Tundu Lissu: Mwl. Nyerere alizoea kuishi kwa uongo na udanganyifu

Tundu Lissu, kwenye ili la kumponda Nyerere, pro-Chadema wapo kimya masikini.

Mbowe-kuzungumza-butiama.jpg
 
Acha kutusemea watanzania na akili zao mfu hizo, Nyerere mwenyewe alikili kwa kinywa chake kuwa kuna mambo mengi tu ya kijinga yalifanywa katika utawala wake sasa wewe unamuona kama mungu wa watanzania wote ?

ajabu utawala wa sasa unafata yale ya kipumbavu,na kuacha mazuri
 
Tundu Lissu, kwenye ili la kumponda Nyerere, pro-Chadema wapo kimya masikini.

Mbona kila linalofanywa na mwana CDM unaliunganisha na CDM mbona huwaunganishi wezi/wauwaji na watuhumiwa walioshitkiwa/Kufungwa kwa makosa ya jinai na chama chako!Isumahili MahaRage,Jusiitini Nyari,Yule Diwani wa Kibaha,Alex masawe,Rowland Sawaya,BaziIli Muramba,Mugonja,Maranda just to mention a few.
 
Sikutegemea kwa mtu mzima Kama lisu kumtusi muasisi Wa taifa. Alitakiwa kujenga hoja,na kwa njia ta matusi. Tumesononeka sana sisi watanzania,kauli ya mtusi mwalimu haivumiliki. Ningekuwa mimi ndio mkono Wa dola, ningechukua hatua mathubuti. Si kila kitu kazima useme, pima tumia hâta busara ya kawaida. Tunamheshimu mwl na bado tunampenda. Amani unayoiona si kwa bahati mbaya. Karibu kujizuia kwa baadhi ya mambo. Huwezi hâta kidogo wewe lisu kujilinganisha na mwl. Linda heshima yako na chama chako. Kila kona wanasema umekosea. KAzi njema.

utakuwa unalakojambo kwanza wewe sio chadema cdm hatuwezi kuwa na watu wasio na msimamo kama wewe. eti lisu ndo akuondoe chadema poor mind!
 
CDM wanaona kitendo alichofanya Lissu ni chakusifika ila kitakapoanza kuwatafuna mtatengana nyie kwa nyie.
 
Sijawahi hata siju moja kusikia nchi yoyote duniani mfano cuba,china akijitokeza mtu yoyote kwa cheo chake kwa elimu yake au kwa pesa zake akimtukana mwasisi wa taifa lake.....
Namuheshimu sana lisu lakini kwa hilo la kumtukana Mwl JKN kakosea...na sipatii picha angekuwa mwenyekiti ni Makinda au ndugai lisu angetolewa nje ya bunge na kuchukuliwa hatua kali sana sema ni 6 mwoga lisu ana bahati sana....

Baba yangu lisu kuwa makini sana na maneno ya mdomoni mwako...
 
Tundu Lissu, kwenye ili la kumponda Nyerere, pro-Chadema wapo kimya masikini.

Kosa unalofanya wewe na CCM wenzio ni kusadiki kuwa Nyerere alikuwa Mungu na kila alilosema na kuamua yalikuwa sahihi kwa 100%, Sio kweli Nyerere alikuwa binadamu kama wewe na na mimi na kukosea ni swala la kawaida kwa binadamu yoyote yule hata angekuwa genius sembuse Nyerere? Na je? kwanini mengine aliyosema au kuanzisha Nyerere hamyatilii maanani kama muunngano wa serikali mbili? Lipo wapi Azimio la Arusha? Ipo wapi miiko ya viongozi?Yapo wapi mashirika na viwanda alivoanzisha mwalimu?Yapo wapi mashamba aliyoanzisha mwalimu?? Mbona hayo pia hamyazingatii kama muundo wa muungano??
 
Mimi nilimsikiliza Vizuri sana, Neno Mwalimu Nyerere amezoea kuishi kwa ujanjaujanja hakulisema, sasa sijui wewe unamaanisha wapi
 
Neenda

Sikutegemea kwa mtu mzima Kama lisu kumtusi muasisi Wa taifa. Alitakiwa kujenga hoja,na kwa njia ta matusi. Tumesononeka sana sisi watanzania,kauli ya mtusi mwalimu haivumiliki. Ningekuwa mimi ndio mkono Wa dola, ningechukua hatua mathubuti. Si kila kitu kazima useme, pima tumia hâta busara ya kawaida. Tunamheshimu mwl na bado tunampenda. Amani unayoiona si kwa bahati mbaya. Karibu kujizuia kwa baadhi ya mambo. Huwezi hâta kidogo wewe lisu kujilinganisha na mwl. Linda heshima yako na chama chako. Kila kona wanasema umekosea. KAzi njema.
 
Sikutegemea kwa mtu mzima Kama lisu kumtusi muasisi Wa taifa. Alitakiwa kujenga hoja,na kwa njia ta matusi. Tumesononeka sana sisi watanzania,kauli ya mtusi mwalimu haivumiliki. Ningekuwa mimi ndio mkono Wa dola, ningechukua hatua mathubuti. Si kila kitu kazima useme, pima tumia hâta busara ya kawaida. Tunamheshimu mwl na bado tunampenda. Amani unayoiona si kwa bahati mbaya. Karibu kujizuia kwa baadhi ya mambo. Huwezi hâta kidogo wewe lisu kujilinganisha na mwl. Linda heshima yako na chama chako. Kila kona wanasema umekosea. KAzi njema.
Safari njema
 
Maoni yangu,

Tundu lisu ni Mhuni huwezi kumtukana Nyerere halafu Watanzania wakakusifu,Tumekugundua unajitafutia umaarufu wa kisiasa kwa kumtukana Nyerere,yaani wewe Tundu umefilisika,ninakuuliza umeenda hapo Dodoma kufanya nini ? Kutunga Katiba mpya au kumtukana Nyerere,Na kwenye hiyo Rasimu ya Katiba kuna mahali au kifungu kimemtaja Nyerere SASA wapi na wapi unamuungiza Nyerere,Yaani Tundu hapo kwa Watanzania umegusa pabaya.

Haya Hati origional ya Muungano imetolewa sema lingine,watakujibu tu,Tunataka kiongozi anayeleta ufumbuzi wa kutatua KERO za Muungano Miaka 50 tumeishi kwenye Muungano kwa AMANI leo unaleta mambo ya UZUSHI,Wewe ni Mroho wa MADARAKA jiangalie utaishia kubaya,

Tunakuomba ujadili rasimu hasa kwenye Muundo wa Muungano badala ya kutukana waasisi wa Muungano,

Tundu Lisu SHAME UPON YOU,

Nimetumia maneno makali kwa huyu MSALITI wa Watanzania

KaTUNDU kamesomeshwa BURE na Serikali ya Muungano LEO kanatukana
 
Ni vizuri Mbowe aitishe vyombo vya habari aombe radhi kwa niaba ya chama.

CHADEMA must apologize for what Tundu LISU has accussed Mwalimu Nyerere,

It was totally wrong ACT,

Irrespective to someone who Liberated Tanganyika and who created Tanzania,

Tundu lisu deserve purnishment,

Tundu lisu HATUFAI kuwa KIONGOZI either Tanganyika or Tanzania
 
Sikutegemea kwa mtu mzima Kama lisu kumtusi muasisi Wa taifa. Alitakiwa kujenga hoja,na kwa njia ta matusi. Tumesononeka sana sisi watanzania,kauli ya mtusi mwalimu haivumiliki. Ningekuwa mimi ndio mkono Wa dola, ningechukua hatua mathubuti. Si kila kitu kazima useme, pima tumia hâta busara ya kawaida. Tunamheshimu mwl na bado tunampenda. Amani unayoiona si kwa bahati mbaya. Karibu kujizuia kwa baadhi ya mambo. Huwezi hâta kidogo wewe lisu kujilinganisha na mwl. Linda heshima yako na chama chako. Kila kona wanasema umekosea. KAzi njema.

bora hao kuliko wale wanofanya kwa vitendo kwa kuuza mali zetu na rasilimali za nchi
 
Sikutegemea kwa mtu mzima Kama lisu kumtusi muasisi Wa taifa. Alitakiwa kujenga hoja,na kwa njia ta matusi. Tumesononeka sana sisi watanzania,kauli ya mtusi mwalimu haivumiliki. Ningekuwa mimi ndio mkono Wa dola, ningechukua hatua mathubuti. Si kila kitu kazima useme, pima tumia hâta busara ya kawaida. Tunamheshimu mwl na bado tunampenda. Amani unayoiona si kwa bahati mbaya. Karibu kujizuia kwa baadhi ya mambo. Huwezi hâta kidogo wewe lisu kujilinganisha na mwl. Linda heshima yako na chama chako. Kila kona wanasema umekosea. KAzi njema.

Kwani nyerere ni mungu mpaka asikosolewe?
Lisu hajakosea yuko sahihi kabisa hizi ni zama za ukweli na uwazi!
 
akiongea leo bungeni

anadai alikuwa akijibu vioja,

kuhusu kumkashifu neyerere, anasema nyerere mwenyewe aliwahi kusema yeye si mungu, kwa hiyo anakosea, na lissu akasema dr. Mwakyemba aliwahi sema "kwa hapa tulikofikia lazima tusikilize maoni ya wananchi na ya jaji nyararai na jaji kissanga"

kuhusu hati ya muungano

I. anasema ije bungeni awaumbue waongo, anasema watu wakaangalie sahihi hizo za shekh abeid amain karume, zilizopo katika hiyo hati na kilichopo katika document zake na miswaada mbalimbali
II. Lakini anasema je ni halali, kuna mahali popote baraza la mapinduzi liliwahi kuwa na muswada wa kuridhia na kusaini makubaliano hayo.

kuhusu muundo wa serikali

anasema kwa mujibu wa katiba ya zanzibar, kwasasa kiwkwete hana mamlaka yoyote zanzibar, kwani katiba inatambua rais wa zanzibar ndiye amiri jeshi mkuu wa zanzibar na ndiye kiongozi wa vikosi maalumu vya zanzibar.

Anawaambia watu waangalie mbele, mbele ni giza tu. Muundo lazima ubadilishwe.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom