Tundu Lissu: Mnataka tupendane, turidhiane na wakati waliofanya uhalifu mnawapandisha vyeo

Tundu Lissu: Mnataka tupendane, turidhiane na wakati waliofanya uhalifu mnawapandisha vyeo

DuaZaMama

JF-Expert Member
Joined
Jun 2, 2025
Posts
1,882
Reaction score
4,129
Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa, Tundu Lissu, aliwahi kuzungumza kuhusu maridhiano akibainisha kuwa wanasiasa wanaotawala wanataka tuwe na upendo na turidhiane. Hata hivyo, aliongeza kuwa wakati huo huo, waliofanya uhalifu waziwazi badala ya kuchukuliwa hatua, wanapandishwa vyeo. Maneno haya aliyasema mwaka May 23, 2023 wakati wa mkutano mkubwa wa chama hicho uliofanyika mkoani Katavi.
 
Back
Top Bottom