Tunaweza kupiga story?

Hayo mahusiano sio mapya ila sasa hivi watu wanaongeza tu awareness na wanataka watambulike, wanaitwa Triad yaani kunakua na watu watatu kwenye mahusiano, inaweza ikawa one man and two women au one woman and two men au three women au three men inategemeana na wao,

Ikiwa one man na two women hao wanawake hawawezi kua Lesbians kumbuka Lesbians ni wanawake ambao wapo attracted na wanawake wenzao na sio vinginevyo, hao wanakua ni wanawake straight walioamua kujifurahisha.
 
Kwani hakuna lesbian ambao ni bisexual?

Yaani yeye analamba mpini na jembe lake.

Ile page ni vile nmeisahau tu ila wale wanaonekana kabisa wasagaji walikutana na mwanaume mchele sababu hata mwanaume mwenyewe naona kabisa kuna uwezekano na yeye analiwa
 
DR, umefeli mtihani, Unguja kuna chimbo linaitwa Entebe! By the way mbona kuna sehemu zimechangamka kuliko Dar hasa kama unapenda starehe???

Starehe zipo shamba naamini kama wewe ni mzawa utakuwa unazifahamu!
Kumbe walai sikua najua,
Nafahamu sehemu za starehe ila kama nikifikia tofauti na home ila ikiwa home nakua mpoleeeee
 
Hakuna Lesbian ambaye ni Bisexual hizo ni terms mbili tofauti, Bisexuals ni watu ambao wapo attracted na both genders,
LGBT: Lesbians, Gays, Bisexuals na Transgenders
 

dhambi yatamanika machoni, ila mwisho wake huwa mauti. Ila haya maisha kama tuliumbwa kuja kuwekana tu machine, mie sionagi lingine aisee
 
Dada ngu ngoja nkurekebishe ux x sasa mbaze ktu ka hna uhakika nacho ile ni prank huyo jamaa black n you tuber maaruf hua anadred hao madem wapo xaid ya kumi wanaigiza
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…