Huyo ni mmoja wa wahusika.Mpaka uanzidhe mada ingine, wakati zipo kibao zinaongelea jambo hili
Unafanya makosa makubwa sana kudhani kila aliyeko humu ni kijana- mie siyo kijanaMleta mada ni wazi wewe sio mtaalamu wa kupeleleza jambo hili na maswali unayouliza yanaweza hata yasiulizwe na mtaalamu wa uchunguzi. Jaribu kushughulika na mambo uliyo na uwezo nayo!!
Vijana wa nchi hii tutadharauliwa kwa ujumla wetu kumbe dharau ilipaswa kuelekezwa kwako tu.
Fata madaTumjadili Tundu Lissu au tujadili tukio?
Haya basi, tufanye hivi. Kuna wazee wanadharauliwa kwa ujumla lakini kumbe anapaswa kudharauliwa mmoja tu. Jikite kwenye ushauri - fanya mambo ya maana maishani mwako, achana na vitu vidogo vidogo ambavyo havikuongezei afya wala kipato.Unafanya makosa makubwa sana kudhani kila aliyeko humu ni kijana- mie siyo kijana
Ushauri wa kijinga sanaHaya basi, tufanye hivi. Kuna wazee wanadharauliwa kwa ujumla lakini kumbe anapaswa kudharauliwa mmoja tu. Jikite kwenye ushauri - fanya mambo ya maana maishani mwako, achana na vitu vidogo vidogo ambavyo havikuongezei afya wala kipato. Wewe sio mtaalamu wa uchunguzi katika jambo hili. Lissu huyu hapa, badala ya kuuliza humu - fanya taratibu akamatwe akajibu haya unayouliza Polisi au Mahakamani. Kwa kuwa sio kijana, utaona busara katika ushauri huu.
Unajua utaalamu wangu au unanichukulia juujuu siyo? Tuheshimiane sawaHaya basi, tufanye hivi. Kuna wazee wanadharauliwa kwa ujumla lakini kumbe anapaswa kudharauliwa mmoja tu. Jikite kwenye ushauri - fanya mambo ya maana maishani mwako...
Wala siko huko- kwa alivyoeleza ni sahihi hajapigwa risasi atakuwa aliletwa hapo na dreva wake akiwa majeruhi tayari. Hebu fikiria unachema ulisoma chuo na kuhitimu mwaka fulani ila huwezi kumtaja hata mwanafunzi mmoja uliyesoma naye- maana yake hujawahi soma chuo hicho unachosemaTatizo umeelekeza akili yako kwenye mabishano. Tufanye hajapigwa risasi alijipiga
Nakuheshimu lakini sidhani unajua hilo. Una assumptions nyingi katika jambo hili ndio maana nimesema wewe haiwezekani ukawa mtaalamu. Ukiwa ni lawyer, ni bush lawyer tu!! Moja ya assumptions - kuwa amlete dereva ili ahojiwe. Una chochote kinachoonesha anamzuia dereva asitoe maelezo?? Lakini dereva huyo atoe maelezo wapi? kwako au Polisi? Na ndio niliposema je kuna jalada la uchunguzi liko wazi?? Nikamalizia kwa jambo unalokwepa kuzungumzia - Lissu huyu hapa. Kamata na fungua jalada ili maswali yako pamoja na mengine yajibiwe.Unajua utaalamu wangu au unanichukulia juujuu siyo? Tuheshimiane sawa
hebu msikilize unless awe anaumwa psychological traumaNakuheshimu lakini sidhani unajua hilo. Una assumptions nyingi katika jambo hili ndio maana nimesema wewe haiwezekani ukawa mtaalamu. Ukiwa ni lawyer, ni bush lawyer tu!! Moja ya assumptions - kuwa amlete dereva ili ahojiwe. Una chochote kinachoonesha anamzuia dereva asitoe maelezo?? Lakini dereva huyo atoe maelezo wapi? kwako au Polisi? Na ndio niliposema je kuna jalada la uchunguzi liko wazi?? Nikamalizia kwa jambo unalokwepa kuzungumzia - Lissu huyu hapa. Kamata na fungua jalada ili maswali yako pamoja na mengine yajibiwe.
Kama ilivo ada, mnapokuwa challenged huwa mnakimbilia "tuheshimiane". Vumilia tu!! Umeleta mada hii hapa - acha ijadiliwe. Swala la kuheshimiwa utaliinjoy vizuri katika mazingira unayodhibiti. Hata humdhibiti mtu na bila kukukosea heshima, utapambana na hoja. Acha vitisho!!