Uchaguzi 2020 Tundu Lissu hana sifa za kuwa Rais na Amiri Jeshi Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi na Usalama

Ni kweli hiyo theory ipo kwenye psychology lakini kwa alikofikia Lissu hapana...kwenye uongozi busara ni muhimu sana na Lissu hiyo busara ameikosa kabisa kila kitu yeye anajiona anakijua na yuko juu wa wengine kwa kila jambo.nina karibu copy ya mijadala yake ya Bungeni huwa namsikiliza sana tu ktk kuchangia hoja zake kwa muda mrefu....ni kweli mambo mengi anayajua lakini ana vuka mipaka sana na hilo ni tatizo kubwa ukiwa kiongozi

So, we're making progress.
Tumetoka kwenye "Hafai kuwa Rais, na na kutojua mambo.

Sasa limebaki tatizo moja tu, la "hana busara," ila mambo anayajua.

Hebu nieleze kama "kuwapigia watu shangazi zao" ni jambo la busara na linamfanya mtu anayetishia hivyo asiwe na sifa za kuwa rais wa nchi.
 
Huyo ni "academician"?

Hebu msome pia ndugu yake mwingine hapo chini kwenye bandiko #36.

Kama hawa watu ndio wasomi wetu, basi tuna shida kubwa kama taifa.

Inawezekana ndio ikawa sababu wanamshambulia Mh.Lissu, kwa kujihisi usomi wao anaudharau? Maana wamekazia sana sababu hiyo katika michango yao hiyo miwili.
Nimesoma, terrible, hawa ndio wasomi wetu! Anajua na kijerumani! shame!
 
Ni kweli hiyo theory ipo kwenye psychology lakini kwa alikofikia Lissu hapana...kwenye uongozi busara ni muhimu sana na Lissu hiyo busara ameikosa kabisa kila kitu yeye anajiona anakijua na yuko juu wa wengine kwa kila jambo.nina karibu copy ya mijadala yake ya Bungeni huwa namsikiliza sana tu ktk kuchangia hoja zake kwa muda mrefu....ni kweli mambo mengi anayajua lakini ana vuka mipaka sana na hilo ni tatizo kubwa ukiwa kiongozi
Waulize mamate wa Lissu kabla hujaropoka, of which I'm partly!

Huyo bwana akijua kitu anakijua na atakitetea come what may, kama hajui anakuambia bila aibu hajui.

Had mjui Lissu wewe!
 
Wivu tu unakusumbua,tatizo TL anajua na anawafanya muonekane empty na vituko
Nimsikia Mhe Tundu Lissu akiwa huko Uingereza kuwa akipata ridhaa ya watanzania na chama chake basi atagombea kiti cha urais katika uchaguzi mkuu ujao wa 2020.

Nimekuwa nikumuangalia Mhe Tundu Lissu alipokuwa mwanaharakati na mtetezi wa madhila waliyokuwa wanapata wananchi katika migodi mbalimbali huko kanda ya ziwa na baadaye kuwa mbunge wa Singida.

Akiwa mbunge katika Bunge la Jamhuri amekuwa ni mchangiaji wa mara nyingi sana na muuliza maswali sana na kuomba kuhusu utaratibu na muongozo wa spika mara kwa mara kiasi cha kusababisha hata kutolwa nje na spika pale anapokataa kutii kiti cha spika.

Nakumbuka hata wakati wa Bunge la Katiba hapo ndipo Mhe Lissu alikuwa mkali kama mbogo kwa baadhi ya taratibu alipoona kama vile zina malengo fulani ambayo hayakuwa na faida kwa baadhi ya makundi.

Kwa ujumla ukimuangalia Mhe Lissu na jinsi anavyochangia mada au hoja na maneno anayotumia kwenye public kiukweli sidhani kama anaweza kuwa sahihi kuwa Rais ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi mkuu wa Majeshi ya ulinzi na usalama.

Kwa mtazamo wangu mimi kiukweli nidhamu ya Tundu Lissu katika kuchangia mada au hoja kwa wenzake huwa kuna dharau kubwa sana anaonyesha kiasi cha kutoheshimu michango ya wenzake na kama ndivyo alivyo basi kiti cha uraisi sidhani kama ni size yake.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
hata kama anajua na wapo wengi tu wanajua mambo mengi kama yeye lakini hana heshima wala busara na hilo ni tatizo lake sehemu kubwa ya maisha yake na hata ukiangalia michangoi yake bungeni anajiona anajua sana na kudharau wengine na hilo kwa kwa baadhi ya wanasheria ni tatizo kubwa sana hasa wanapotumia taaaluma yao vibaya.
 
Nimsikia Mhe Tundu Lissu akiwa huko Uingereza kuwa akipata ridhaa ya watanzania na chama chake basi atagombea kiti cha urais katika uchaguzi mkuu ujao wa 2020.

Nimekuwa nikumuangalia Mhe Tundu Lissu alipokuwa mwanaharakati na mtetezi wa madhila waliyokuwa wanapata wananchi katika migodi mbalimbali huko kanda ya ziwa na baadaye kuwa mbunge wa Singida.

Akiwa mbunge katika Bunge la Jamhuri amekuwa ni mchangiaji wa mara nyingi sana na muuliza maswali sana na kuomba kuhusu utaratibu na muongozo wa spika mara kwa mara kiasi cha kusababisha hata kutolwa nje na spika pale anapokataa kutii kiti cha spika.

Nakumbuka hata wakati wa Bunge la Katiba hapo ndipo Mhe Lissu alikuwa mkali kama mbogo kwa baadhi ya taratibu alipoona kama vile zina malengo fulani ambayo hayakuwa na faida kwa baadhi ya makundi.

Kwa ujumla ukimuangalia Mhe Lissu na jinsi anavyochangia mada au hoja na maneno anayotumia kwenye public kiukweli sidhani kama anaweza kuwa sahihi kuwa Rais ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi mkuu wa Majeshi ya ulinzi na usalama.

Kwa mtazamo wangu mimi kiukweli nidhamu ya Tundu Lissu katika kuchangia mada au hoja kwa wenzake huwa kuna dharau kubwa sana anaonyesha kiasi cha kutoheshimu michango ya wenzake na kama ndivyo alivyo basi kiti cha uraisi sidhani kama ni size yake.
Kuliko yule?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa presentation kama hii nani katika jumuiya ya academicians atakuheshimu! Watu wenye IQ hata ya wastani watakudharau! very shallow reasoning portrayed!
hata kama unajua mambo mambo kitaaluma hutakiwi kuonyesha dharau kwa wenzako.......'wewe mwanasheria wa wapi' hizo ni dharau kwa mwanataaaluma mwenzako
 
Maneno Meier:

Sikutaka ku'quote bandiko lako sehemu yoyote, kwa sababu ningekwoti sehemu nyingi mno zenye upungufu na kutaka kurekebishwa.

Pia sikutaka ku'quote' bandiko lote kwa sababu halistahili kulirudisha lote lilivyo kwenye mjadala huu.

Niseme tu, "Umechanganyikiwa sana; hata usijue unachokisema." Najua utabisha, lakini ungetulia na kusoma tena ulichobandika hapo juu, nadhani usingeamini kwamba ni kweli ndicho ulichokiandika wewe mwenyewe.
hata usipo quote bandika lakini boss wako hafai kuwa Rais ana mihemko kwa kila mahali ambapo anaitwa kuhojiwa na hata michango yake bungeni kila mchango wake utafikiri anagombana na wabunge wenzake au spika na dharau kibao kwa wenzake.utasikia anawaita wenzake 'misisiemu' huyo ndo anafaa kuwa Rais huyo.....
 
Hoja legeeebuuu kama ugali mbichi wa muhogo.
boss wako anadharau sana na hana busara anapenda sana ubishi kila mahojiano yeye ni mbishi tu.na anapenda sana kutoa tuhuma,hukumu na kufunga kesi na hicho ndicho kinacho mgharimu.Hata mahojiano yake sasa yanaanza kukosa maana kimataifa.Na hasa anapoulizwa ataje vitu vitatu ambavyo Rais Magufuli amefanya vizuri... yeye anajibu kwa kukebehi Mwamoyo Hamza wa VOA akawa anamshangaa tu kejeli zake alipomuuliza swali hilo.
 
sijawahi kumsikia popote pale Mwl Nyerere akidharau mtu kwasababu tu alichokiongea hakina mantiki kama anavyofanya boss wako
Alipokuwa anamzungumzia yule wazuri muhuni/mchepukaji wa kule Uingereza ulimsikia vema alivyokuwa anamjengea picha kichwani?
 
Nimsikia Mhe Tundu Lissu akiwa huko Uingereza kuwa akipata ridhaa ya watanzania na chama chake basi atagombea kiti cha urais katika uchaguzi mkuu ujao wa 2020.

Nimekuwa nikumuangalia Mhe Tundu Lissu alipokuwa mwanaharakati na mtetezi wa madhila waliyokuwa wanapata wananchi katika migodi mbalimbali huko kanda ya ziwa na baadaye kuwa mbunge wa Singida.

Akiwa mbunge katika Bunge la Jamhuri amekuwa ni mchangiaji wa mara nyingi sana na muuliza maswali sana na kuomba kuhusu utaratibu na muongozo wa spika mara kwa mara kiasi cha kusababisha hata kutolwa nje na spika pale anapokataa kutii kiti cha spika.

Nakumbuka hata wakati wa Bunge la Katiba hapo ndipo Mhe Lissu alikuwa mkali kama mbogo kwa baadhi ya taratibu alipoona kama vile zina malengo fulani ambayo hayakuwa na faida kwa baadhi ya makundi.

Kwa ujumla ukimuangalia Mhe Lissu na jinsi anavyochangia mada au hoja na maneno anayotumia kwenye public kiukweli sidhani kama anaweza kuwa sahihi kuwa Rais ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi mkuu wa Majeshi ya ulinzi na usalama.

Kwa mtazamo wangu mimi kiukweli nidhamu ya Tundu Lissu katika kuchangia mada au hoja kwa wenzake huwa kuna dharau kubwa sana anaonyesha kiasi cha kutoheshimu michango ya wenzake na kama ndivyo alivyo basi kiti cha uraisi sidhani kama ni size yake.
Kiti cha Urais ni size ya nani? Cha hao wanakula trilion 1.5, kula 10% ununuzi wa ndege? au wanaojenga kiwanja cha ndege kijijni? Rais mzuri ni yule anayeminya demokrasia kuwabambikia kesi kuwapiga Risasi Wapinzani?
 
Back
Top Bottom