Azarel
JF-Expert Member
- Aug 25, 2016
- 29,020
- 40,836
kwahiyo unataka kumwambia nini?Mpaka unachukua kikokotoo inaonyesha kweli umevutiwa na hiyo faida
Kwa taarifa zilizopo zinaonesha ni Daslamu na hata mawasiliano yao wao walioweka ni hizi namba za mitandao yetu tunayoitumia. Watumiaji, wateja na wazoefu wanaweza toa maelezo ya kina.Mna uhakika hii ni Daslam?
Wamefundishwa kutumia pesa kwa rafu sana na ndicho kinawafanya wafanye hizo kazi bila kuacha. Ma agent wanao dili nao wanawaonesha viwanja vikali vya kula bata za hela nyingi. Pombe na madawa yenye kuleta starehe kali. Na wanaambiwa ukitaka starehe kama hii uza nyapu. Basi wanaingia mtegoni na hawawezi kuacha.
Mnadhani kila mtu anapata wateja vile anataka yeye?Nilipata kuupitia huo mtandao jana pia. Nilishangaza na hizo service rates kwa kweli. Hakika watu wanatengeneza hela zaidi hata ya baadhi ya Wakurugenzi. Halafu ni mabintk wadogo tu kati ya miaka 22-25.
View attachment 1432888
View attachment 1432889View attachment 1432890
Haha! Hizo ni hesabu za makadirio ambazo hazijazingatia mambo mengi kwenye uhalisia, mfano logistics, market availability, service provider reliability, competitive advantage of the service provider, consistency of the service offered, etc.Mnadhani kila mtu anapata wateja vile anataka yeye?
Aisee pole sana mkuu,mi kuna mwanangu mmoja alikopa mil 7 akasome masters baadae akaahirisha,akatenga kama mil 4 hivi akaona aipeleke kwny matikiti.
Aisee zao shambani lilikubali balaa kufika sokoni matikiti yamejaa madalali wanazingua jamaa akakomaa kuuza mwenyewe kama siku 3 hivi baadae akalala mbele hata kirikuu aliyokodisha hakuwalipa hela yao akawaachia hayo matikiti ndukiiiiii.
Mwanzo mgumu mkuu.
yani huyo muuzaji hata bleed hapati.sawa lakini ilibidi uassume other factors remain constant , yani hiyo pesa haitumiki kwa chakula , hakuna kuumwa hapo katikati na mambo mengineyo mengi. Kinyume na hapo hizo hesubu ulizopiga sidhani kama zitawezekana
kwahiyo unataka kumwambia nini?
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Masaa 10 kwa siku
Kwa mwezi 10 x20 siku = 200
Kwa mwaka 12x200 = 2400hrs
Khe si balaa hilo si litakuwa handaki [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Miaka mitano 12000hrs
Halafu astahafu
Bwege unajitokeza kwenda kulipishwa mahari ya milioni 5.
Kwenye harusi unapiga bonge la suti maeeeeee
Na bonge la tabasam
Unajiona wewe ndio weweeee
Umeopoa kifaaaa
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
Nimekutumia link pm