William Mshumbusi
JF-Expert Member
- Mar 27, 2012
- 1,657
- 2,252
- Thread starter
- #61
Kwa hotuba ya nusu saa bila kutaja msamaha, umoja na kero za watu wengine. NI ubinafsi uliopitiliza. Na anahasira sanaNdio amefika tu na amechoka kwa safari ndefu bado hajaongea lolote kubwa tumwache ajipange kuna mengi yanakuja.