Najua but niko huru na si wewe uliyemaliza chuo lakini akili na fikra zako zimeshikiliwa na Mwanaume anayekulipa ku-bluffing hapa!Ndugu, sikufahamu lakini hoja zako ni kama za vijana wa darasa la nne.
For the first time FaizaFoxy umeandika mambo ya msingi ambayo siyo ya kishabiki hata mimi nimeishqngaa sirikali kwa kutokuja na majibu badala yake wakamshambulia Tundu Lisu hii inaleta maswali mengi sana juu ya serikali inayoamini utawala wa sheria.
Zamani wapinga muungano kama alivyo Tundu Lissu walikuwa wanashughulikiwa ipasavyo. Tumshukuru Mungu kwa kutuletea Rais mvumilivu sana kwa sasa
MwanaDiwani,
Mbona hujagusia hoja za akina Kassim Hanga na wenzake aliowataja Tundu Lissu kwa majina? wako wapi?
Miaka karibu 240 ya uhuru wa USA kuna majimbo hayajawahi kutoa Rais na husikii wamarekni kuifanya hii ni hoja, Kiongozi achaguliwe kwa uwezo wa kuongoza Taifa sio dini yake au pande gani ya nchi anatokea, siku tukijitenga hawa hawa watatuambia Wanyiramba au wanyakyusa hawajawahi kuongoza nchi kwa hiyo Mbeya wajitenge. na siyo kila mpinga hoja za Lissu ni CCM , wengi hatupendi CCM ila hoja za kizushi hizi we'r sick and tired of them
Masuala ya Hanga kwa sasa ni ya kifamilia zaidi na wala sio ya serikali kujibu.
Kama utakuwa muelewa, serikali iliyopo madarakani, ina wajibu wa kulinda raia na mali zao, na sio kuwafanya hayo mambo ambayo wewe na watu wa aina yako mnakisia.
Kwa akili ya kawaida tu, hivi kama kweli Nyerere au Karume wangekuwa na nia mbaya dhidi ya Hanga, unadhani wangemuweka hadharani!? Si wangefanya mambo kimya kimya tu..
Ila hadi kumuona Hanga mikononi mwa sheria, basi ujue kwamba suala lake lilikuwa mahakamani na kama CHADEMA au Kambi ya upinzani inataka majibu tofauti na ambayo mtoto wa marehemu ameyatoa, basi bila shaka hawana budi kulithibitishia taifa juu ya madai yao.
FaizaFoxy siku hizi nimetokea kukupenda sana sijui kwa nini! Anyway tuache hayo, asante sana kwa swali lako hili kwa huyu jamaa MwanaDiwani ambaye kila wakati ana act kama Personal secretary wa Mwigulu.MwanaDiwani,
Mbona hujagusia hoja za akina Kassim Hanga na wenzake aliowataja Tundu Lissu kwa majina? wako wapi?
Mama FaizaFoxy
MwanaDiwani ni njaa,ujinga,unafiq ndo vinamsumbua.
Huyo ni sawa na yule mtoto wa Hanga aliyekurupuka na kudai kumpeleka Lissu Mahakaman.
Juma Abdallah Hanga, na Tundu Lissu alimuongelea Kassim Hanga. Wapi na wapi?
Lukuvi alikemea Uamsho ambao ndio wachomaji wa makanisa na wauaji wa mapadri na UAMSHO ina affiliate na CUF msilete blaha blaha lukuvi was very straight forwad pamoja na kuichukia kwangu CCM , hata Prsident mwenyewe hajaweza kua brave kama Lukuvu get the F** out hereNatamani sana nimuone huyo mtoto anaenda mahakamani, ndipo mbivu na mbichi za Zanzibar na Tanganyika zitapojitokeza.
MwanaDiwani anashindwa kuelewa kuwa maandamano ya Tunisia yalianza kwa mtu mmoja kuilalamikia Serikali kuwa haitoi majibu kwa dhulma zilizofanyika zamani na akaamuwa kujichoma moto hadharani, hilo ndilo lililopelekea utawala kuangushwa., huo kuangushwa na effect yake ikawafikia Wamisri, Walibya na kwingineko.
Hakuna kitu kibaya kama Serikali kutoa kauli za kuwafanya watu wote ni wajinga.
Nikimsoma huyu MwanaDiwani kwa masuala nyeti kama haya na niliposikiliza William Lukuvi aliyoyaongea Kanisani nnawaweka katika kundi la unafik wa hali ya juu sana. Na watu kama hawa hawakitakii mema chama changu cha cha CCM na wala hawamtakii mema Rais Jakaya Kikwete.
Ni kawaida kwa serikali kupotosha maana wakati wanapobanwa. Leo katika siku zote umeongea point na kukikosoa chama chako. Bravo,naona umeanza kubadilika na kuwa na upeo mkubwa sasa.
Lukuvi alikemea Uamsho ambao ndio wachomaji wa makanisa na wauaji wa mapadri na UAMSHO ina affiliate na CUF msilete blaha blaha lukuvi was very straight forwad pamoja na kuichukia kwangu CCM , hata Prsident mwenyewe hajaweza kua brave kama Lukuvu get the F** out here
kuna kabila nyibgi TZ hawajawahi kutoa rais wala waziri mkuu Zanzibar wamepata hiyo nafasi hii sio hoja wana siasa wanakuongopea na wewe unakurupuka tuKwa maelezo yako, kwa kipindi cha miaka 50 hakujatokea binaadam kutoka Zanzibar kuwa na uwezo wa kuwa Mkuu wa Polisi, Jeshi, Uhamiaji, Balozi na sehemu nyengine ndani ya Muungano. Viongozi wenye uwezo wanazaliwa upande mmoja tu wa Muungano. Tumechoka kufanywa koloni na watanganyika, kuliko wewe uliochoshwa na hoja za kizushi.
Toa basi ukweli wake madam
Unamsoma FaizaFoxy lakini humuelewi na sidhani kama utakuja kumuelewa!! Huyu dada/bibi alishawahi kulimwa #LifeBan na #Mods ...miaka ile (nadhani badae alisamehewa na ndo ndio unamuona tena hapa jamvini).
Linapokuja suala la Zanzibar na Muungano huyu FaizaFoxy ni moto mwingine kabisa, hatawaliwi na fikra za Kiinterahamwe! Mara nyingi anasimamia anachokiamini kuwa huenda ni sahihi,mpaka kitolewe ufafanuzi wa kina. Anajua mifumo ya kiutawala inavyoikandamiza wazenj. Ndio maana hapa unaona kuna mpambano mkani na huyo MwanaDiwani ambapo kwa fikra za FaizaFoxy anadhani huyo diwani AMELEWA MADARAKA na amepofuka na ndo mana anacheza na maneno billa majibu murua.
Tuendelee kuufuatilia huu mjadala, labda tutapata majibu ya hayo maandaki.
Naona mpaka leo huelewi
kwanini UKAWA walisusa na kutoka BMK. Na walipotoka ni nani alikuwa
akitoa hoja na alisema nini.