Tundu Lissu avurugwa.

Tundu Lissu avurugwa.

Hilo si lingeulizwa Baraza La Wawakilishi, au kule kwa Karume.
Amani si bado yupo.
Lissu hana akili sana na ukimfuata unaonekana sawa naye.
Kwanini haulizi Dedan Kimathi kaburi lake liko wapi?
kwani na huyu alikuwa anahoji muungano wa tanganyika na zanzibar?
 
kuna kabila nyibgi TZ hawajawahi kutoa rais wala waziri mkuu Zanzibar wamepata hiyo nafasi hii sio hoja wana siasa wanakuongopea na wewe unakurupuka tu

Mnaona makosa mnayofanya? Haya ndio haswa yanawaudhi wazanzibari! Yaani kwako zanzibar ni sawa na mkoa tu! Hujui zanzibar ni nchi? Na ina hadhi tofauti kabisa na mikoa ya tanganyika? Mtauteteaje muungano ambao upande mmoja tu ndio una haki ya kutoa viongozi wakubwa huku upande mwingine ukiwa watazamaji? Chochote zanzibar wananchopata katik huu muungano ni kwa hisani tu ya viongozi na wala sio kikatiba. Hivi baada ya mkapa, kikwete, sasa CCM mtadhubutu kuweka rais mwingine kutoka tanganyika kana kwamba zanzibar hakuna mwenye uwezo wa kuwa rais? Hii itadhibitisha kwamba CCM munaangalia zaidi madaraka lakini sio usawa katika muungano!
 
Sijaona hizo hoja zinazowahusu akina Kassim Hanga kujibiwa, Jee, ni kweli waliuliwa na kuzikwa kwenye handaki moja na Nyerere na Karume?

Itakuwa ni kutetea maovu kama CCM na Serikali haijajibu hoja hizo na kuusema ukweli. Hazifai kupuuzwa hata kidogo.
Dada kwa hilo hakuna hatakaye jibu,umeuliza vitu vigumu sana.wanaposema Lisu mwongo wajibu hili tujue uongo wake kuhusu akina Kassim Hanga.Ndoyo maana tunasema kuwa Damu ya Mtu ni Nzito na inanena yameibuka ya kina Hanga,watasema upepo utapita ndiyo majibu yao.
 
Mwigulu ni jizi,atuambie wapi zipo bilioni 200 yeye kama waziri wa fedha na signatory wa akaunti za selikali. CCM ni ukoo wa panya.
 
mkuu ulikuwa na point ila kinachokuaribia ni infiriorty ya udini. ila nikusaidie tu kuwa hizi dini ni (uisilam na ukristo) ni tamaduni za kigeni na kinachomata ni uaminifu wako na unayemwamini tu.

Ushaniharibia siku.

Naona unakuwa punguani na kujifunika mawazo yako hata kusema ukweli au kuusoma ukweli kunakushinda nimeuliza swali jepesi sana, unashindwa kulijibu kutoka kwenye ukweli na unaanza eti kuleta mambo ya udini. Alichokifanya William Lukuvi Kanisani unakiitaje?

Nimeuliza hivi:

Naona mpaka leo huelewi kwanini UKAWA walisusa na kutoka BMK. Na walipotoka ni nani alikuwa akitoa hoja na alisema nini?
 
Mwigulu ni jizi,atuambie wapi zipo bilioni 200 yeye kama waziri wa fedha na signatory wa akaunti za selikali. CCM ni ukoo wa panya.

Hili la Billion 200 usichanganye na hili linalojadiliwa hapa. Hilo la fedha limeshatolewa uamuzi bungeni na kinachongojwa ni uchunguzi wa kina wa CAG, PAC na TAKUKURU. Hivyo ni vyombo vitatu na kila kimoja kitakuwa na report yake. Tusiwe wajinga kwa kupoteza muda kuongolea mambo ambayo huwezi kuyapatia ufumbuzi mpaka report za uchunguzi zikamilike.

Tulikuwa tunataka na hili la akina Hanga liundiwe tume huru iubaini ukweli, la sivyo halitaisha hili leo wala kesho na litasababisha maafa makubwa sana siku za usoni likikaliwa kimya, si jambo la kupuuzwa hata kidogo.
 
Mama Winnie Mandela katika kesi yake ya utekaji na mauaji wakati ule wa utawala wa kibaguzi ilionekana katika mazingira yale ya mapambano, matukio kama yale hayakuwa yakiepukika. Hivi siri za serikali zinatunzwa kwa mingapi vile! 50 au 30?
 
kwani na huyu alikuwa anahoji muungano wa tanganyika na zanzibar?
Nimewauliza ninyi watu wenye upeo finyu mnijibu, kama na huyo jamaa yuko wapi sasa.
Nyinyi si mna uchungu? tafuteni majibu mjiridhishe.
Kwa vile inaelekea ufinyu wa uzalendo wenu uko ndani ya mipaka iliyowekwa na wakoloni na si vinginevyo.
Mtakuwaje na uchungu kwa Mandela na msiwe na uchungu kwa jirani zetu wa ukombozi.
Mtakuwaje na uchungu kwa Wazanzibari, kina Hanga, halafu mkakosa uchungu kwa akina Tuntemeke Sanga
Mtakuwaje na unchungu kwa Wazanzibari wakati kuna kina Kambona na kina Sokoine walikuwepo
Unafiki wa kisiasa una mwisho wake, jijazie makaa ya moto, ujioke mwenyewe.
 
Mnaona makosa mnayofanya? Haya ndio haswa yanawaudhi wazanzibari! Yaani kwako zanzibar ni sawa na mkoa tu! Hujui zanzibar ni nchi? Na ina hadhi tofauti kabisa na mikoa ya tanganyika? Mtauteteaje muungano ambao upande mmoja tu ndio una haki ya kutoa viongozi wakubwa huku upande mwingine ukiwa watazamaji? Chochote zanzibar wananchopata katik huu muungano ni kwa hisani tu ya viongozi na wala sio kikatiba. Hivi baada ya mkapa, kikwete, sasa CCM mtadhubutu kuweka rais mwingine kutoka tanganyika kana kwamba zanzibar hakuna mwenye uwezo wa kuwa rais? Hii itadhibitisha kwamba CCM munaangalia zaidi madaraka lakini sio usawa katika muungano!
Tatizo ni viongozi wa CCM na uroho wa madaraka wanawasahu viongozi Zanzibarar wanapokuwa wanaliibia taifa hoja za kwa nini Rais au IGP hajatoka wapi ni za watu wachache ili na wao wapate kuliibia taifa, CCM na wapinzania wamekua wanafiki kwenye hili, mwananchi wa kawaida Rais akitokea Z'bar inamsaidia nini? acha ushabiki, Ndani ya muungano wananchi wa kawaida wamenufaika sana,na hasa wa Zanzibar
 
Hili la Billion 200 usichanganye na hili linalojadiliwa hapa. Hilo la fedha limeshatolewa uamuzi bungeni na kinachongojwa ni uchunguzi wa kina wa CAG, PAC na TAKUKURU. Hivyo ni vyombo vitatu na kila kimoja kitakuwa na report yake. Tusiwe wajinga kwa kupoteza muda kuongolea mambo ambayo huwezi kuyapatia ufumbuzi mpaka report za uchunguzi zikamilike.

Tulikuwa tunataka na hili la akina Hanga liundiwe tume huru iubaini ukweli, la sivyo halitaisha hili leo wala kesho na litasababisha maafa makubwa sana siku za usoni likikaliwa kimya, si jambo la kupuuzwa hata kidogo.

Suala la kuunda tume kuchunguza suala la kuuwawa kimafia watu waliokuwa wanamawazo tofauti juu ya muungano,ni kitu ambacho selikali iliyopo madarakani ije kutoka ndipo kitafanyika!! Selikali yako tukufu haiwezi kulifanya hilo!
 
njia nzuri ya kunyamazisha upinzani ni kutoa hoja zenye mashiko na sio vijembe na matusi kama wanavyofanya chama tawala,kwani wanawapa umaarufu hao kina lissu.Kama vipi chama tawala kingezuia baadhi ya memba kuongea coz wanaleta confusion badala ya kujenga hoja thus wanashusha hadhi ya chama.Mfano mtu anasema wataingia msituni kisa serikali tatu afu ndo umfananishe na Lissu?
 
Suala la kuunda tume kuchunguza suala la kuuwawa kimafia watu waliokuwa wanamawazo tofauti juu ya muungano,ni kitu ambacho selikali iliyopo madarakani ije kutoka ndipo kitafanyika!! Selikali yako tukufu haiwezi kulifanya hilo!

Uliona wapi hayo maneno hata wewe ukaiga kuyaandika?
 
Tundu Lisu ni Kichaa, mwendawazimu, Zimwi, Shetani, baladhuri, Kenge, gaidi, ibilisi, Lucifa, Jambazi la kisiasa, mzee wa gubu, mbw mwitu.

ha ha ha hapa ndo umejibu hoja mkuu ?!!!!?!!!. Kwa maandiko haya nimekubali Tanzania haikuonewa kuwa nchi ya Tisa( kuwemo katika kumi bora) ambayo watu wake hawafikiri vizuri !!!&!!!?
 
Uliona wapi hayo maneno hata wewe ukaiga kuyaandika?

SERIKALI,,haya mama mzazi! lakini kiukweli kabisa suala la tume itakuwa ngumu kwa selikali ya CCM kulifanyia kazi!! Asante kwa usahihi.
 
Hoja za lissu hazijawahi kujibiwa kamwe na mainterahamwe, zaidi ya kumshambulia yeye binafsi! Lissu bado ni mwiba mkali umagambani na interahamwe kiujumla!

Si kwamba ameachwa kwasababu anajipeleka mtegoni na kwamba atagota akifika huko? Kibaya zaidi Umati mkubwa utagota naye.
 
Back
Top Bottom