BimaYaAfya
Member
- Nov 10, 2018
- 69
- 101
anakitu gani atake kuuwawa.mmetaka kumuua wenyewe sasa mnajiropokeawewe ndio kilanga usiojielewa
anakitu gani atake kuuwawa.mmetaka kumuua wenyewe sasa mnajiropokeawewe ndio kilanga usiojielewa
wewe ndio kilanga usiojielewa
anakitu gani atake kuuwawa.mmetaka kumuua wenyewe sasa mnajiropokea
Mbona nchi yetu ni omba omba miaka nenda rudi?Lissu huyu ndiye anaomba misaada apate fedha ya kula na ya kuwasomeshea watoto,tena kwa mabwana zake.mhurumieni Rais wenu wa 2020, leo hii anaomba misaada hata kabla hajachukuwa hiyo form ya Urais,huruma sana
Jisikitikieni nyie wapiga debe mchwara mnalia njaa na mnayempigia debe analia njaa ni hatari sana,mtachangia hadi mtauza vijiko ili mpate fedha za kumchangia Rais wenu ombaomba,Jamani hebu na nyie wapiga debe njaa amkeni usingizini.Fikiria umeoa huna kazi na mke hana kazi hao watoto watakaozaliwa si watakuwa machokoraa/mateja wote?Ndio mfano wa huyo ombaomba anayetarajia kuwa Rais.Rais ombaomba,wananchi wake watakuwa ombaomba wakimbizi
Kama Urais unatafutwa kwa njia hii mmepataaa!!!!!
Lofa kweli wewe,acha kuishi kwa kukalili,bando lenyewe umekopa halafu unasema unalipa mishahara ya wabunge
Sent using Jamii Forums mobile app
Tokea jana unahangaika tu!Hahahaha
Huu uzi ni funga kazi
Maana umenena yaliyo kweli
Njaa na mahala pa kulala na watoto shule
Uwiii in Isis voice
Jimboni kwake je?
Sent using Jamii Forums mobile app
Sawa kamanda.Waulize chadema mkuu, mimi nipo kumchangia Lisu chadema wanawanachama wao
Janja yote kumbe serikali ndiye inasaini mshahara wake upite.Sawa. Na ukweli nikuwa Lissu njaa inamtandika sana mpaka amekuwa mpole mno
Haaaaaaa Kuna kitu unakiamini
Unafurahia anachofanyiwa? Unafurahia yeye kunyimwa mshahara? Kwann watu weusi tuna roho za kinyama sana? Jiulize angekuwa kaka yako ingekuwaje?Janja yote kumbe serikali ndiye inasaini mshahara wake upite.
Unaona jinsi serikali yetu ilivyo sikivu. Pamoja na matusi yake huyo mwanasheria wenu nguli serikali imsainia mshahara wake.Janja yote kumbe serikali ndiye inasaini mshahara wake upite.
Unaona jinsi serikali yetu ilivyo sikivu. Pamoja na matusi yake huyo mwanasheria wenu nguli serikali imsainia mshahara wake.
Sawa. Na ukweli nikuwa Lissu njaa inamtandika sana mpaka amekuwa mpole mno
Lissu huyu ndiye anaomba misaada apate fedha ya kula na ya kuwasomeshea watoto,tena kwa mabwana zake.mhurumieni Rais wenu wa 2020, leo hii anaomba misaada hata kabla hajachukuwa hiyo form ya Urais,huruma sana
Jisikitikieni nyie wapiga debe mchwara mnalia njaa na mnayempigia debe analia njaa ni hatari sana,mtachangia hadi mtauza vijiko ili mpate fedha za kumchangia Rais wenu ombaomba,Jamani hebu na nyie wapiga debe njaa amkeni usingizini.Fikiria umeoa huna kazi na mke hana kazi hao watoto watakaozaliwa si watakuwa machokoraa/mateja wote?Ndio mfano wa huyo ombaomba anayetarajia kuwa Rais.Rais ombaomba,wananchi wake watakuwa ombaomba wakimbizi
Kama Urais unatafutwa kwa njia hii mmepataaa!!!!!
ila siku CCM ikitoka madarakani kuna watu watahangaika mjue........
Kwa shetani kufuru rukhsa lakini jehanum iko pale pale inamsubiri. Dua za shetani za kutaka Mh. Lissu afe kama kawaida mbele ya Muumba wa Mbingu na Nchi zikapigwa stop.CCM NI YA MILELE WALAHI
Usithubutu kufananisha Harakati za Ubaguzi wa rangi nchini Afrika kusini na Kinachotokea huko Ulaya kwa kupitisha mabakuli (Omba Omba Style).Wakati was utawala was wadhalimu wa makaburu, Tanzania ilikuwa msari was mbele kuomba jumuia ya kimataifa iinyime misaada S.Africa. He hapa Tanzania ilikuwa haiipendi S. Africa?