Tundu Lissu amjibu Komba; short and clear

Ndugu yangu, upo nchi gani hulijui hili! "Kitambi" ndiye aliyemnunulia Lulu gari. Kama hiyo haitoshi inasemekana kuwa "Kitambi" anapenda sana "kupita mlango wa nyuma" na inasemekana mmoja wa watu anaowala ni Mkibosho mmoja mwenye bar pale Mwenge.

Duuh! Kumbe Kitambi anatumia K-MWITU? duh! Ni hatari sana!
 
Kuharibika kwa CCM sio kingine ni watu waliomo ndani ya CCM, usitarajie komba aseme kitu chenye manufaa popote pale duniani, na kwa hili la lulu sidhani kama mbinguni anaweza sema hoja yoyote.

UKIBISHA KAMA KAWAIDA YAKO, jiulize kama CCM wanachama wangekuwa na akili si wangeshauri chama kabla waTZ hawajawakataa? hakuna mwenye akili aliyeko CCM.
 
Namshangaa baba yake lulu anashindwa kumfungulia mashtaka john komba
aliyemharibu binti yake hata akafikika kumjengea nyumba.

Mzee Kimemeta hebu lianzishe hata kama lulu bado yuko magereza
kesi nyingine iwe inaendelea.

Akiwa anahojiwa na ebony fm asubuh hii uko akiwa safarin, kwanza kaonyesha uungwana kukubali kusimamisha gari na kufanya interview, ametoa mcmamo wake wa kuikataa budget na alipokuja kuulizwa juu ya swala la komba kuwaambia wabunge wa chadema wakapimwe akili, alijibu short n clear kuwa komba kuna habari nae kuhucshwa kutoka na LULU. Sasa hapo nan anastahili kwenda kupimwa akili?
 
Nyie nao mnamjadili hata Komba! Jana aliunga mkono bajeti 100% (akimaanisha haina dosari hata nukta), wakati kwenye mchango wake alikosoa mambo mengi ikiwa ni pamoja na bajeti yenyewe kushindwa kuwasaidia watu wake kwenye kilimo na uvuvi. Sasa hiyo 100% inatoka wapi, unafikiri anajua hesabu huyu? Watu wengine ni wa kuhurumiwa tu.

Huyu ndo wakupima akili sasa
 
Kitambi chote kile hawezi kufikiri kwa akili yake hata siku moja. yule ni chapa punga tu. usingizi kwa sana na mijambo ya kila aina. ukikaa nae karibu unaweza zimia kwa gesi ya sumu anayotoa kila mara. Ashukuru sana TOT na ssm yake kwa ujumla. Leo hii angekuwa bwabwa tu!
 
ndugu zangu! mijitu yenye raana kuanzia matendo mpaka damu zao huwa hayana aibu na hayajui yanatoka wapi na yanakwenda wapi
1: bwana kitambi anasapoti budget na wakati huo anadai jimbo lake ni masikini, 2: Anajaribu kuwavua watu soksi wakati yeye yuko uchi wa mnyama alikuwa hajui kwamba watu wanazo data kuhusu yeye na LULU haoni hapo kama yeye ndio wakupelekwa mirembe?.
 
Jamani watu wengine tunapashwa kuwasamehe bure
Shida ya sisi watanzania ni kudhani kila anayeitwa mheshimiwa basi anazo kichwani. nitawapa namaanisha nini !
Komba wakati bunge letu lilipokuwa limesheeni watu makini yeye alikuwa mnenguaji, akiwaburudisha watu baada ya kufanya kazi nzito za kufikiri na kuangalia mustakabali wa Nji hii . Sasa zimekuja nyakati za vanga vanga , nyakati za kuchanganya kototo , vumbi , changarawe na maji , ndiyo hali unaona Mjengoni. mifano . kuna Profesa kuna Kihiyo, kuna Brigedia kuna Private, kuna Mganga wa kienyeji , kuna Dakatari bingwa, kuna Kasisi kuna Pagani, kuna Wanenguaji, kuna Washarabolo,Kuna masista du , kuna Misheni town. Kigezo cha kuwaingiza humo ni ropoka ,ponda utakavyoweza, beza CDM tukuingize mjengoni
 
Kituko kingine ni pale aliposema upande wao wako wengi na kuna ngumi nyingi hivyo basi watawaua,kama ccm ndo ya kina Mwigulu na kina Komba for sure lazima wengine tutafia kwa kutetea haki.maana inachanganya akili kusikia analalamika kuhusu umasikini wa jimbo lake halafu mwisho wa siku useme unaunga mkono hoja 100%
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom