Tundu Antipas Lissu on BBC HARDtalk - 21 January 2019

Chadema hawana hoja wanashabikia siasa kama mpira tu kwa hiyo akili zao ni ndogo mno inawachukua miaka 20 kuelewa
 
Huwa natazama sana HardTalk, ukweli Lissu ameimudu vizuri sana. Walah ingekuwa ni mkulu pale mngecheka mpaka mfe!
 
Chadema hawana hoja wanashabikia siasa kama mpira tu kwa hiyo akili zao ni ndogo mno inawachukua miaka 20 kuelewa
Kwahyo ulitaka washabikie kivipi au......?? Acha kuongea kwa kukalili ndo maneno yenu hayo kilasiku hoja wanazo labda ccm2 ndo mnaona hawana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tundu amezidiwa vibaya saana kwenye interview hii. Akili za wazungu usipime[emoji2][emoji2] Wanatujua kwelikweli. Wanajua namna JPM anavyoibadilisha Tanzania na ambavyo kundi la wabunge wa upinzani wanavyokunwa naye hadi wanahamia kwake CCM. Na jinsi atakavyopita kwa kishindo 2020. Tundu anadai eti wote wananunuliwa. Mtangazaji anamwambia kumbuka wewe ni Mwanasheria Mwandamizi, kwanini unatoa allegations zisizo na evidence[emoji2][emoji2] Tundu anabaki bila hoja[emoji2]

Hahahahahh mbombo jilipo

Sent using Jamii Forums mobile app
Mbombo ngafu nalolii..
 
Membe ni bora kuliko magufuli, lakini Lissu ni bora kuliko mgombea yeyote wa ccm.
 
Ni mimi peke yangu sijaelewa watu wanashangilia nini kuhusu mahojiano ya Lissu? Watuhumiwa wajikite katika kujibu/kuaddress tuhuma nzito zilizotolewa.Mhojiwa ametoa tuhuma na “heavy circumstantial evidence” ila mazombi yamechagua kusikiliza& kushangilia maswali na si kutoa majibu

Camera za CCtV zilienda wapi? Walinzi walienda wapi? Kwanini Polisi haijatoa majibu ya Uchunguzi? Kwanini matukio ya mauaji yameongezeka? Kwanini hajatibiwa na serikali?

Watu wanashangilia kama wamewehuka, au kama kulikuwa na mechi ya ligi kati ya mtangazaji na mgeni wake. Hawajikiti katika maudhui ya mazungumzo. Ni ushabiki tu.

mr mkiki
 
Leo ndio msemo kuwa Kiingereza sio maarifa umethibitika.

Tundu Lissu ana uwezo wa kutosha tu kuongea Kiingereza lakini asubuhi ya kuamkia leo kukosa maarifa kujawa na umbea, uongo na uzushi na uzandiki dhidi ya nchi yake kumemtokea puani akifanya mahojiano na Kipindi cha Hard Talk cha BBC.
Sikiliza haya.
1.Aonesha Chuki Binafsi Kwa Magufuli
Kosa la kwanza ni kutojadili hoja bali mtu.Kila alipoulizwa aliishia kutaja jina la Magufuli hata asipohusika.
Mtangazaji mzungu akabaki anashangaa na kumbana kwa maswali zaidi akaishia kutoa macho maskini.
2.Lissu Hakutegema
Hakika hata mimi sikutegema kama yule mzungu angefanya utafiti kiasi kile na kuyajua mengi ya Tanzania kiasi cha Lissu mwanzoni tu kubabaika na kuanza kuzusha uongo.
3. Jaribio la kumdanganya Mzungu lakwama
Baada ya kuzoea kuandika viwaraka vyake na kuwapa akina Martin Malera wa Tanzania Daima au Ibrahim Yamola wa Mwananchi leo Tundu Lissu kakutana na mwanahabari wa level nyingine.
Akajikuta anakosa ushahidi...anaambiwa unalalamika kila siku Serikali imekushambulia, unaushahidi gani anasema niliona gari inanifuatafuata, mzungu akambana kwani gari ziko ngapi na mtu yeyote si anaweza kukufuatilia kwani umeshafanya kazi ngapi za kukuweka katika risk ikiwemo kuwa wakili, Lissu akajikuta anakiri kuwa ni kweli hana ushahidi wa moja kwa moja bali ushahidi wa mazingira.
Asante sana mzungu, huyu Bwana leo baada ya mbwembwe nyingi sasa kakiri hana ushahidi zaidi ya mazingira tu ambayo pia yanaweza kuonesha chama chake kinahusika au hata dereva wake.
4.Akosa maarifa kwenye madini
Maskini hapa ndio jamaa alitoa mimacho tu baada ya mzungu kumbana kuwa yeye alipigania sana masuala ya nchi kufaidika na madini haoni kuwa JPM anachukua hatua nzuri?
Kwa hakika na mimi hapa nilipoteza Kiingereza changu😀😀Sikumbuki hata Lissu alikuwa anajibu nini, aliishia maskini kutaabika na kuruka ruka huku na kule.Mzungu akaona isiwe shida, akahamisha mada!
Kwa kifupi hapa Lissu alijikuta anatamani kumpinga Magufuli, lakini pia akawaza anampinga kwa lipi?Kurekebisha mikataba ili nchi ifaidike? Akabaki anataja taja tu majina mara uwanja wa ndege Chato wakati nchi nzima vjwanja zaidi ya 15 vinajengwa😀😀
5.Mtangazaji aamua kutaja mwenyewe mazuri ya Tanzania.
Baada ya kuona Lissu hana analolikubali katika nchi yake mzungu wa watu akaamua kutaja mwenyewe mageuzi makubwa yanayoendelea Tanzania.
Akataja mapambano dhidi ya rushwa, akataja kuongezeka kwa mapato akataja kutekelezwa kwa miradi mbalimbali ya kijamii na miundombinu.
Usiniulize wakati wote huu mzungu anashusha nondo Lissu alikuwa kwenye hali gani😀😀Kumbuka mwenyewe kisa cha chura aliyebanwa na mlango😀
6. Atoa mfano wa kitoto, wamuumbua
Akieleza kwa nini wapinzani wenzake wamekuwa wakirejea CCM kuunga mkono juhudi za JPM Lissu aliishia kirusha matuhuma ambayo hadi mtangazaji akamuonya aache kuropoka bil ushahidi.
Lakini yotrme hii ni kwamba alishachanganyikiwa. Sasa sikia hii: akapewa mfano wa Masha aliyetoka CCM na kwenda upinzani (ingawa badae alirudi CCM) kama naye alihongwa huko upinzani? Usiniulize Lissu alikuwa katika hali gani hapa tena😀
7.Akata fahamu, aunga mkono ushoga
Akiwa hoi bin taaban na kisaikolojia akionekana mtu anayetamani mahojiano yaishe tu, Lissu akaulizwa ukiwa kiongozi wa upinzani na siku ukiingia Ikulu utafuta sheria zinazoelezwa kuwa kandamizi zinazoufanya ushoga kuwa kosa la jinai?
Maskini, mwisho wa zama ukatimia, baba la watu likajikanyagaaaa mwishowe likaingia kingi eti litafuta sheria zote zinazozuia ushoga nchini.Maweeeee😔
Rasmi Lissu kaunga mkono ushoga. Hakika ametaabika sana.
HAHAHA KWANI MNATESEKA
 
Kajianika mbele ya dunia nzima. Yaani hata waafrica wengine wanamuona ni mtu wa ajabu ajabu, ha ha ha. Ujanja mwingi mbele kiza.
 
mkuu mbona kama hujaeleweka, kwani umewaona wapi watu wakishangilia!? watu wanabishana kwa hoja, kwa kifupi watu wanayajadili mazungumzo ya lissu na sio kushangilia kama unavyosema!
 
Lissu atawatoa roho nyie vijana wazembe.

Mmelalama arejee nyumbani amewapuuza,sasa mnajifariji kwa kujidanganya amekamatika kwenye mahojiano.

Na wengine wenzangu na mimi hata kuongea sentensi mbili za kiingereza hamuwezi mnajifanya wazalendo wa kiswahili halafu hamuoni hata aibu kumzungumzia Tundu.

Aliumizwa,akaumia,akalala, na sasa ameamka akiwa bado ni kichwa kama alivyokuwa. Mnateseeeka mpaka tutaanza kuwatilia mashaka sasa.​
 
Naamini lumumba wewe umesimuliwa, hujainyaka moja kwa moja toka kwenye clip, maana kizungu kwenu akiwemo jiwe ni kizunguzungu.

Tulio na uwezo wa kukamata mistari ya kimalkia hatuna taabu na hatudanganyiki. Nyambafu!
 
Kamanda, jielekeze kwenye hoja si viroja. Tundu Lissu anasema kapigwa risasi 16 ninyi mnasema 38 nani mkweli?
Sina ushabiki na upande wowote ila nikurekebishe alichosema Lissu ni kuwa idadi ya risasi zilizomlenga mwilini ni 16 ila zilizofyatuliwa kulielekea gari lake ni 38 mkuu lugha hii ni ngumu kiasi hicho kweli?
 
Naamini lumumba wewe umesimuliwa, hujainyaka moja kwa moja toka kwenye clip, maana kizungu kwenu akiwemo jiwe ni kizunguzungu.

Tulio na uwezo wa kukamata mistari ya kimalkia hatuna taabu na hatudanganyiki. Nyambafu!
ungekua unaweza kunyaka maneno ya kimalaika nadhan usingekua na ubishi ubishi
 
Back
Top Bottom