Kama ameanza kusoma mbona hatuoni updates?
Chozi linanitoka...dalili hizi sio nzuri kwa Lissu hata kidogo.
Wewe umejuaje?? Hatutaki popo huku!!
Kati ya Tundu Lissu au John Mnyika lazima mmoja apoteze jimbo...pamoja na Makongoro Muhanga.
Mkuu tusamehe bure kama tumekosea kuunganisha Topics!
umemuweka makongoro kututeka saikolojia zetu,ili 2amini hukumu masalia mbovu,katika hao makongoro ndo atapoteza.
Serikali ianpoleta Polisi na vifaa vyote toka mikoa ya jirani just for one case of one MP, what does it mean?? Who pay for their extra allowances?? fuel?? etc??? isnt our PAYE????? God help us. Amen!!!
Chozi linanitoka...dalili hizi sio nzuri kwa Lissu hata kidogo.
Mbona kimya wakuu update hakuna au ndio vilio vimeanza kama Arusha.
Kati ya Tundu Lissu au John Mnyika lazima mmoja apoteze jimbo...pamoja na Makongoro Mahanga.
Mkuu umeshakunywa chai?