we kweli ni boko haramu mkubwa...!
Kama kukosekana mtu mmoja ni pengo basi naamini maneno ya Dr. Slaa kuwa Chadema bado siyo imara.Kweli pengo lake linaonekana,ugua pole jembe!!
Tundu apelekwe Lutindi
Alichokisema kina mantiki tatizo ni kuwa kimesemwa na mtu ambaye Bunge halimtaki hivyo wanaona atapata sifa ya bure. Ndio tatizo la Bunge letu lililo jaa chuki.
Lissu alikuwa sahihi kiasi fulani, ingawa sio lazima kuahirisha bunge kwa muda wote!
Serikali inapotangaza maombolezo huwa inamaanisha nini? na tunawezaje kujua ni shughuli zipi zinatakiwa zifanyike na zipi zisifanyike kiserikali?
Sio Kweli acha kupotosha Umma Maombolezo sio Kuahirishwa kwa majukumu ya serekali? Wakati wa Nyerere Maombolezo yalikua ya siku kumi na nne je serekali ilihairisha kazi zake kwa siku 14. Maombolezo sio lazima iwe mapumzikoShughuri Zote Za Serikari Uhailishwa, Iwe Serikari Kuu, Bunge Ama Mahakama TATIZO MAKINDA NI MZEE SANA!,
Mheshimiwa Tundu Lissu ameomba mwongozo huo kwa spika Makinda ili bunge liahirishwe japo kwa leo kwa ajili ya maombolezo ya Mandela ambaye ni kielelezo kikubwa cha kiongozi aliyetukuka barani Afrika kwa mchango wake katika harakati za ukombozi. Hata hivyo spika hakukubaliana na hoja ya Tundu Lissu na kuruhusu bunge liendelee kama kawaida.
Tundu alipaswa ajifunze kusamehe kutoka kwa Tata Madiba. Yeye na viongozi wake watumie siku tatu za maombolezo kujifunza comlade Madiba aliwezaje kuishi na watu waliompinga, kumtesa, kubagua, kutesa na kuua wafuasi wake.
Hii itawasaidia kuishi na wasaliti, wasio wa kaskazini na wasio chadema na maisha yakaenda poa.
lisu alitaka muda wa kwenda bar na kuvuta bangi
Tundu alipaswa ajifunze kusamehe kutoka kwa Tata Madiba. Yeye na viongozi wake watumie siku tatu za maombolezo kujifunza comlade Madiba aliwezaje kuishi na watu waliompinga, kumtesa, kubagua, kutesa na kuua wafuasi wake.
Hii itawasaidia kuishi na wasaliti, wasio wa kaskazini na wasio chadema na maisha yakaenda poa.
Sio Kweli acha kupotosha Umma Maombolezo sio Kuahirishwa kwa majukumu ya serekali? Wakati wa Nyerere Maombolezo yalikua ya siku kumi na nne je serekali ilihairisha kazi zake kwa siku 14. Maombolezo sio lazima iwe mapumziko
Kwani Chadema kuna mtu mmoja tu Tundu Lissu, si yupo Mbowe, Sugu, Lema, Mnyika, Wenje, vipi hawa hauamini.