Uchaguzi 2020 Tundu Lissu akiwa Tunduma leo

17 September 2017
DAKIKA 26 ZATUMIKA KUMUOMBEA TUNDU LISU JIMBO LA TUNDUMA
Maombi yao wanaTunduma mwaka 2017 , leo yamejibiwa 2020 kweli Mungu Mkubwa cheki walivyokuwa wanamuombea Tundu Lissu mwaka 2017 ktk video clip hii:

Source: DSS Tunduma
 
Duh..., laiti kama wote ni wapiga kura!.
Haya mambo ya mafuriko haya!.

Kulishawahi kutokea mafuriko kama haya
View attachment 1542119View attachment 1542118View attachment 1542117
Na haikusaidia kitu!, mtu alikula mwereka!.
Tusijifariji na mafuriko tuu ya watu, tujiulize jee ni wapiga kura?. Wamejiandikisha?, na siku ya kupiga kura, watajitokeza?, watapiga kura?.

Majibu ni Tarehe 28 October!.
P
Pasco we ni mtu mzima sana, kama unafki hauja kunufaisha ujana wote bado una matarajio utakufaa katika utu uzima wako?
 
Duh..., laiti kama wote ni wapiga kura!.
Haya mambo ya mafuriko haya!.

Kulishawahi kutokea mafuriko kama haya
View attachment 1542119View attachment 1542118View attachment 1542117
Na haikusaidia kitu!, mtu alikula mwereka!.
Tusijifariji na mafuriko tuu ya watu, tujiulize jee ni wapiga kura?. Wamejiandikisha?, na siku ya kupiga kura, watajitokeza?, watapiga kura?.

Majibu ni Tarehe 28 October!.
P
Na wewe hauna mashiko wala ushawishi tena, njoo uku Tandahimba nikupe kazi ya kupulizia korosho, maana hata Jiwe kakusahau
 
Duh..., laiti kama wote ni wapiga kura!.
Haya mambo ya mafuriko haya!.

Kulishawahi kutokea mafuriko kama haya
View attachment 1542119View attachment 1542118View attachment 1542117
Na haikusaidia kitu!, mtu alikula mwereka!.
Tusijifariji na mafuriko tuu ya watu, tujiulize jee ni wapiga kura?. Wamejiandikisha?, na siku ya kupiga kura, watajitokeza?, watapiga kura?.

Majibu ni Tarehe 28 October!.
P
Hawakupi majibu katika hilo, nyomi inawapa matumaini sana.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom