Mbona Lissu anatembea na viroba kwenye koti.lisu alitaka muda wa kwenda bar na kuvuta bangi
Mbona Lissu anatembea na viroba kwenye koti.lisu alitaka muda wa kwenda bar na kuvuta bangi
Mheshimiwa Tundu Lissu ameomba mwongozo huo kwa spika Makinda ili bunge liahirishwe japo kwa leo kwa ajili ya maombolezo ya Mandela ambaye ni kielelezo kikubwa cha kiongozi aliyetukuka barani Afrika kwa mchango wake katika harakati za ukombozi. Hata hivyo spika hakukubaliana na hoja ya Tundu Lissu na kuruhusu bunge liendelee kama kawaida.
Sio Kweli acha kupotosha Umma Maombolezo sio Kuahirishwa kwa majukumu ya serekali? Wakati wa Nyerere Maombolezo yalikua ya siku kumi na nne je serekali ilihairisha kazi zake kwa siku 14. Maombolezo sio lazima iwe mapumziko
Kwani Chadema kuna mtu mmoja tu Tundu Lissu, si yupo Mbowe, Sugu, Lema, Mnyika, Wenje, vipi hawa hauamini.
Rais aliyetangaza maombolezo ya siku 3 afanyweje?
kachanganyikiwa-hali inayomkuta SLAA mikoani inaashiria kifo cha CDM-vyombo vya habar ambavyo wamekuwa wakifurahia mabadiliko ya siasa yaliyokuwa yakiongozwa na CDM nao sasa wamegundua kuwa ile ni SACCOS na wamepoteza imani na sasa wana wa- blast na sasa anafikiria mikakati yao ya kumngo'a ZZK(kipenzi cha wanyonge-mkataa posho za kukaa) ilivyokwama pamoja na kumbambikizia shutuma kibao kwa uroho wao wa madaraka-na sasa anafikiria yale makosa 11 aliyoyaandika kwa kujinasibu ambayo utadhani yameandikwa WP(Women Police) 123 wa kituo cha Igunguja(vijijini) na sio mwanasheria
Uvivu tu wa Kitanzania. Inahusu nini kuahirisha bunge? Makinda sawasawa, atakae kuomboleza akaomboleze kwa muda wake si muda wa kazi.
Kumbe Tatizo sio CCM ni fikra Mgando Kama hizi,Ni lini ukoloni mambo leo utaisha? Hivi upi umuhimu wa Mandela kwa Tanzania? kama sio kujipendekeza naishangaa hata hiyo serekali kutoa hizo siku tatu za maombolezo.Haya Nijibu Maswali Japo Moja Kati Ya Haya 1. Wakati Wa Msiba Wa Nyerere Jaji Mkuu Aliweza Kusoma Kesi Yoyote Pale Mahakamani? 2.wakati Wa Maombolezo Ya Mwalimu, Bunge Liliweza Kuketi Na Kupitisha Muswada? 3. Wakati Wa Maombolezo Ya Mwalimu Raisi Aliweza Kusafiri Na Kuelekea Nje Kusaini Mkataba? Sijapotosha Umma Sema Kunashughuri Hufanyika Lakini Bila Kukiuka Amri Ya ''KUHAIRISHA SHUGHURI ZOTE ZA SERIKARI" Shughuli Zote Za Kihoisi Husimama. Tambua Pia Kuwa Ofisi Ya Waziri Haiwezi Kuwa Chafu Ati Kwa Kuwa Ni Maombolezo, Fikiri Na Kama Akili Haitaki Basi Ilazimishe Kufikiri!
Katika muswada wa kura ya maoni unaendelea hakika bunge limepwaya, hapa ndipo tunapoona umuhimu wa Tundu Lissu. Leo hii mapema asubuhi amesimama na kuomba mwongozo wa spika, katika mwongozo huo huku akionekana mdhaifu Tundu Antipas Lissu amesema tangu jana anaumwa hadi leo bado ana homa kali, akamwomba mh spika aliahirishe bunge kwasababu ya msiba mzito wa kuondokewa na mtoto wa Afrika tata Madiba. Akadai pamoja na homa kali aliyonayo ameamua kujikongoja kuja bungeni kwasababu hiyo. Baada ya spika kukataa ombi lake ameondoka nje ya ukumbi. Ninini kinachomsibu Tundu Lissu kwani pengo lake linaonekana katika muswada huu muhimu! Ugua pole Mh, tunakuhitaji bungeni mapema iwezekanavyo.
Kutangaza maombolezo ndio kutangaza watu wasifanye kazi? Mbona upo kazini saa hizi, si ukaomboleze bar?
Hivi kuwa shabiki wa magamba, ni lazima akili zako ziwe fyatu kidogo?!lisu alitaka muda wa kwenda bar na kuvuta bangi
Mheshimiwa Tundu Lissu ameomba mwongozo huo kwa spika Makinda ili bunge liahirishwe japo kwa leo kwa ajili ya maombolezo ya Mandela ambaye ni kielelezo kikubwa cha kiongozi aliyetukuka barani Afrika kwa mchango wake katika harakati za ukombozi. Hata hivyo spika hakukubaliana na hoja ya Tundu Lissu na kuruhusu bunge liendelee kama kawaida.
Haya ndo majanga ya kongozwa na emotional leaders, Who is Mandella in tz.. Sawa nikiongozi wa mfano tena mfano wakuigwa, ila sio Rais wa tz kutangaza maombolezo ya siku 3 na Kuamuru bendela kupepea nusu mlingoti!.. NAHISI UAMZII HUU KAUCHUKUA BAADA YA KUSIKIA OBAMA KAM-PRAISE BABA HUYU WA TAIFA LA AFRIKA KUSINI.Kumbe Tatizo sio CCM ni fikra Mgando Kama hizi,Ni lini ukoloni mambo leo utaisha? Hivi upi umuhimu wa Mandela kwa Tanzania? kama sio kujipendekeza naishangaa hata hiyo serekali kutoa hizo siku tatu za maombolezo.
Hivi unajua wakati wa mazishi ya J.K.N huyo Mandela alikua wapi?
Ukiwa mpinzani lazima uwe na kifront front hiyo kanuni no 1.Hata pasipowezekana wewe utadai panafaa.Serikali imeshatoa maombolezo siku 3. Sasa kiherehere cha nini?
haya nijibu maswali japo moja kati ya haya 1. Wakati wa msiba wa nyerere jaji mkuu aliweza kusoma kesi yoyote pale mahakamani? 2.wakati wa maombolezo ya mwalimu, bunge liliweza kuketi na kupitisha muswada? 3. Wakati wa maombolezo ya mwalimu raisi aliweza kusafiri na kuelekea nje kusaini mkataba? Sijapotosha umma sema kunashughuri hufanyika lakini bila kukiuka amri ya ''kuhairisha shughuri zote za serikari" shughuli zote za kihoisi husimama. Tambua pia kuwa ofisi ya waziri haiwezi kuwa chafu ati kwa kuwa ni maombolezo, fikiri na kama akili haitaki basi ilazimishe kufikiri!
kwa hiyo unataka kutuambia amesaini posho bure leo? au amerudisha?Katika muswada wa kura ya maoni unaendelea hakika bunge limepwaya, hapa ndipo tunapoona umuhimu wa Tundu Lissu. Leo hii mapema asubuhi amesimama na kuomba mwongozo wa spika, katika mwongozo huo huku akionekana mdhaifu Tundu Antipas Lissu amesema tangu jana anaumwa hadi leo bado ana homa kali, akamwomba mh spika aliahirishe bunge kwasababu ya msiba mzito wa kuondokewa na mtoto wa Afrika tata Madiba. Akadai pamoja na homa kali aliyonayo ameamua kujikongoja kuja bungeni kwasababu hiyo. Baada ya spika kukataa ombi lake ameondoka nje ya ukumbi. Ninini kinachomsibu Tundu Lissu kwani pengo lake linaonekana katika muswada huu muhimu! Ugua pole Mh, tunakuhitaji bungeni mapema iwezekanavyo.