Tetesi: Tundu Lissu Asikitishwa na yanayoendelea Chadema na Uchaguzi 2020

Nakumbuka 2014 kuna uzi ulianzishwa ukisema Kama Lowasa akihama CCM, CDM mtampokea?

Wengi walikana kama wanavyokana leo. Matokeo yake ndo kama vile, watu waka abandon ID zao.

Kama haupo kwenye watu wanaoweza kufanya maamuzi acha ubishi, kwani ukinyamaza unakufa?

Tusije kimbia ID zetu humu.
 
Member since August 20, 2018 ndo maana unaleta propaganda za kishamba kwa ujira wa buku 7! Si urudi shamba ukalime tu kama mji umekushinda? Pathetic!
 
CHADEMA kumzungumzia Membe.....!!!!!
CHADEMA kumsahau Lisu..........!!!!!
This is purely childish......
Kama mtu unaweza tu kuwa na kautuuzima kidogo usingweza kuanzisha propoganda na uzushi wa aina hii.
Inatakiwa mtu uanzishe propoganda yenye evidence za kushabihiana na propoganda zako!
Lini CHADEMA ilimzungumzia membe?
Lini CHADEMA ilimtangaza Lisu kama mgombea uraisi wa 2020?
Purely childish.
 
Hivi , man u na arsenal walitoka ngapi ngapi vile ??
Hivi akitoka Magu si itakuwa zamu ya mwislamu kutawala au kautaratibu haka safari hii tunakakiuka. Ahaa nimekumbukaa niliwahi kusikia Mango alibadili dini ila sijui alijiita nani vile...???
 
Chadema wote ni nyumbu tuu. Hawajielewi, wanaenda na matukio
 
Kwahiyo huyo jamaa yako na TL wamekuteua wewe kubwa msemaji wao ? Propaganda za green Gamba hazinaga mashiko kabisa.
 
Aliyekwambia nyumbu ana kumbukumbu nani?
Tabia ya nyumbu hata akiona mwenzie anakamatwa na yeye anaenda hapohapo kuangalia
 
Hata mimi nimepenyezewa TL kachukizwa sana na kitendo cha Chadema kumpaisha Membe na kumsahau pamoja na maumivu anayopitia
 
Mbowe anawanyima usingizi mpaka mmepeleka mswaada bungeni kumdhiti
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…