Tundu Lissu: IGP Sirro ni Jeshi la Polisi, hawajawahi kunipigia simu wala kunihoji, Waliagizwa wanipoteze baada ya Uchaguzi

Anachoshangaza Lisu ni kuwa hata huyu Rais aliyepo sasa bado anamtukana, then mtu unaweza kujiuliza dhamira yake ni nini?
Huyu bi, Chokochoko aliesema kabisa kuwa wale ni polisi wa Siro, kwa kua askari wa CCM akipiga risasi zaidi ya tatu na mtu ajafa wanamfuta kazi.
 
'Nilikimbia nchi baada ya kupata taarifa kuwa Rais Magufuli alikuwa ametoa amri kwa 'watu wasiojulikana' kuwa niuawe mara baada ya uchaguzi. Nilikamatiwa na polisi wa IGP Sirro nje ya Ubalozi wa Ujerumani na isingekuwa wanadiplomasia wa Kijerumani kuingilia kati ningepotezwa."-Mh Tundu Lissu
Hii issue kwangu inakuja inakata. Lakini mpaka Leo najiuliza kwa nini Polisi walimfuata Lissu ubalozini. Haya ndo Sirro anatakiwa kutufumbua macho badala ya kutuambia LISSU anafaidi kwa kuwa mlemavu.
 
  • Thanks
Reactions: Qwy
'Nilikimbia nchi baada ya kupata taarifa kuwa Rais Magufuli alikuwa ametoa amri kwa 'watu wasiojulikana' kuwa niuawe mara baada ya uchaguzi. Nilikamatiwa na polisi wa IGP Sirro nje ya Ubalozi wa Ujerumani na isingekuwa wanadiplomasia wa Kijerumani kuingilia kati ningepotezwa."-Mh Tundu Lissu
sirro anajua kila kitu
 
  • Thanks
Reactions: Qwy
Ichunguze akili yako ndugu.
Vipi Kama angekufa au angepata coma
Nani angetoa ushirikiano?
Hivi wengine mioyo ya kibinadamu mlipeleka wapi?.
Kwaiyo leo kumuhoji mtendwa sio issue ila wafanye wanavyojua! Yani leo uko na mimi somewhere we unafariki tukiwa wawili tu alafu mi sitaki kwenda kuhojiwa eti wafanye uchunguzi wao wenyewe kivyao!! Sbame
 
Back
Top Bottom