Uhuru kamili uhuru Wa kiuchumiUlitaka upate uhuru wa nini
Uhuru kamili uhuru Wa kiuchumiUlitaka upate uhuru wa nini
Huyo anyezurula majumbani kwa watu si tu anatakiwa kuwa na aibu bali pia ni mburula wa kwanza. Kwenda kwa majirani ruksa. Kurudi nyumbani eti daktari hajamruhusu! Huyo ana akili kweli?
ok akimaliza arudi nyumbani.Hii ni taarifa ambayo ameitoa yeye mwenyewe , amesema ziara hiyo haina tofauti na ziara zingine zile alizozifanya awali ambapo amedai atakuwa ziarani kwa wiki 2 .
Taarifa hiyo inadokeza kwamba tarehe 7 - 9 ya mwezi huu atakuwa Washington DC , bado haijafahamika rasmi kama atakutana na Rais Trump au la .
Mungu Mbariki mtumishi wako Tundu Lissu
Mungu hapendi usemavyoKibaraka huyo.
Cjui why yupo tu
.
Hii ni taarifa ambayo ameitoa yeye mwenyewe , amesema ziara hiyo haina tofauti na ziara zingine zile alizozifanya awali ambapo amedai atakuwa ziarani kwa wiki 2 .
Taarifa hiyo inadokeza kwamba tarehe 7 - 9 ya mwezi huu atakuwa Washington DC , bado haijafahamika rasmi kama atakutana na Rais Trump au la .
Mungu Mbariki mtumishi wako Tundu Lissu
Rais Trump na Tundu Lisu wapi na wapi?!!!!Hii ni taarifa ambayo ameitoa yeye mwenyewe , amesema ziara hiyo haina tofauti na ziara zingine zile alizozifanya awali ambapo amedai atakuwa ziarani kwa wiki 2 .
Taarifa hiyo inadokeza kwamba tarehe 7 - 9 ya mwezi huu atakuwa Washington DC , bado haijafahamika rasmi kama atakutana na Rais Trump au la .
Mungu Mbariki mtumishi wako Tundu Lissu
Mhh Mbona tuliambiwa amezuiwa kuingia bunge la USA
Ila asiende kuisema vibaya nchi yake
Kwakua wanafanana akili bac sawa!Hii ni taarifa ambayo ameitoa yeye mwenyewe , amesema ziara hiyo haina tofauti na ziara zingine zile alizozifanya awali ambapo amedai atakuwa ziarani kwa wiki 2 .
Taarifa hiyo inadokeza kwamba tarehe 7 - 9 ya mwezi huu atakuwa Washington DC , bado haijafahamika rasmi kama atakutana na Rais Trump au la .
Mungu Mbariki mtumishi wako Tundu Lissu
Zitto kamteuw kuwa balozi wa ACT WAZALENDO Ubelgiji. [emoji1787]Tunampokea lini Dar?!
Jamani wewe usilie basi eeh. Mungu kunakipindi havumilii ujinga.Ulishawahi hata kupigwa risasi hata moja maishani mwako? Ni kipi alichokukosea wewe binafsi Tundu Lissu? Au nikipi alicholikosea Taifa Tundu Lissu kupita Rostam,kupita Change,kupita Rugemalira,kupita Patel hawa wote pamoja na Ngurumo aliyempelekea milioni 900 za escrow Ikulu kwa Jakaya mbona wapo salama salimini. Kosa la Tundu Lisu nilipi mpaka astahili kuuwawa kikatili mchana KWEUPE? Na mkapa aliyejimilikisha mgodi wa makaa ya mawe kiwira yeye na familia yake unamchukia Kama Tundu Lissu?
We na mungu wako wote wehu
Mungu wa kweli hayupo hivyo
Unapotaka mazao mazuri shambani, huna budi kupambana na magugu.Naomba kujua kosa la T Lisu ni lipi hata ahukumiwe kufa kwa kupigwa risasi nyingi tuu!!
Hiyo roho ya chuki asili yake sio Tz yetu ya amani!!
Jimilikishe kila kitu tuachieni uhai wetu!!
Lisu akisema ukweli mjibuni kwa hoja sio risasi!!
WaTz tuna haki ya kusema uchafu inaofanywa ma watawala.
Jibu kwa hoja sio risasi!!