Equation x
JF-Expert Member
- Sep 3, 2017
- 40,749
- 63,458
- Thread starter
- #21
Ujasiriamali unachangamoto mkuuAcha tu jamaa yangu; nilipigwa milioni 3 na sikuambulia hata thumni. Ila ilinipa funzo, siku zote huwa naichukulia hiyo pesa kuwa ilikuwa "tuition fee" kwenye ujasiriamali wa kikwetukwetu.