digba sowey
JF-Expert Member
- Mar 1, 2017
- 10,173
- 22,130
Nani aliyekuambia mimi kamanda? Shwain.
Sawa. Na ukweli nikuwa Lissu njaa inamtandika sana mpaka amekuwa mpole mnoHamna anayekutukana, hapa unapewa ukweli wako tu.
Umekasirika?Jenga hoja kamandaaaaNani aliyekuambia mimi kamanda? Shwain.
Hivi wewe ni kati ya vile vijibwa vya hapo lumumba?
HatariiiiiiiiiiiiiLissu huyu ndiye anaomba misaada apate fedha ya kula na ya kuwasomeshea watoto,tena kwa mabwana zake.mhurumieni Rais wenu wa 2020, leo hii anaomba misaada hata kabla hajachukuwa hiyo form ya Urais,huruma sana
Jisikitikieni nyie wapiga debe mchwara mnalia njaa na mnayempigia debe analia njaa ni hatari sana,mtachangia hadi mtauza vijiko ili mpate fedha za kumchangia Rais wenu ombaomba,Jamani hebu na nyie wapiga debe njaa amkeni usingizini.Fikiria umeoa huna kazi na mke hana kazi hao watoto watakaozaliwa si watakuwa machokoraa/mateja wote?Ndio mfano wa huyo ombaomba anayetarajia kuwa Rais.Rais ombaomba,wananchi wake watakuwa ombaomba wakimbizi
Kama Urais unatafutwa kwa njia hii mmepataaa!!!!!
wWewe nomaaaView attachment 1023910
Komenti yako inanikumbusha AJALI.
Pumbaf zako wewe, kilanga cha nini?inakuuma kitu gani?kama mlitaka kumuua ikashindikana leo hii mapovu yanini?Lissu huyu ndiye anaomba misaada apate fedha ya kula na ya kuwasomeshea watoto,tena kwa mabwana zake.mhurumieni Rais wenu wa 2020, leo hii anaomba misaada hata kabla hajachukuwa hiyo form ya Urais,huruma sana
Jisikitikieni nyie wapiga debe mchwara mnalia njaa na mnayempigia debe analia njaa ni hatari sana,mtachangia hadi mtauza vijiko ili mpate fedha za kumchangia Rais wenu ombaomba,Jamani hebu na nyie wapiga debe njaa amkeni usingizini.Fikiria umeoa huna kazi na mke hana kazi hao watoto watakaozaliwa si watakuwa machokoraa/mateja wote?Ndio mfano wa huyo ombaomba anayetarajia kuwa Rais.Rais ombaomba,wananchi wake watakuwa ombaomba wakimbizi
Kama Urais unatafutwa kwa njia hii mmepataaa!!!!!
Wewe ndio unaamka leo, wenzako walianza hizi habari toka jana wakaambulia patupu. jitahidi uwe unaulizia wenzako hapo lumumba kuwa wamepost nini ili msiwe mnarudia post moja watu zaidi ya kumi
Hahahaha
Huu uzi ni funga kazi
Maana umenena yaliyo kweli
Njaa na mahala pa kulala na watoto shule
Uwiii in Isis voice
Jimboni kwake je?
Sent using Jamii Forums mobile app
Tutazidi kumchangia tu, endeleeni kuumia.
safi sana ikirudiwaWewe ndio unaamka leo, wenzako walianza hizi habari toka jana wakaambulia patupu. jitahidi uwe unaulizia wenzako hapo lumumba kuwa wamepost nini ili msiwe mnarudia post moja watu zaidi ya kumi
ni kweliila siku CCM ikitoka madarakani kuna watu watahangaika mjue........
wewe ndio kilanga usiojielewaPumbaf zako wewe, kilanga cha nini?inakuuma kitu gani?kama mlitaka kumuua ikashindikana leo hii mapovu yanini?
In God we Trust