Tundu Lissu ndani ya BBC HARDtalk

Tundu Lissu ndani ya BBC HARDtalk

Mwambie kuwa muungwana ni vitendo na roho mbaya haijengi
Wewe unaombea mabaya tuu kwa Lissu huku unamuombea mema mama bibi yenu aliye Muhimbili. Hapo unadhani maombi yenu yatasikiwa?
BTW vipi Hali yake inaendeleaje? Sisi tunamuombea kheri

In God we Trust
 
Wasiompenda watazima TV zao maana Mungu kawaumbua mazima,mwenye record ya Lisu ya kitu chochote alichoanzisha huyu mh akashindwa atuwekee hapa kama kumbukumbu,nijuavyo Mimi kwa uelewa wangu hajawahi kushindwa hivyo hata wabaya wake wakatili kama mawe wameshindwa swali ni je nia yake ya kuwania kiti cha ukuu atashindwa?
 
Hakuna chama hovyo kama ccm
Mwongo mkubwa wewe, angekuwa na pesa angepanga NHC ?
Hahahaha jamaa fukara hana hata pesa za kumlipa wakili wake ana tembeza bakuli!
Hahahaha chadrama ovyo kabisa walahi

In God we Trust
 
Lissu hajui neno kushindwa
Wasiompenda watazima TV zao maana Mungu kawaumbua mazima,mwenye record ya Lisu ya kitu chochote alichoanzisha huyu mh akashindwa atuwekee hapa kama kumbukumbu,nijuavyo Mimi kwa uelewa wangu hajawahi kushindwa hivyo hata wabaya wake wakatili kama mawe wameshindwa swali ni je nia yake ya kuwania kiti cha ukuu atashindwa?

In God we Trust
 
Siteseki nawaonea imani mnavyohangaika kuuza bidhaa isiyouzika, I mean labda hiyo nguvu mngeiwekeza hapa nyumbani ingewaongezea hata idadi ya Wabunge/ Madiwani, huyo Tundu Lisu atafilisi tu lkn hatoleta jipya!
yaani ungejijua unachokiongea Mungu anakuona na anakusikia ulivojaza unafiki moyoni mwako bila kujua unapata faida gani weweLOFA pamoja na vibaraka wenzio mlioombea LISSU Akutwe na umauti. lakini utambue tu kuwa SHETANI KAMWE HAWEZI SHINDANA NA MUNGU.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yule mwana siasa nguri na mtu pekee aliyenusurika kupotezewa uhai wake na wabaya wake baada ya kupigwa risasi za kutosha amepona na sasa hivi yupo ktk studio za BBC nchini uingereza anaelezea kilicho mkuta. Mwenye macho na atazame

View attachment 995391

In God we Trust

======

Jana Lissu aikuwa BBC HARDtalk na Stephen Sackur. Interview itarushwa Jumatatu ijayo.

Aidha, alikuwa pia na Zuhura Yunus wa Idhaa ya Kiswahili. Kipindi kitarushwa kesho (Januari 16, 2019)
Kwa hiyo tufanyeje,HARDtalk inafanywa na watu mbalimbali mkuu ni kipindi tu kama kilivyokuwa Kiti Moto cha Pascal Mayala
 
Atamaliza kuongea afu wazungu watajua ujinga wake mwanzo mwisho. Badae watamtumia kama toilet pepa afu watamtupilia mbali na maisha yataendelea. Naihauri Serikali iachane nae ifanye mambo mengine wala isimjibu.
 
Sasa mbona nasikia mshaanza kukimbilia chini ya kitanda kuficha sura zenu?
Kwa hiyo tufanyeje,HARDtalk inafanywa na watu mbalimbali mkuu ni kipindi tu kama kilivyokuwa Kiti Moto cha Pascal Mayala

In God we Trust
 
Mwongo mkubwa wewe, angekuwa na pesa angepanga NHC ?
Hahahaha jamaa fukara hana hata pesa za kumlipa wakili wake ana tembeza bakuli!
Hahahaha chadrama ovyo kabisa walahi
Kumbe wewe ni kiazi hakuna mfano, na inapaswa wenye akili kuku ignore maana ni upumbavu kujibishana nawe
 
Ametoa wapi hela za kujenga ofisi nzuri namna hii jimboni kwake alafu hela za kujengea makao makuu ya chama hana?

Mbowe acha usanii hela za jimbo badala ya kuzipeleka kwa wanachi kama Sugu anavyofanya wewe unazijengea ofisi ya mbunge kana kwamba utakuwa mbunge wa milele??

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
niambie uliona wapi binaadam akaweka maisha kwenye kambi ya fisi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Vipi nasikia mliwapigia magoti mabeberu juzi?
Atamaliza kuongea afu wazungu watajua ujinga wake mwanzo mwisho. Badae watamtumia kama toilet pepa afu watamtupilia mbali na maisha yataendelea. Naihauri Serikali iachane nae ifanye mambo mengine wala isimjibu.

In God we Trust
 
Nilifikiri BBC- Muzungu kumbe BBC- house negroes? Hamna kitu hapo, targeted audience ni TZ, Kongo, Kenya na labda kidogo Burundi lkn wana yao BBC Kinyarwanda.

Hakuna Muzungu ataangalia huo ujinga!

Next, ...
Ona aibu kuandika hilo neno NEGRO. Ni tusi kwa mtu mweusi. Pia HARD TALK siyo ya BBC swahili.
 
Back
Top Bottom