Tundu Lissu: Acheni kutunga uongo, mshaurini Rais Samia awataje na kuwakamata walionishambulia

Ni kweli, mama Samia hebu washughulikie hawa WAHUNI waliokuwa wanateka teka watu kuwatesa hadi baadhi kuwaua bila kufuata misingi ya sheria za nchi.

Kuna mmoja anaranda-randa mitaani hebu anza naye huyo kwanza ili utupe furaha watanzania ya kufungia mwaka 2021.
hawajui nyie mnawajuwa ?
 
Hii mambo itakuja kupelekea watu wauane kulinda maslahi yao ama vita ya madaraka.

Ukiwa threat watu wanakupiga "gun" unaacha nafasi.

Tusichekelee tu kutokuchukua sheria.
 
Back
Top Bottom