makaveli10
JF-Expert Member
- Mar 27, 2013
- 37,480
- 108,606
😄 Imeisha hiyo hata bandarini poa tu nakuja kukupokea 💖Umepata vyoteeee utakuja kuvichukua feri pale msikitini😀
Uhuru gani wauhitaji ukiwa dar huwa unaupata zaidiHii ni kweli, huku hakuna uhuru kama nikiwa Dar
Ndio asilimia chache ya utajiri wako sioT sh
Umelewa mbege?Nitaku quote ila kwa umakini mkubwa , coz hata hapa nilishalewa kitambo madam wangu mzuri 😅
Asije ikawa huyu ndiye Salama wa BSS Dr. MaliposaBasi upepo wa dar umekupenda
Cheko la sanifuNi kama vile mtu anacheka hi hi hi huku kakenua meno
Leo napiga kistaarabuu kaka 😊 Jana nilifanya overdrinking yaan sikumbukiii chochoteDr am 4 real PhD leo siku yakumsindikiza dr wa zenji napombe
Hatari sanaaaMimi mchaga wa kibosho mama mmachame , Dr haya Hannah kamzika kaburi la futi 8
Mimi nakuaga na madini sana Huwa namkwepa KAMPANI za hovyo + wanawakeDemi mimi nimkorofi kidogo hasa nikilewa , ila sio ile ya kuzua ugomvi mkubwa , sana sana nakua na masifa sana😅😅
Sure broMimi nakuaga na madini sana Huwa namkwepa KAMPANI za hovyo + wanawake
Sure broNdio asilimia chache ya utajiri wako sio
Hatari ipo wapi bwashee?Hatari sanaaa
Najua sana unaishi Kigamboni,😄 Imeisha hiyo hata bandarini poa tu nakuja kukupokea 💖
Swali CHOKONOZI
Why, feri msikitini"?
Unajua km mimi ni mkazi wa huko!?
Basi ndugu yangu, wewe nitakuja kukupokea bandarini ama uwanja wa ndege kabisa, kisha nikupeleke nyumbaniNajua sana unaishi Kigamboni,
Watu wa Kigamboni kuna codes zetu tunajuana🤣
Swali zuri sana, ngoja nikohoe kidogo na nilitengeneze hili dera langu nipate kukujibu.....Uhuru gani wauhitaji ukiwa dar huwa unaupata zaidi
Dr nakumbuka nilisha wahi kukukosea ila now ni rafiki yangu mkubwaSwali zuri sana, ngoja nikohoe kidogo na nilitengeneze hili dera langu nipate kukujibu.....
Uhuru wa kua mimi kama mimi bila kujifanyisha kua mtu mwengine ambaye sie mimi
Ka still upo Unguja... Karibu Intebe! Maarufu kama EntebbeSwali zuri sana, ngoja nikohoe kidogo na nilitengeneze hili dera langu nipate kukujibu.....
Uhuru wa kua mimi kama mimi bila kujifanyisha kua mtu mwengine ambaye sie mimi
Ni kweli kabisa, unakua umekaa kaa tu huelewi, kuna mmoja kasema ukiwa huna hela ndio unakua bored sasa mfano sehem kama Kizimkazi hata ukiwa na hela unaifanyia nini au utoe sadaka misikitini🤣 sehemu tu yenyewe imepoozaAsee hata mimi nikiwa unguja nakuwa bored sana, kuliko nikiwa Dar, sijuk kwa nini ila nahisi mtu umiwa bored maana yake kuna energy hauitumii ipasavyo hapoulipo