Equation x
JF-Expert Member
- Sep 3, 2017
- 40,710
- 63,393
- Thread starter
- #41
Ki vipi mkuu,tunajadili tunavyowatajirisha
Ki vipi mkuu,tunajadili tunavyowatajirisha
Bora kuoa kijijini wakati mwingineHahaha...anapiga na magoti siku anamvisha pete ya uchumba.
Watu wamejaliwa kuzingatia Biblia, tazama ya kale yamepita yamekua mapya.
Ki vipi mkuu,tunajadili tunavyowatajirisha
Mkuu ukiona mtu amefanikiwa ana mambo yake yaliyojificha ambayo hawezi kuyaweka waziHawa jamaa wameadimika sana hichi kipindi.
Ikanikumbusha mtaalam wa strategies Michael Porter aliyekua gwiji wa kushauri makampuni na yeye kampuni ikaingia mgogoro kiasi cha kufilisiwa
kwa nini mkuuNyuzi kama hizi inabidi ziwe zinalipiwa kodi
Tembelea mtandao wa escortsAll Jokes aside. Wapi huko wanalipa $100 kwa saa? Kuna mtu hapa kaomba nimuulizie
Sent From Galaxy S9
Bora kuoa kijijini wakati mwingine
Hapo gunia la mkaa lazima lifanye kaziHaya mambo hayana kanuni mkuu, unaweza kumtoa kijijini akaja kuanza hii biashara mkiwa nae kama mke wako, mbaya zaidi yeye ndio anawapa pesa jamaa.
Aisee pole sana mkuu,mi kuna mwanangu mmoja alikopa mil 7 akasome masters baadae akaahirisha,akatenga kama mil 4 hivi akaona aipeleke kwny matikiti.
Aisee zao shambani lilikubali balaa kufika sokoni matikiti yamejaa madalali wanazingua jamaa akakomaa kuuza mwenyewe kama siku 3 hivi baadae akalala mbele hata kirikuu aliyokodisha hakuwalipa hela yao akawaachia hayo matikiti ndukiiiiii.
Mwanzo mgumu mkuu.
ha ha ha ha wanasema unageuzwa kuwa fursaJonamoa anafanya masihara tu, anamaanisha motivational speakers wengi ndio wanakuja na hizo mahesabu na mchanganuo mfano wa huo uliouweka hapo. Ukiwasikiliza unaweza kuvunja kibubu au kuvamia benki ukakopa ukawekeze kwenye kilimo ukiwa unajiona kama MO, Bakhresa au Warren Buffet baada ya miaka miwili au mitatu...ukija kushtuka, umelipia tuition fee ya ujasiriamali.
Tunajadili tu ili kuongeza maarifaUmeingiwa na tamaa eeh
Hapo anaanza sema sii bora ningesoma tuu masters yangu
kwa nini mkuu
Majuto ni mjukuuHapo anaanza sema sii bora ningesoma tuu masters yangu
Nadhani kwa nchi za wenzetu wanalipa kodi,ila huku kwetu sidhaniHata wenye vyeo wakisomaga bajeti kubwa hivi mwishoni wanataja kiasi kilichotumika kama kodi
Hahahhaha hahahhaha you My day broo.Utakuwa umepata elimu ya vitendo;ukisikia wanakuambia mambo ya kilimo tu we unakaa pembeni