Tundu Lissu na Aboud Jumbe

Tundu Lissu na Aboud Jumbe

By Pasco,
Wanabodi,
Mwanamke kutoka Zanzibar kwa jina la Bi Nasra, aliyejitambulisha kama mke wa kwanza wa president wa kwanza wa Zanzibar, anashiriki shindano la Bibi Bomba la Clouds FM!.

Mwanamke huyo emedai kufanikiwa kupata mtoto mmoja na rais huyo wa kwanza na kusema yupo na mtoto yupo!.

Kwa wale wajuzi wa mambo ya Zanzibar, jee ni kweli president wa kwanza wa Zanzibar alikuwa na mke mkubwa?. Kama ni kweli, is it proper kwa mke wa president kushiriki shindano na kujiexpose kuwa yeye alikuwa ndiye mke wa kwanza wa president wa kwanza?!.

Namfahamu huko Zanzibar kuna mtoto wa nje wa Sultan aliyezaa na mjakazi wa mkewe na baada ya kupata ujauzito ikafanywa siri kubwa kumuozesha huyo mjakazi haraka haraka kabla siri haijafichuka!. Mwana mfalme huyo yupo na amejinyamazia kimya!.

Kama ni kweli rais wa kwanza wa Zanzibar atakuwa alikuwa na mke mkubwa, basi urais Zanzibar haushi vibwanga!.

Kimbwanga kingine ni kuna watoto wawili wa kiume wa rais, kaka mkubwa akawa rais kwa kipindi cha miaka 10, alipokaribia kumaliza mdogo mtu nae akautaka urais, akashauriwa yeye asigombee kwa sababu aliyemaliza ni kaka yake wa damu, hivyo urais wa Zanzibar ungeonekana kama usultani!. Mdogo mtu aligoma kujitoa kwa hoja kuwa mtoto halali wa rais aliyepaswa kuchukua urais ni yeye!, eti kakaye ni mtoto wa kufikia!

Visa vya marais wa Zanzibar havikuishia hapo. Kuna rais mmoja mpenda warembo, ila alikuwa akioa na kuacha, alipoa mke wa 5, aliporwa huyo mke na rafiki yake ambaye alikuwa ni rais wa nchi nyingine hapa hapa barani Afrika. Sasa ana mke wa 6 na ndio katulia kutokana na umri

Raisi wa kwanza wa zanzibar umekusudia hayati Abeid Amani Karume(R.I.P),kama mke wa kwanza wa president wa kwanza wa Zanzibar, anashiriki shindano la Bibi Bomba la Clouds FM! hayo yatakuwa maajabu mke wa pili Fatma Karume unamuona hali yake sasa huyo wa kwanza atakuwa hali gani hivi sasa,,,,naona atashinda hayo mashindano si unajua wazanzibari wanakula sana nazi hawazeeki 🙂
 
Mkuu Mkandara

Hata Mimi si mkubwa kiumri, wakati ule mkishusha nondo humu na kina Kyoma Mimi ndo kwanza nilikuwa naingia chuo Kikuu, tofauti na hawa vijana wa sasa Hata sikuona haja ya kuwa na Akaunti humu Bali nlikuwa mwanafunzi wenu mzuri Sana.

Vijana wa sasa hawataki kujifunza, maana suala la elimu halina umri, wao wamejikita kwenye kubishana tu na kubeba uzushi wa kila Mwanasiasa.

Katika Kitabu Kipya cha Profesa Saida Yahya-Othman kiitwacho "Yes in My Lifetime: Selected Works of Haroub Othman" pia amemuelezea kiasi Jumbe, hakuwa 'A saint' Kama anavyonadiwa na Tundu Lissu.

Na hawa kina Lissu wanaoyaibua haya hawaelezi kwa undani kuhusu 'Mahakama za Kangaroo' na 'Kanda za Kiroboto' za Jumbe zilizomfanya yamfike ya kumfika. Wanawaharibu Sana hawa vijana

they dont do their assignments well......wao ni kubisha tu na kutoa matusi, sijajua wana JF wangapi siku hizi wanasoma vitabu kwa kuwa influenced na baadhi ya topics humu, au kusoma majarida kuja kujibu hoja

so sad siku hizi
 
Nimemsikia Shujaa Tundu Lissu mara kwa mara akihusisha Muungano na Kuwekwa kizuizini Aboud Jumbe.

Eti Nyerere, mwasisi wa CCM ndie aliyempiga BAN mzee Jumbe.

Mohamed Said na Yericko Nyerere na Pasco naombeni mje hapa tuungane na wadau wengine tuwekewe ukweli huu hasa kwa kizazi cha 1980's ambao wengi hawajui nini kilitokea kwa Jumbe na kwa nini Tundu Lissu ameishikia bango sana hiyo

hivi huyu mental case, ushujaa wake ni nini katika ubongo na maisha yako??
 
Kiranga na Pasco na FaizaFoxy, kwa nini sasa mzee Jumbe harudishwi uraiani na harudi kwao? Kigamboni ndio amefika hapo hadi mauti imfike?
Wee serikali tatu, sasa unatuuliza sisi kwani sisi ndio nani?.
Kwa taarifa tuu, kwani hapo Mjimwema alipo ni kwa nani?, uraoani kupi zaidi ya hapo alipo?! au umeambiwa ni gerezani?, arudishwe kwake Kigamboni, ipi?!.

Pasco
 
Mkuu Wabe, ushujaa ni relative, TL ni mmoja wa makamanda mashujaa wa CDM!. Hata Osama nae pia alikuwa shujaa kwa wengine!.
Pasco

Ni kweli mkuu Pasco. Hata Lowassa na Richmond yake ni shujaa kwako.
 
Last edited by a moderator:
Wee serikali tatu, sasa unatuuliza sisi kwani sisi ndio nani?.
Kwa taarifa tuu, kwani hapo Mjimwema alipo ni kwa nani?, uraoani kupi zaidi ya hapo alipo?! au umeambiwa ni gerezani?, arudishwe kwake Kigamboni, ipi?!.

Pasco

Pasco umetanguliza jazba. Nadhani serikali tatu amemaanisha kwa nini mzee Jumbe haishi kwao Zanzibar anaishi Bara? Kizuizi ni kipi cha kurudi hiko Zanzibar
 
Last edited by a moderator:
Ni kweli mkuu Pasco. Hata Lowassa na Richmond yake ni shujaa kwako.

umeona hee..kwa hiyo TL anamhusu yuleyule sisi wengine is just a waste


nadhani JK ndio anatakiwa kusema kila siku EL shujaa wa maisha yake, sio Pasco


Lowassa, Richmond yake si ndio hii mnatumia kufulia umeme?? na Obama akaja kubariki??
 
Anaemuona tundu lissu anaakili basi yeye ni zaid.hivi hamjui tundu lisu ni mteja wa mirembe
 
Mkuu Waberoya

Kumbe bado Umo?, namis zile nondo zako za wakati ule mkuu. Na wale wakuu wengi wa zamani kina Mwawado, MM na wengineo.
 
Ndio Ndoto za mwisho za watumwa wa waaarabu.Na waarabu nao wanaonekana hawakumpenda wala mbegu yake.huko kutozaa kunaweza kuwa ni makusudi. Hii inaonyesha failure ya kifikra ya hawa jamaa.

Sidhani kama itakuwa sahihi kusema hivyo, mbona wengine wamezaa nae? Fadya, Nasreen, Helemu na Bi Fatma mwenyewe. Inawezekana yule mmoja ilikuwa ni bahati mbaya tu.
 
Sidhani kama itakuwa sahihi kusema hivyo, mbona wengine wamezaa nae? Fadya, Nasreen, Helemu na Bi Fatma mwenyewe. Inawezekana yule mmoja ilikuwa ni bahati mbaya tu.
Na ianwezekana sio bahati mbaya...hata wabongo wanaoamini mwarabu kailetea africa maendeleo sana ,nao inawezekana kuwa wapo kibahati mbaya na pia si kibahati mbaya.
 
Nijuavyo Mzee Jumbe yupo uraiani na yupo kwao Mjimwema. Unless kama wewe una habari mbadala utujuze.
Mama wa kiswahili.Waswahili huwa hawakosi shida ktk kuunganisha matukio,kupata bigger picture au maan apana ktk makakusanyiko wa mambo.Ndio maana hamtokaa mjue kwanini huw amanpigwa mabao kirahisi sana.Nadhani hukumbuki wasomi wangapi walikabidhiwa kwa mabalozi ktk sehemu hatari kwao kifikra na mitazamo in a long run.Huyo mzee sasa hivi ukimwambia atoke hapo wakati anaona maendeleo yamemfikia anaweza kushangaa na kuwasifu waliomfikisha hapo kuwa wameona mbali.Ni km wewe nikikupatia mbakaji atakayekukunja vyema kwa muda fulani unaweza anza kumpenda na baadaey kumwonea wivu .Ndio maana spies au wafanyakazi wa jamii ktk sehemu hatarishi nao huwa hutakiwa kuwa na uangalizi. Otherwise hata mtwara wanaweza isisfu CCM kuwa iliona mbali na kuwafungia mtwara hadi gesi na vingine kugundulika.CCM nao wanadhani walivyoiba hela za korosho walifanya jamboa jema sana.
 
Mkuu Mzito K, huyo sio shujaa wangu pekee, ni shujaa wa Taifa hili!, subiria tufike darajani, uone anavyovuka!. Pasco
Haha...atavuka kwa kutumia kila ugaidi kushinda CCM yenyewe akija gundua kuwa jitihada zake zote zilikuwa ni kusaidia wengine wairuke CCM iliyo km gogo njiani.
 
Back
Top Bottom