi kwa uelewa wangu hajawahi kushindwa hivyo hata wabaya wake wakatili kama mawe wameshindwa swali ni je nia yake ya kuwania kiti cha ukuu atashindwa?
 
Back
Top Bottom