Tundu Lissu na Spika Anna Makinda ndani ya DISKO | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Tundu Lissu na Spika Anna Makinda ndani ya DISKO

Discussion in 'Jamii Photos' started by Kivumah, Jul 8, 2011.

 1. Kivumah

  Kivumah JF-Expert Member

  #1
  Jul 8, 2011
  Joined: Jan 7, 2008
  Messages: 2,413
  Likes Received: 56
  Trophy Points: 145
  [​IMG]
  Kaimu Kiongozi wa Upinzania Bungeni Mhe Tundu Lissu (Mb)-Chadema Kushoto akiwayarudi Mangoma na Spika wa Bunge La Jamhuri ya Muuungano wa Tanzania Mhe. Anne Makinda hivi karibuni.
   
 2. Kivumah

  Kivumah JF-Expert Member

  #2
  Jul 8, 2011
  Joined: Jan 7, 2008
  Messages: 2,413
  Likes Received: 56
  Trophy Points: 145
  ...Jaribu kufikiria Lissu anamwambia nini Mama Makinda mpaka ana smile. mmmhhh
   
 3. L

  Lubaluka JF-Expert Member

  #3
  Jul 8, 2011
  Joined: May 18, 2009
  Messages: 496
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  Baada ya kazi ngumu, kuburudika muhimu !!!!!! Haaaaa !!
   
 4. 2hery

  2hery JF-Expert Member

  #4
  Jul 8, 2011
  Joined: May 27, 2011
  Messages: 3,551
  Likes Received: 2,063
  Trophy Points: 280
  nimeipenda hii,hebu tuwarudishe pale mjengoni
   
 5. CAMARADERIE

  CAMARADERIE JF-Expert Member

  #5
  Jul 8, 2011
  Joined: Mar 3, 2011
  Messages: 4,427
  Likes Received: 159
  Trophy Points: 160
  Huyu mama si amefiwa na mzazi wake majuzi? na bado anakula black?.....sasa kiafrika ni sahihi kurumba?
   
 6. BPM

  BPM JF-Expert Member

  #6
  Jul 8, 2011
  Joined: Mar 10, 2011
  Messages: 2,766
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 135
  hapo kweli kazi ni kazi na burudani unaweka kazi pembeni hahahahaha
   
 7. Bundewe

  Bundewe JF-Expert Member

  #7
  Jul 8, 2011
  Joined: Jun 14, 2011
  Messages: 401
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Anampiga saundi, si unacheki mama anavyochekacheka
   
 8. M

  MAMENGAZI JF-Expert Member

  #8
  Jul 8, 2011
  Joined: Dec 31, 2010
  Messages: 781
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 35
  Lisu ameomba muongozo kweli!!? kibao kisijegeuka maana mama hatabiriki
   
 9. Meritta

  Meritta JF-Expert Member

  #9
  Jul 8, 2011
  Joined: Apr 26, 2011
  Messages: 1,304
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  kwa raha zao hapo
   
 10. M

  MAMENGAZI JF-Expert Member

  #10
  Jul 8, 2011
  Joined: Dec 31, 2010
  Messages: 781
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 35
  Babu mwenye suti nyeusi hapo anataka kuibia maufundi ya lisu si unaona anavyojiandaa ku copy and paste?
   
 11. Rugas

  Rugas JF-Expert Member

  #11
  Jul 8, 2011
  Joined: Jan 8, 2009
  Messages: 1,053
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
   
 12. Mshume Kiyate

  Mshume Kiyate JF-Expert Member

  #12
  Jul 8, 2011
  Joined: Feb 27, 2011
  Messages: 6,774
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  Nawasiwasi na Tundu Lissu anaweza kuwa anapumzika hapo, kwenye kikao cha bunge anayeyusha tu kuwa mkali.sisi watu wazima bwana
   
 13. B

  Bajabiri JF-Expert Member

  #13
  Jul 8, 2011
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 9,755
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 0
  Sitoacha kuomba muongozo......naomba uwe unanilinda mama
   
 14. B

  Bajabiri JF-Expert Member

  #14
  Jul 8, 2011
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 9,755
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 0
  Hahahahhaaaaaa........ah.....nipo kwenye daladala hapa nacheka sana,kweli bhana mtu mzima hadanganywi kwa pip
   
 15. B

  Bajabiri JF-Expert Member

  #15
  Jul 8, 2011
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 9,755
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 0
  Sure.....hahahahaaaaaaa,
   
 16. b

  bia JF-Expert Member

  #16
  Jul 8, 2011
  Joined: Feb 9, 2011
  Messages: 258
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  ila waheshimiwa hawa wanakula raha dunian,huwez kufa mapema hapa kama hela ndo kila ki2 bs wafaje,utakaa mpaka 70 nenda juu ila kwa mlalahoi haya mangoma apate waapi,ataisikia 2 akudo
   
 17. gmosha48

  gmosha48 JF-Expert Member

  #17
  Jul 8, 2011
  Joined: Oct 19, 2010
  Messages: 1,960
  Likes Received: 500
  Trophy Points: 280
  Kumbe mama akiwa nje ya mjengo yuko poa namna hiyo? Sasa kinachompagawisha kiasi hicho akifika mjengono ni nini? Kila saa tu utamskia: Lindu Lisu Kaa chini!!
   
 18. Njowepo

  Njowepo JF-Expert Member

  #18
  Jul 8, 2011
  Joined: Feb 26, 2008
  Messages: 9,296
  Likes Received: 381
  Trophy Points: 180
  Lissu kanyuka koti la thuti na jeans kazi kweli kweli!unaweza kuta anamwambia mama nawe huwa unawabeba wazee wa magamba!
   
 19. kichomiz

  kichomiz JF-Expert Member

  #19
  Jul 8, 2011
  Joined: Feb 28, 2011
  Messages: 12,026
  Likes Received: 2,673
  Trophy Points: 280
  Wakuu hivi hilo wigi la huyo mama,limechomelewa kabisa kichwani?
   
 20. KakaKiiza

  KakaKiiza JF-Expert Member

  #20
  Jul 8, 2011
  Joined: Feb 16, 2010
  Messages: 10,548
  Likes Received: 2,273
  Trophy Points: 280
  Maza ana hips simchezo kumbe analipa tundu mtundu anaweza kupitanaye zamani!!!wanapenda damu changa na wao
   
Loading...