LIMBOMAMBOMA
JF-Expert Member
- Oct 3, 2017
- 11,788
- 15,404
Chadema toeni akaunti tuchangie mara moja
Kamanda jenga hoja bila kejeliDuh! Vijibwa vya lumumba vimejikusanya tele katika uzi huu.
Bila shaka ni saikoloji ya kujifariji na kumfariji bosi kutokana na mateso wanayopata kutoka kwa Lissu aliyeko ziarani ughaibuni.
Wewe ni mgonjwa wa akili hivi unafikiria wabunge wote mishahara wanapata wapi na posho kama sio pesa za watanzania wote walipa kodi?ulitaka nchi iwe na kiwa nda cha fedha?
Mungu amsaidie jamani anaedheheka baba watu nchi za jiraniWewe ni mgonjwa wa akili hivi unafikiria wabunge wote mishahara wanapata wapi na posho kama sio pesa za watanzania wote walipa kodi?ulitaka nchi iwe na kiwa nda cha fedha?
Zile za tigo pesa, mpesa na airtel money kwenda kuchangia chadema zimefika kiasi gani mkuu.Na tutachanga kiroho safi na hatutochoka kuchangia, waliokwapua trillion 2 sio zao ni kodi zetu so hata Lisu tutamchangia bila kuchoka, tena yeye atakuwa anapata za halali kabisa.
Unajiropokea tu ukiitwa utatoa ushahidi?ndio maana nyie mazwazwa mnaropoka halafu mkipelekwa mahakamani ushahidi hakuna mnabakia maabusu halafu manadai uonevu ujinga huo.unapoongea uwe na ushahidiJiwe na genge lake waliomfanyia Lisu hivyo
Utaziulizia sana mwaka huuZile za tigo pesa, mpesa na airtel money kwenda kuchangia chadema zimefika kiasi gani mkuu.
Kamanda lissu akupe somo pia wewe, usimtukane aliyekubeba.Utaziulizia sana mwaka huu
Unajiropokea tu ukiitwa utatoa ushahidi?ndio maana nyie mazwazwa mnaropoka halafu mkipelekwa mahakamani ushahidi hakuna mnabakia maabusu halafu manadai uonevu ujinga huo.unapoongea uwe na ushahidi
Mshahara ni haki ya lissu kama mbunge, kitendo cha ndugai kutishia kusitisha mshahara wake ni kuvunja katiba.any way tutamchangia.Mwanzoni nilidhani ni stori ya kutunga, dah! Amefikia hapa? Hii hatari sana. Wanasiasa wengine jifunzeni. Msitegemee tu mshahara na pia usimtukane aliyekubeba.
Aende mahakamani.Mshahara ni haki ya lissu kama mbunge, kitendo cha ndugai kutishia kusitisha mshahara wake ni kuvunja katiba.any way tutamchangia.
Sipendi makamanda muanze kunitukana mkiijua ID yangu halisiWw unasifia, kipi kinakufanya utumie fake ID?
Waulize chadema mkuu, mimi nipo kumchangia Lisu chadema wanawanachama waoZile za tigo pesa, mpesa na airtel money kwenda kuchangia chadema zimefika kiasi gani mkuu.
Sipendi makamanda muanze kunitukana mkiijua ID yangu halisi
Wewe ni mgonjwa wa akili hivi unafikiria wabunge wote mishahara wanapata wapi na posho kama sio pesa za watanzania wote walipa kodi?ulitaka nchi iwe na kiwa nda cha fedha?
Wakati was utawala was wadhalimu wa makaburu, Tanzania ilikuwa msari was mbele kuomba jumuia ya kimataifa iinyime misaada S.Africa. He hapa Tanzania ilikuwa haiipendi S. Africa?Makubwa haya huyu Lissu anawataka Wafadhili wasitupe misaada wakati huo huo na yeye anaomba Msaada? Hii ni tabia ya UBINAFSI.
Pathetic!!!!!
Leteni na huku tz tuanze kuchangia hayo mapito tu hata hivyo mishahara ya wabunge wote si tunalipia sisi watanzania
Sent using Jamii Forums mobile app