Tundu Lissu na Aboud Jumbe

Tundu Lissu na Aboud Jumbe

Sababu za Humudi kumuua father K nimeeleza hapo juu.

Kuhusu wake zake kwa ninaowakumbuka mimi ni kama wafuatao:
1. Fatma Karume mama yao Amani na Ali
2. Moza Nassor (marehemu) kutoka Ole Pemba (muarabu na hakubahatika kupata mtoto)
3. Nasreen (muhindi ithnasheri) wa Unguja mama yake Ahsa Karume
4. Fadya (muarabu) wa Unguja mama yake Asha Karume
5. Helemu (muarabu) wa Wete Pemba mama yake Ahadi Karume.

Inasemekana huyu first lady alikuwa tayari amepewa talaka ila hakuna uthibitisho.

Ni wengi hatuifahamu historia ya Zanzibar. Kwa haraka haraka ninaelewa ni kwa nini CCM hawataki Zanzibar ijitenge. Ni kwa nia njema nadhani. Series of events are not favourable to Zanzibaris kuwa na serikali yao wenyewe. Pasco kuna ubaya gani kwani siku ukimwona Anna Mkapa ameshiriki shindano la BIBI BOMBA?
 
Last edited by a moderator:
Sababu za Humudi kumuua father K nimeeleza hapo juu.

Kuhusu wake zake kwa ninaowakumbuka mimi ni kama wafuatao:
1. Fatma Karume mama yao Amani na Ali
2. Moza Nassor (marehemu) kutoka Ole Pemba (muarabu na hakubahatika kupata mtoto)
3. Nasreen (muhindi ithnasheri) wa Unguja mama yake Ahsa Karume
4. Fadya (muarabu) wa Unguja mama yake Asha Karume
5. Helemu (muarabu) wa Wete Pemba mama yake Ahadi Karume.

Inasemekana huyu first lady alikuwa tayari amepewa talaka ila hakuna uthibitisho.
Mkuu Binti Mkwengwe, asante kwa taarifa hii ila inatofautiana na taarifa za awali, nimelituma hili jibu kule kunakohusika

Asante.
Pasco
 
sasa NDUGU BINTI WA SIKU NYINGI HEBU TUELEZE HUYO ALIYEPEWA TALAKA ALIKUWA MKEWE AU TAYARI ILISHAKUWA HARAMU ? KAMA VIPI ANYANG'ANYWE HAKI ZOTE TULIZOMPA .
 
sasa NDUGU BINTI WA SIKU NYINGI HEBU TUELEZE HUYO ALIYEPEWA TALAKA ALIKUWA MKEWE AU TAYARI ILISHAKUWA HARAMU ? KAMA VIPI ANYANG'ANYWE HAKI ZOTE TULIZOMPA .

Hakuna mwenye uthibitisho ila wao wenyewe wahusika. Hayo yalikuwa maneno yanazungumzwa ila ukipiga hesabu utakuta alishavuka wale wanne walioruhusiwa na dini ya kiislamu.
 
Sababu za Humudi kumuua father K nimeeleza hapo juu.

Kuhusu wake zake kwa ninaowakumbuka mimi ni kama wafuatao:
1. Fatma Karume mama yao Amani na Ali
2. Moza Nassor (marehemu) kutoka Ole Pemba (muarabu na hakubahatika kupata mtoto)
3. Nasreen (muhindi ithnasheri) wa Unguja mama yake Ahsa Karume
4. Fadya (muarabu) wa Unguja mama yake Asha Karume
5. Helemu (muarabu) wa Wete Pemba mama yake Ahadi Karume.

Inasemekana huyu first lady alikuwa tayari amepewa talaka ila hakuna uthibitisho.

duh hiyo list hapo naona mzee karume alikuwa anapenda zaidi watoto wa kiarab tu...
 
Mkuu Rich Pol kwa kamba, nimekukubali!

Mkuu Mzito Kabwela sina sababu yoyote ya kudanganya umma! Mtu alieniambia issue hii ni mkubwa, mtu mzima sasa pia ni mzanzibar, uliza chanzo cha machafuko Zanzibar kilichopelekea Jumbe kujihuzuru kwa hiari yake utaambiwa.
 
Last edited by a moderator:
Katika watu ninaowaheshimu hapa jf ni pamoja na wewe Kiranga. Taarifa niliyonayo ni kuwa hiyo historia wamei-spin

Weka hiyo waliyo i spin weka na hiyo ya taarifa uliyonayo ambayo siyo ya ku spin, tujichambulie wenyewe, pengine hiyo taarifa uliyonayo ndiyo haiko sawa, tutajuwaje?
 
hatutaki kupotoshwa nimekuwa nikisema lissu ni mpotoshaji watu wamekuwa hawanielewi´.....mikutano mingi ya hadhara lisu huwa anaseña si muumini wa mwalimu,kampeni zake,na hata ndani ya bunge na juzi bunge la katiba...kwasababu anachukia villagelization sasa hata kama yeye hapendi si busara kuendelea kupotosha uma....nitampinga lissu hadi kifo changu kwa sababu ni mchochezi na mtu asie na mapenzi mema na taifa letu.

Mapenzi ni kuyachukuwa ya Mwalimu hata yaliyokuwa mabaya? ambayo yeye mwenye alitamka kuwa yeye si malaika na kuna aliyokosea tuyaache.

Fafanua.
 
duh hiyo list hapo naona mzee karume alikuwa anapenda zaidi watoto wa kiarab tu...
Ndio Ndoto za mwisho za watumwa wa waaarabu.Na waarabu nao wanaonekana hawakumpenda wala mbegu yake.huko kutozaa kunaweza kuwa ni makusudi.Hii inaonyesha failure ya kifikra ya hawa jamaa.
 
Pasco kuna ubaya gani kwani siku ukimwona Anna Mkapa ameshiriki shindano la BIBI BOMBA?
Mkuu Mzito K, the motive behind Bibi Bomba ilikuwa ni kushindania kupata TZS 1,000,000!. Ukisikia Mama Mkapa anaingia kwenye shindano la urembo wa uzee kutafuta 1M!, lazima ujiulize?, ndipo nikatoa taarifa hii,[h=3]Mke wa "President"Ashiriki Shindano Clouds![/h] kisha nikauliza hivi [h=3]Je, Abedi Amani Karume alikuwa na Wake Wangapi?.[/h]
Kwanza nilijibiwa 3, kisha nikajibiwa 5, kisha 6, nikichuja kwa majina yote yaliyokuja nilipata hesabu ya 8 na hapo ndipo angalau unaweza kuelewa kwa nini mke wa rais adhalilike kusaka TZS.1M!.
Pasco
 
Hauwezi kujenga hoja mpaka utukane mbona ccm wana sera ya serikali mbili na rasimu ya katiba ni serikali tatu.mbona wa tz tunapoteza ustaarab wetu!By=Mkandara;10190600]Msikilize mpuuzi huyu (Maalim Seif) anazungumzia sera ktk maswala ya sheria mama - Katiba! ati akimsingizia mwalimu alisema chama kinaweza kuwa na sera yake juu ya serikali asijue kwamba uendeshaji wa serikali ni swala la kisera lakini muundo wa serikali ni swala la Mkataba (artical of Union) na Kikatiba ambalo halina Uchama na zaidi ya hapo ni swala la maamuzi ya wananchi sio chama. Chama kinaweza kupingana na muundo wa serikali kama itikadi yao lakini sio kila chama kiwe na sera ya muundo wa serikali yake pindi kikiingia madarakani, hiyo katiba itaandikwa mara ngapi?.[/QUOTE]
 
Siyo BAN ya kuongea tu bali histoia yake yote imefutwa na wala hayumo miongoni mwa marais wastaafu.Hiyo ndiyo ccm bana.
Mkuu hivi kwa nini wasimrudishe uraiani huyu mzee? Kwani kosa gani kubwa alilofanya zaidi ya hawa mafisadi wanaotamba uraiani hadi wanataka kugombea Urais?
 
Mkuu Mzito K, the motive behind Bibi Bomba ilikuwa ni kushindania kupata TZS 1,000,000!. Ukisikia Mama Mkapa anaingia kwenye shindano la urembo wa uzee kutafuta 1M!, lazima ujiulize?, ndipo nikatoa taarifa hii,[h=3]Mke wa "President"Ashiriki Shindano Clouds![/h] kisha nikauliza hivi [h=3]Je, Abedi Amani Karume alikuwa na Wake Wangapi?.[/h]
Kwanza nilijibiwa 3, kisha nikajibiwa 5, kisha 6, nikichuja kwa majina yote yaliyokuja nilipata hesabu ya 8 na hapo ndipo angalau unaweza kuelewa kwa nini mke wa rais adhalilike kusaka TZS.1M!.
Pasco
Kiranga na Pasco na FaizaFoxy, kwa nini sasa mzee Jumbe harudishwi uraiani na harudi kwao? Kigamboni ndio amefika hapo hadi mauti imfike?
 
Last edited by a moderator:
Mkuu Binti Mkwengwe, asante kwa taarifa hii ila inatofautiana na taarifa za awali, nimelituma hili jibu kule kunakohusika

Asante.
Pasco

By Pasco,
Wanabodi,
Mwanamke kutoka Zanzibar kwa jina la Bi Nasra, aliyejitambulisha kama mke wa kwanza wa president wa kwanza wa Zanzibar, anashiriki shindano la Bibi Bomba la Clouds FM!.

Mwanamke huyo emedai kufanikiwa kupata mtoto mmoja na rais huyo wa kwanza na kusema yupo na mtoto yupo!.

Kwa wale wajuzi wa mambo ya Zanzibar, jee ni kweli president wa kwanza wa Zanzibar alikuwa na mke mkubwa?. Kama ni kweli, is it proper kwa mke wa president kushiriki shindano na kujiexpose kuwa yeye alikuwa ndiye mke wa kwanza wa president wa kwanza?!.

Namfahamu huko Zanzibar kuna mtoto wa nje wa Sultan aliyezaa na mjakazi wa mkewe na baada ya kupata ujauzito ikafanywa siri kubwa kumuozesha huyo mjakazi haraka haraka kabla siri haijafichuka!. Mwana mfalme huyo yupo na amejinyamazia kimya!.

Kama ni kweli rais wa kwanza wa Zanzibar atakuwa alikuwa na mke mkubwa, basi urais Zanzibar haushi vibwanga!.

Kimbwanga kingine ni kuna watoto wawili wa kiume wa rais, kaka mkubwa akawa rais kwa kipindi cha miaka 10, alipokaribia kumaliza mdogo mtu nae akautaka urais, akashauriwa yeye asigombee kwa sababu aliyemaliza ni kaka yake wa damu, hivyo urais wa Zanzibar ungeonekana kama usultani!. Mdogo mtu aligoma kujitoa kwa hoja kuwa mtoto halali wa rais aliyepaswa kuchukua urais ni yeye!, eti kakaye ni mtoto wa kufikia!

Visa vya marais wa Zanzibar havikuishia hapo. Kuna rais mmoja mpenda warembo, ila alikuwa akioa na kuacha, alipoa mke wa 5, aliporwa huyo mke na rafiki yake ambaye alikuwa ni rais wa nchi nyingine hapa hapa barani Afrika. Sasa ana mke wa 6 na ndio katulia kutokana na umri
 
Last edited by a moderator:
Hivi huyo mheshimiwa si bado yuko hai,kwa nini hapewi fursa ya kuelezea mtazamo wake hadharani?Ningejisikia faraja siku moja akihojiwa na wanahabari juu ya kilichotokea hata akapewa "life ban".

Huyu mzee anaishi kigamboni,mbona ameshaeleza nini kimetokea kwenye vitabu vyake,Tundu Lissu anakuwa ana "quote" vitabu vyake Jumbe anapomzungumzia Jumbe haruhusiwi hata kwenda kwao zanzibar.......laana tu llah CCM
 
Back
Top Bottom