Dr. Mariposa
JF-Expert Member
- Dec 2, 2014
- 5,843
- 19,452
- Thread starter
-
- #241
Hii imekaa poa sana, wana Kigamboni tutambuane tufanye jamboπ₯π₯π₯Ewaaaaaaaaaahhhhhhh!!!
Ni muda sasa wana Kigamboni tuandae party zetuπ₯π₯π₯π₯
Iko poa, wazo zuri...Hii imekaa poa sana, wana Kigamboni tutambuane tufanye jamboπ₯π₯π₯
Vincenzo Jr
makaveli10
Saint Anne
Culture Me
Intelligent businessman
Nisha hama Kigamboni since 2023 mama, niko zangu nanjilinji ππ₯Hii imekaa poa sana, wana Kigamboni tutambuane tufanye jamboπ₯π₯π₯
Vincenzo Jr
makaveli10
Saint Anne
Culture Me
Intelligent businessman
Ngoja Sasa nianze kuandaa mizigo, ili nije kutembelea huko daslam ππEwaaaaaaaaaahhhhhhh!!!
Ni muda sasa wana Kigamboni tuandae party zetuπ₯π₯π₯π₯
Bro kwenye party una penda, ila kwenda kuokota nazi kwa mwakinyo ndio una hanya π π.Iko poa, wazo zuri...
Hajakula huyu,daahUngekuwa na kibunda usingekuwa bored.View attachment 3480931
Party si kuna mnuso, kwa mwakinyo kuna ngumi mdogo wangu ππ€£Bro kwenye party una penda, ila kwenda kuokota nazi kwa mwakinyo ndio una hanya π π.
Bro acha uwaki, mtu chee mbona mwakinyo ana kaa kabisa.Party si kuna mnuso, kwa mwakinyo kuna ngumi mdogo wangu ππ€£
Umeanza lini ukorofi lakini!
Money seems to be everything only when youβre brokeβ¦ Otherwise, waulize the likes of Elon Musk how terribly unhappy sometimes they can be, their deep pockets notwithstanding!kwahio ni kweli huna kibunda si ndio?
In reality money is everything.
hio kusema pesa sio kila kitu ni kauli ya kujifariji tu.
Mdogo wangu, nakupa ushauri wa bure, mwili sio kitu cha kuchezea, kichwa sio kitu cha kuweka rehani, ugomvi mzuri uanzwe, sio ulianzishe, na hakuna duniani mtu anaechekwa kwa kuepusha shari, ila anachekwa aliyepigwa...Bro acha uwaki, mtu chee mbona mwakinyo ana kaa kabisa.
ka vipi tuibuke na boyka wa vikindu Vishu Mtata, tuna liamsha dude.
Dah kweli ka mkubwa Ume kuwa kunguru ππMdogo wangu, nakupa ushauri wa bure, mwili sio kitu cha kuchezea, kichwa sio kitu cha kuweka rehani, ugomvi mzuri uanzwe, sio ulianzishe, na hakuna duniani mtu anaechekwa kwa kuepusha shari, ila anachekwa aliyepigwa...
Chukua maneno ya BAKAA hayo
ππ€£π
Masuala ya kupigana nimeyaacha miaka 15 hivi iliyopita.
We jichanganye na kifua chako hicho kama meza ya kamari, ukapigwe uppercut nzito, tukufukie futi 6 chini
Naunga mkono hoja π πHii imekaa poa sana, wana Kigamboni tutambuane tufanye jamboπ₯π₯π₯
Vincenzo Jr
makaveli10
Saint Anne
Culture Me
Intelligent businessman
My fav enemy fanya uje tupigane tumalize tofauti zetu. Uadui gani miaka zaidi ya miwili hauishi? Aaah mimi hadi nachoka.Ngoja Sasa nianze kuandaa mizigo, ili nije kutembelea huko daslam ππ
my fav enemy bora tuendelee hivi hivi, maana niki kudunda ntakubeba nirudi nawe kwangu.My fav enemy fanya uje tupigane tumalize tofauti zetu. Uadui gani miaka zaidi ya miwili hauishi? Aaah mimi hadi nachoka.
π Kwani ni mwanamke au mwanaume?? Mimi sijui...Umeanza lini ukorofi lakini!
Hahaha