mfianchi
Platinum Member
- Jul 1, 2009
- 11,925
- 8,444
BBC Africa inasikika Afrika tu mkuu huko majuu watu hawana time na hizi news za Afrika ni malimbukeni tu wa huku ndio hufuatilia hizo news.Majuu watu wanaangalia tu ''utabiri wa hali ya hewa''kama leo kutakuwa na ice ,storm au barabara ina traffic jam n.k.Lissu anamjua tu huyo Kikeke,huyo dada na akina KipanyaNilifikiri BBC- Muzungu kumbe BBC- house negroes? Hamna kitu hapo, targeted audience ni TZ, Kongo, Kenya na labda kidogo Burundi lkn wana yao BBC Kinyarwanda.
Hakuna Muzungu ataangalia huo ujinga!
Next, ...
