Sii wengi wanaozungumzia sababu ya Karume kumuua baba yake Humudi, ila habari zisizothibitishwa zinaeleza kuwa Baba yake Hamud ni asili ya Kiarabu, Karume akamhitaji binti yake aolewe kinguvu na mmatumbi, Baba Mtu akagoma, Karume akamuua Baba na kumtwaa binti kinguvu, akamuoa, akamzalisha kisha kumtelekeza!,hivyo Hamudi alikuwa ni shemeji yake Karume!.
Niliwahi kusikia mama mmoja akihojiwa Clouds alijitaja yeye ni mke wa rais, niliuliza humu,
Mke wa "President"Ashiriki Shindano Clouds!.
Wanzanzibar, hawakujibu chochote.
Baadaye nikasoma mahali humu humu jf kuwa Karume alikuwa na wake 6!, nikauliza humu
Je, Abedi Amani Karume alikuwa na Wake 6?!, sikujibiwa!.
Pasco