Tunaweza kuwacheka kumbe wanatengeneza hela ndefu

Tunaweza kuwacheka kumbe wanatengeneza hela ndefu

Hahahhaha hahahhaha you My day broo.
Duh! Umenikumbusha mbali Brother. Nakumbuka zile 6000 kwa hasira nilipanda daladala sikushuka kuanzia asbuhi mpaka saa 11. Nikawa naenda mpaka kituo cha mwisho narudi nilikotoka . Nikatumia kama 16800. Nikaona haziishi nikakusanya madogo hiyo jioni nikaanzisha ligi ya mpira(chandim). Kiufupi nilivurugwa.

Sent using Jamii Forums mobile app
Ndivyo maisha yalivyo,kuna usemi unasema ukiona nyani mzee ujue amekwepa mishale mingi
 
Hahahaaa upo mkuu? Wewe ungejutia na kusema bora ungezipeleka huko kwenye usd 100 upate huduma.

Umesalimika jemedari? Tuendelee kuchukua tahadhari dhidi ya Corona

Ah kwa kweli bora ukale papuchi ya dollar 100 uenjoy maisha maana unaweza ondoka na corona.

Mzee kwa corona hii hapa hamna cha kugegeda wala nini nikunyuti tuu ndani kama utumbo.
 
Hahahhaha hahahhaha you My day broo.
Duh! Umenikumbusha mbali Brother. Nakumbuka zile 6000 kwa hasira nilipanda daladala sikushuka kuanzia asbuhi mpaka saa 11. Nikawa naenda mpaka kituo cha mwisho narudi nilikotoka . Nikatumia kama 16800. Nikaona haziishi nikakusanya madogo hiyo jioni nikaanzisha ligi ya mpira(chandim). Kiufupi nilivurugwa.

Sent using Jamii Forums mobile app


Ama kweli ulivurugwa ukavurugika. Lakini huu uzi una shule kubwa sana. Darasa tosha. Kuna watu itawaepusha kulipia tuition fee ya 3M.
 
Nilitembelea mtandao mmoja kwa ajili ya kuosha macho tu ili kuongeza ufahamu katika ubongo wangu. Nikakutana na wadada wako sokoni....kwa lisaa limoja ni USD 100.Ikabidi nichukue kikokotozi changu nikaanza kupiga hesabu.
Katika masaa 24 kwa siku tuchukulie ametumia masaa 10 = 10 x 100 x tsh. 2,316 =2,316,000
Kwa mwezi,tuchukulie alitumia siku 20 = 20 x2,316,000 = 46,320,000
Kwa mwaka,miezi 12 = 46,320,000 x 12 = 555,840,000
Kama atafanya kwa miaka 5 alafu astaafu = 555,840,000 x 5 = 2, 779,200,000

Tunaweza kuwacheka kumbe wanatengeneza hela ndefu
Nilipata kuupitia huo mtandao jana pia. Nilishangaza na hizo service rates kwa kweli. Hakika watu wanatengeneza hela zaidi hata ya baadhi ya Wakurugenzi. Halafu ni mabintk wadogo tu kati ya miaka 22-25.
IMG_20200428_003613.jpg

IMG_20200428_003647.jpg
IMG_20200428_003734.jpg
 
Halafu akaisha stafuu ana bilioni tatu zake unakutana naye wewe unasema nimeokota Sugar Mamy. Na wakati huo linakudhibiti huwezi kutazama hata demu mwingine akipita mbele yako anajifanya mstaarabu ajabu.
 
Masaa 10 kwa siku
Kwa mwezi 10 x20 siku = 200
Kwa mwaka 12x200 = 2400hrs
Khe si balaa hilo si litakuwa handaki [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Miaka mitano 12000hrs
Halafu astahafu

Bwege unajitokeza kwenda kulipishwa mahari ya milioni 5.
Kwenye harusi unapiga bonge la suti maeeeeee
Na bonge la tabasam
Unajiona wewe ndio weweeee
Umeopoa kifaaaa
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
Hahahaa wanawake wana siri nyingi sana.
 
Tatizo la hawa watu hata ukiwapa bilion bado zitaisha tu, wana matumizi rafu sana ya fedha
Wamefundishwa kutumia pesa kwa rafu sana na ndicho kinawafanya wafanye hizo kazi bila kuacha. Ma agent wanao dili nao wanawaonesha viwanja vikali vya kula bata za hela nyingi. Pombe na madawa yenye kuleta starehe kali. Na wanaambiwa ukitaka starehe kama hii uza nyapu. Basi wanaingia mtegoni na hawawezi kuacha.
 
Back
Top Bottom