Dr. Mariposa
JF-Expert Member
- Dec 2, 2014
- 5,727
- 18,976
- Thread starter
-
- #41
Ewaa hapo babu ndio umeongea, nikirudi nitakwambia uje nikupikie vya moto moto sio vya kupashaWeka kwenye Chupa uje nao
Au unajulia kuandaa Mjukuu nije unionjesha ukirudi?
Mh! ni wewe tu hakuna cha kulegea sema mwili wako una act hivyo!.Inalegeza mwiliii
Hailiwi kila siku mangiPizza inaotesha kitambi kwa fujo bwashee 😅
Mi ntakua ikulu nakunywa Black Coffee baada ya kuvunja getiKwenye vituo vya kupiga Kura tunatiki kisha tunarejea majumbani kwetu
Nitafurahi kuonja mapishi yako Mjukuu, unajua nina muda mrefu hujanionjesha 😋Ewaa hapo babu ndio umeongea, nikirudi nitakwambia uje nikupikie vya moto moto sio vya kupasha
Hizo nguvu huku Bara ndiyo zipo nyingi, ni vile wanafungwa na Kanisa tuSio kweli, virutubisho vyake ni vizuri ndio maana kaka zetu huku wanaoa wake wanne wanne na kuzaa watoto wengi
Vita ni vita mura, kila mmoja na kanuni zake , huku kwetu kwa wakurya hatutaki urojo urojoMahaba yanahitaji ulaini laini, mahaba sio vita, vitu viende slow motion, mkuna na mkunwaji wote wanaenjoy
Watu wasionazo huwa wanadhani pesa ni kila kitu!Pesa sio kila kitu, usikariri
We tangu urudi jf ya VPN demu wako hayuko huru kbs kila akimreply mtu una-like, mtoto wa watu hayuko huru kbs acha kumfanyia survaillance kali
Ubongo kivipLeo sina raha kabisa nimesema ubongo jioni hii
😂😂😂😂Sina pesa ndio, ni maskini wa kutupa ndio maana nipo bored yani
Na alivyojitangaza ndio kama kukiri kosa eeHamia Malawi mkuu kutumia VPN nchini Tanzania ni kosa kisheria 🤣
Mpaka nizipate ndio nitaujua ukweliWatu wasionazo huwa wanadhani pesa ni kila kitu!
kumbe wewe sio mbongo? Pita kuleHuku ni home
kumbe wewe sio mbongo? Pita kuleHuku ni home