kantasundwa
JF-Expert Member
- May 25, 2020
- 1,550
- 2,381
Umechazwa acha kuvunga bibieAmekuchakaza wewe na mmeo sio ccm
Umechazwa acha kuvunga bibieAmekuchakaza wewe na mmeo sio ccm
kwa misumari hii ya lissu , hawezi kuthubutu tenaNa bado anataka kuongeza zingine!!
Usije shangaa akawa ndie MnyikaKwa kweli inabidi CHADEMA wamtunuku huyu asee maana kazi yake hata Mnyika hafui dafu.
Ndio tunao wawakilishi wa CCM hadi meza kuu za mikutano yote ya Lisu Lengo ni kuhakikisha CCM inapata taarifa sahihi za mahuddhurio na kilichosemwa bila kutegemea propaganda za mitandaoni pili Ni kuhakikisha mashirika ya kijasusi ya ulaya na Marekani yanapata report sahihi ya mikutano ya Chadema wa ki counter check bila kutegemea report za tapeli Amsterdam au Photoshop za Chadema na tapeli LisuKumbe taarifa za Chadema mnazo?