Tundu Lissu ndani ya BBC HARDtalk

Tundu Lissu ndani ya BBC HARDtalk

Hamna kipindi kibaya kama hiki . Trump hata washiriki zake hata kuwasaidia na sera zake hazina kipaumbele kwa Afrika. Hadi leo Marekani haina balozi Tanzania. UK inahangaika na Brexit. EU ina matatizo na Urusi, Brexit na kwa kifupi pale amebaki Mjerumani na Mfaransa ambao hawana ushawishi huku. Inabidi ajiulize kwanini yale matukio makubwa yalishindwa kushawishi hao wazungu na asipokiwa makini akifeli CCM watammaliza kisiasa.
Mdharau mwiba na matokeo yake tumekwisha anza kuyaona

In God we Trust
 
Safi sana.

Kwakweli stataka nipitwe katika Mahojiano yake na Stephen sackur Hardtalk.

Stephen sackur yupo njema sana katika kuuliza maswali na huwa anafanya utafiti mkubwa sana kabla ya mahojiano.

Kutokana na Maswali ya Stephen naamini nitapata Mambo mengi ya kujifunza kutoka kwa kaka yangu Tundu lissu.


Matteo Salvini the Deputy Prime Minister-Italy alipata kuingia hard talk,Nilijifunza Mengi.


Kama kuna upatikanaji wa BBC nadhani ni jambo zuri tukiitazama Hardtalk Stephen sackur vs Tundu lissu.


Saizi Hardtalk ipo hewani.

Stephen yupo na Writer Jonathan Coe.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa Habari hii tayari kuna watu boxer zao zimeshaanza kupata unyevunyevu.
Unaweza ukawa right lakini pia unaweza kuwa wrong. Tumeshawaona wengi wakienda hapo HardTalk tena siyo ya steven Sackar unakumbuka mauaji ya Zanzibar?? Mkapa alihojiwa na nguli wa HardTalk kabla ya Stephen Sackur mtu anaitwa Tim Sebastian. watu tulifikiri yatakua kama unavyofikiria leo.
 
Nilifikiri BBC- Muzungu kumbe BBC- house negroes? Hamna kitu hapo, targeted audience ni TZ, Kongo, Kenya na labda kidogo Burundi lkn wana yao BBC Kinyarwanda.

Hakuna Muzungu ataangalia huo ujinga!

Next, ...
Hahahaha
Jamaa ataangusha mguu mwingine huko huko asipo angalia na atatoka kapa kapa walahi
 
Back
Top Bottom