Sana sana.Wana mbeya tulisha jitambua kitambo
Hiyo mmechoma wenyewe kwa sababu si mara ya kwanzaSiwaelewi maccm.Kweli nimeamini chama kikikaa sana madarakani kinageuka kuwa chama cha kigaidi, ccm inaelekea huko
Duh haya si mapenzi bali ni mahaba.
Kumwitu kumwitu! Mpozile bha kutunduma!😀
Ni mimi na kichinjio, kichinjio na mimi!.Kaka Pascal tuliza mzuka kampeni hazijaanza wewe kamatia kichinjio chako tu.
Lazima waseme hivyo kwa kuwa ushindi wao hautokani na kura.Hahaha halafu ccm wanasema wingi wa watu sio ushindi,sijui wao wanapigiwa kura na majini au nini?!
Pasco we ni mtu mzima sana, kama unafki hauja kunufaisha ujana wote bado una matarajio utakufaa katika utu uzima wako?Duh..., laiti kama wote ni wapiga kura!.
Haya mambo ya mafuriko haya!.
Kulishawahi kutokea mafuriko kama haya
View attachment 1542119View attachment 1542118View attachment 1542117
Na haikusaidia kitu!, mtu alikula mwereka!.
Tusijifariji na mafuriko tuu ya watu, tujiulize jee ni wapiga kura?. Wamejiandikisha?, na siku ya kupiga kura, watajitokeza?, watapiga kura?.
Majibu ni Tarehe 28 October!.
P
Na wewe hauna mashiko wala ushawishi tena, njoo uku Tandahimba nikupe kazi ya kupulizia korosho, maana hata Jiwe kakusahauDuh..., laiti kama wote ni wapiga kura!.
Haya mambo ya mafuriko haya!.
Kulishawahi kutokea mafuriko kama haya
View attachment 1542119View attachment 1542118View attachment 1542117
Na haikusaidia kitu!, mtu alikula mwereka!.
Tusijifariji na mafuriko tuu ya watu, tujiulize jee ni wapiga kura?. Wamejiandikisha?, na siku ya kupiga kura, watajitokeza?, watapiga kura?.
Majibu ni Tarehe 28 October!.
P
Hao jamaa hawana adabu kabisa walithubutu kumzomea bwana magufuli 2015 hadi mzee wetu sauti ikamkauka.Tunduma kati ya sehemu ambazo Ngosha anazichukia Sana.
Teteeni tu, mkianza chomewa zenu msilielieHiyo mmechoma wenyewe kwa sababu si mara ya kwanza
Huyu jamaa ni tatizo aisee, ataua mtu kwa pressure.19 Agosti 2020
Tunduma, mkoa wa Songwe
Tanzania
TUNDU LISSU AINGIA TUNDUMA KWA KISHINDO WATU WAMESIMAMA NJIANI MJI MZIMA
Source : Silver TV
Huyu hapaHakuna mwingine View attachment 1542112
Wacha bwana ajitwalie utukufu, mtu mmoja hawezi kuharibu nchi na kusababisha mateso kwa watu zaidi ya 50m huku kajawa na kibri, hasikii wala haambiliki.Inabidi ambulance isi kae mbali
Mungu naa sio munguLissu lissu lissu mungu akupe nguvu umalize salama
Hawakupi majibu katika hilo, nyomi inawapa matumaini sana.Duh..., laiti kama wote ni wapiga kura!.
Haya mambo ya mafuriko haya!.
Kulishawahi kutokea mafuriko kama haya
View attachment 1542119View attachment 1542118View attachment 1542117
Na haikusaidia kitu!, mtu alikula mwereka!.
Tusijifariji na mafuriko tuu ya watu, tujiulize jee ni wapiga kura?. Wamejiandikisha?, na siku ya kupiga kura, watajitokeza?, watapiga kura?.
Majibu ni Tarehe 28 October!.
P
Mbeya Nyerere mwenyewe miaka hiyo anaitambua itakuwa huyu mchunga ng'ombe!!Hao jamaa hawana adabu kabisa walithubutu kumzomea bwana magufuli 2015 hadi mzee wetu sauti ikamkauka.
Na kuwaacha wasiojulikana wawashughulikie wanaomkosoa bwana yule nso Sera zakeTutashitakiwa MIGA
Nikichaguliwa ushoga ruksa
Ndiyo Sera za jamaa