Tundu Lissu amjibu Komba; short and clear

na kibarua cha nyimbo ktaota nyasi. sijui atakuwa anaimbia wapi maskini wa Mungu.
 
comment zenu zinanipa furaha .wanavyomuigiza orijino komedi naamini ndio komba halisi
 
Ndugu yangu, upo nchi gani hulijui hili! "Kitambi" ndiye aliyemnunulia Lulu gari. Kama hiyo haitoshi inasemekana kuwa "Kitambi" anapenda sana "kupita mlango wa nyuma" na inasemekana mmoja wa watu anaowala ni Mkibosho mmoja mwenye bar pale Mwenge.



singa chini
 
akiwa anahojiwa na ebony fm asubuh hii uko akiwa safarini, kwanza kaonyesha uungwana kukubali kusimamisha gari na kufanya interview, ametoa msimamo wake wa kuikataa budget na alipokuja kuulizwa juu ya swala la komba kuwaambia wabunge wa chadema wakapimwe akili, alijibu kwa ufupi kuwa komba kuna habari naye kuhusishwa kuwa na uhusiano na lulu.

Sasa hapo nani anastahili kwenda kupimwa akili?
ajiulize mwenyewe,limwili lote lile,kuklalia kitoto kama kile si balaa tupu!
 
Semi za Mzee wa Misiba ya Kitaifa, aliwai kusema kama tanzania ingekuwa ndogo kama rwanda kwa kasi ya maendeleo lami ingefika mpaka chooni. Hivi leo katoa la kupimwa akili , yeye ndiye apimwe kwanza huyu Mr. Kitambi Kongoro kwa kukalalia katoto kijeba (18) AKA LULU
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom