Tundu Lissu kimataifa: Akutana na David Mcallister, Mwenyekiti wa Kamati ya Mashauri ya Kigeni ya Bunge la Ulaya

CCM hawachelewi kumuita TL kibaraka wa mabeberu Lakini wao wakipewa msaada wanawaita wahisani na wadau wa maendeleo.
Yaani double standard!
 
Hizo damu ni impact tu ya uongozi wahovyo wa gadafi. Toka zamani demokrasi ingekuwepo wangekuwa wameshazoea. Ni sawa na kagame siku akifa itakuwa kama libya kule watu watachinjana mana hawatajua waanzie wapi waishie wapi. Udictator wa viongozi wa kiafrika ndp chanzo cha matatizo wala siyo wazungu. Mfano kipindi cha jpm mi nilitamani boko haramu au isis waje tutandikane mabomu i kila mtu asikie uchungu siyo chadema tu.
Ndio maana nakwambia wewe una akili yakitumwa!

Hivi Libya kabla ya wazungu wako kuketa democrasia watu walikuwa wana chinjana kama ilivyo sasa?

Kwa Kagame kuna watu wana chinjana?

Mkilishwa ujinga wa democrasia ya mzungu nasi mnajihisi mko mbinguni
 
Huwezi kuitoa CCM kwa kutegemea Wazungu ambao nao wanabenefit kwa CCM, kinachofuata watakutumia kuibana CCM kwa wao kupata maslahi zaidi... Nitajie nchi moja ambayo wazungu wameleta demokrasia na stabilization..

Wazungu walishindwa kuwasaidia weusi pale SA dhidi ya kaburu matokeo yake weusi wenyewe wakapambana kujikomboa huku wazungu wakipamban kimyakimya kusaidia kaburu..
Ushauri wako ni nini ili kuipata Tanganyika ya ki democracy ?
 
Inaonekana bado tuna mapenzi ya mkoloni kiasi cha kuhitaji msaada wake kujikomboa..
 
Ushauri wako ni nini ili kuipata Tanganyika ya ki democracy ?

Issue sio democracy issue ni CCM kushindwa kuwalete watanzania maendeleo kwa haraka...Bado MwaAfrica hahitaji democracy ya Mzungu wakati huo bado na jambo la karne nyingi mbele....kwa sasa ni maisha ya watu kuboreka na kuishi kama binadamu..

Nini kifanyike? Watanzania wafundishwe madhara ya maisha wanayoishi na anayesababisha na ufumbuzi wake baada ya kumtoa anayesababisha, Elimu hii ikienea basi automatically tu watanzania wataikataa CCM na hata isipotaka kutoka watanzania hao hao wataitoa tu....elimu hii ikitamalaki hata vyombo vya ulinzi na usalama vitatusaidia..

Kumtegemea Mzungu, ni kuendelea kujilemaza na kuuishi ukoloni kivingine..Ndio atatusaidia kuitoa CCM lakini lazima awe nyuma yako kuhakikisha maslahi yake na ukimzingua ataitumia hiyohiyo CCM kama fimbo ya kukuchapa hata kuleta machafuko...
 
Trilion 194 tulizipata?

issue sio kupata au kutopata hiyo trilioni 194 Issue ni Wazungu aka mabeberu kupata challenge na kuharibu image yao na hata uoga wao juu ya waAfrica wengine kuamka na kuanza kuwachalenge pia.... Kumbana kwao JPM kulikuja baada ya hapa kwenye hii challenge..na nakuambia pia hili liliwaletea shida Wazungu sehemu tofauti tofauti...
 
Kalale mtoto mdogo wewe

Bora mimi mtoto mdogo kuliko wewe mtu mzima usiyejua mission za wazungu duniani na Africa....mtu mzima unashangilia kupewa pipi huku unakamuliwa.... Uhuru haupatikani kwa Mzungu, uhuru unapatikana kwa watu kupambana na adui usiku na mchana, jua-mvua, jasho kwa damu....kwenda kulialia kwa Mzungu eti akusaidie kujikomboa ni usaliti maana kila mtu anajua ukombozi wa Mzungu nyuma yake ni nini...
 
Kwa mawazo yangu hauko sahihi samurai . Tunaihitaji maisha bora na elimu bora. Vyote hivi haviwezi kuletwa na Ccm ile Ile yenye itikadi za ki communist. Bila katiba nzuri inayoruhusu vyombo ya maamuzi kujisimamia , forget . Unapokuwa judges wanaoomba usiku na mchana wafanyiwe favour. Unapokuwa na vyombo vya dola na vya maamuzi ambao viongozi wake hawatokani na ueledi bali mapenzi ya alieko state house sahau. Ukijumlisha na nidhamu ya uogatuliojegewa .

Elimu mbovu ni mtaji wao wa kuitawala nchi hii. Na umasikini ni usalama wao wa kubaki madarakani. Hawawezi kuvitoa hivi.
 
Wazungu ni wakimbizi acha ufala. Huoni walivyo muassassinate gadafi kwa kuwa alikuwa anawanyanyasa sana wapinzani. Jpm ameua na kupiga risasi wapinzani na yeye wazungu wakatusaidia kumfyekelea mbali. Hivyo wazungu wanamsaada sana . Wazungu wasingekuwepo tungechinjana sana mana miafrika hatuna akili lazima tuwe regulated ili tuishi kwa kuheshimiana.

Baada ya kumuassasinate Ghadafi wameleta demokrasia sasa Libya...
 
issue sio kupata au kutopata hiyo trilioni 194 Issue ni Wazungu aka mabeberu kupata challenge na kuharibu image yao na hata uoga wao juu ya waAfrica wengine kuamka na kuanza kuwachalenge pia.... Kumbana kwao JPM kulikuja baada ya hapa kwenye hii challenge..na nakuambia pia hili liliwaletea shida Wazungu sehemu tofauti tofauti...
Mzigo haukutoka na wanaendelea na kazi!
 
Kwa mawazo yangu hauko sahihi samurai . Tunaihitaji maisha bora na elimu bora. Vyote hivi haviwezi kuletwa na Ccm ile Ile yenye itikadi za ki communist. Bila katiba nzuri inayoruhusu vyombo ya maamuzi kujisimamia , forget . Unapokuwa judges wanaoomba usiku na mchana wafanyiwe favour. Unapokuwa na vyombo vya dola na vya maamuzi ambao viongozi wake hawatokani na ueledi bali mapenzi ya alieko state house sahau. Ukijumlisha na nidhamu ya uogatuliojegewa .

Elimu mbovu ni mtaji wao wa kuitawala nchi hii. Na umasikini ni usalama wao wa kubaki madarakani. Hawawezi kuvitoa hivi.

Nisome vizuri, hata mimi naamini CCM haiwezi kutuletea maisha bora.... issue yangu iko kwenye kuitoa au kuilazimisha ilete hayo maisha bora ambayo ndio hitaji la kila mtu...

Kwenye kuitoa CCM ni watanzania wenyewe wanahitajika kuweka nguvu, kuelimishana ili watu wengi kama sio wote tukubaliane juu ya hili, kwa wingi wetu tukiikataa CCM haina pakutokea au kwa wingi wetu tukilazimisha jambo fulani litakuwa...
 
Ndio maana nakwambia wewe una akili yakitumwa!

Hivi Libya kabla ya wazungu wako kuketa democrasia watu walikuwa wana chinjana kama ilivyo sasa?

Kwa Kagame kuna watu wana chinjana?

Mkilishwa ujinga wa democrasia ya mzungu nasi mnajihisi mko mbinguni

..mbona wazungu hawachinjani kwa ajili ya demokrasia?

..Gaddafi alimpindua Mfalme halafu na yeye akajigeuza kuwa Mfalme.

..Gaddafi angeruhusu vyama vya siasa na kuandaa uchaguzi ulio huru Libya isingesambaratika.
 
Huwezi kuitoa CCM kwa kutegemea Wazungu ambao nao wanabenefit kwa CCM, kinachofuata watakutumia kuibana CCM kwa wao kupata maslahi zaidi... Nitajie nchi moja ambayo wazungu wameleta demokrasia na stabilization..

Wazungu walishindwa kuwasaidia weusi pale SA dhidi ya kaburu matokeo yake weusi wenyewe wakapambana kujikomboa huku wazungu wakipamban kimyakimya kusaidia kaburu..
Umenena vyema
 
Beberu hawezi kuwa na jema lolote kwa nchi za kimasikini zaidi ya kufikiria jinsi ya kuzinyonya tu na kuweka maslahi yake mbele.

Ukombozi wa mtu mweusi utaletwa na yeye mwenyewe.
 
Bora mimi mtoto mdogo kuliko wewe mtu mzima usiyejua mission za wazungu duniani na Africa....mtu mzima unashangilia kupewa pipi huku unakamuliwa.... Uhuru haupatikani kwa Mzungu, uhuru unapatikana kwa watu kupambana na adui usiku na mchana, jua-mvua, jasho kwa damu....kwenda kulialia kwa Mzungu eti akusaidie kujikomboa ni usaliti maana kila mtu anajua ukombozi wa Mzungu nyuma yake ni nini...
kapange chumba hata Cha 25000 kisicho na umeme kuliko kuendelea kuishi kwa baba ako ,ukiendelea Kula ugali wamama hutaelewa globo' inataka nn
 
..mbona wazungu hawachinjani kwa ajili ya demokrasia?

..Gaddafi alimpindua Mfalme halafu na yeye akajigeuza kuwa Mfalme.

..Gaddafi angeruhusu vyama vya siasa na kuandaa uchaguzi ulio huru Libya isingesambaratika.

Ghadafi alikuwa shida na hao wazungi wakaja kuleta shida zaidi kwa maslahi yao kifupi walitumia mwanya wa ujinga wa Ghadafi kufanikisha maslahi yao...Ghadafi pia alikuwa kikwazo kwa maslahi yao lakini haikuwa kwa ajili ya raia wa Libya...
 
Nisome vizuri, hata mimi naamini CCM haiwezi kutuletea maisha bora.... issue yangu iko kwenye kuitoa au kuilazimisha ilete hayo maisha bora ambayo ndio hitaji la kila mtu...

Kwenye kuitoa CCM ni watanzania wenyewe wanahitajika kuweka nguvu, kuelimishana ili watu wengi kama sio wote tukubaliane juu ya hili, kwa wingi wetu tukiikataa CCM haina pakutokea au kwa wingi wetu tukilazimisha jambo fulani litakuwa...

..wananchi tunaweza kuikataa CCM lakini ikaendelea kubaki madarakani kwa msaada na kuungwa mkono na mabeberu.

..tunatakiwa tufanye kampeni za kuiondoa CCM ndani ya Tanzania na huko nje kwa ma-sponsor wao mabeberu.
 
kapange chumba hata Cha 25000 kisicho na umeme kuliko kuendelea kuishi kwa baba ako ,ukiendelea Kula ugali wamama hutaelewa globo' inataka nn

Usilolijua ni kama usiku wa giza...InshaAllah nakuombea kheri nawe usisite kuwaombea kheri wanaokaa kwa wazazi wao wapate nuru na kutoka maana waliowengi hawaipendi hiyo hali ni hali tu ya maisha...
 
Back
Top Bottom