Tundu Lissu na Spika Anna Makinda ndani ya DISKO

AAAh mama Semamba kumbe wamo kwa kulisaka Rumba, Siasa si ugomvi jamani nikupingana ktk sera na si chuku km walivyomfanyia Tido Mhando
 
Kumbe mama akiwa nje ya mjengo yuko poa namna hiyo? Sasa kinachompagawisha kiasi hicho akifika mjengono ni nini? Kila saa tu utamskia: Lindu Lisu Kaa chini!!

Tatizo akiwa mjengoni muda wote amekunja sura hasa akiona Lissu anaomba muongozo. Angalia kumbe akicheka anapendeza hivi!! yaani anaonekana bado anadai kabisa. Labda na yale manguo ya mjengoni yanamzeesha.
 
huyo dingi anaeduwaaduwaa hapopembeni haamini
kama musupuu yake umebebwa na yankii
anatafakari apigane makomfuu au????????
af mommy imnaelekea kiduku kimo
lool au anacheza kikwao?



Kaimu Kiongozi wa Upinzania Bungeni Mhe Tundu Lissu (Mb)-Chadema Kushoto akiwayarudi Mangoma na Spika wa Bunge La Jamhuri ya Muuungano wa Tanzania Mhe. Anne Makinda hivi karibuni.
 
Wacha wapumzike bwana ile tension ya pale mjengoni siyo mchezo. Hapa wanajisahaulisha kidogo then business as usual. Ila sijajua kama mke wa LISSU akiona hii atakuwa na kifua namna gani kutokuwa na hisia vibaya.
Unajua hata ile kesi inamsumbua huyu mama na inabidi atafute fursa kama hii amwambie Lissu bwana yale mambo hebu yaishe bwana!!!!!!!!!!!!
 
Baada ya kazi ngumu ya kujibishana mjengoni, wameamua kutoka out kwa burudani kidogo.
 

Kaimu Kiongozi wa Upinzania Bungeni Mhe Tundu Lissu (Mb)-Chadema Kushoto akiwayarudi Mangoma na Spika wa Bunge La Jamhuri ya Muuungano wa Tanzania Mhe. Anne Makinda hivi karibuni.
kweli siasa maana yake ni siasa
 
Back
Top Bottom