Plot4Sale Tunauza Nyumba, Viwanja na Mashamba. Tupo Dar

Eti mheshimiwa; 'ntumba' maana yake nini!! Achilia mbali hayo maneno mengine mfano 'tayri' vzr, nk.

Maana unamtaka mtoa mada akajifunze kuandika, huku na wewe ulichokiandika kikiwa hakieleweki!
Shukrani Tate Mkuu kwa maelezo mujaarabu.
Tatizo letu humu ujuaji mwingi ndio shida.
 
Habari wana jukwaa
Nyumba hii inauzwa ipo Kitunda (dar es salaam)
Ukubwa: ina vyumba vitatu, jiko, sebule, dining pamoja na public toilet.

UKUBWA WA ENEO: eneo lina ukubwa wa meter 32 kwa 34
Eneo lote limezungukwa na michongoma na migomba kidogo.

HUDUMA ZILIZOPO: maji,umeme na njia ya gari hadi ndani ya eneo la nyumba

UMILIKI: ni hati ya makazi (serikali ya mtaa)
mauzo yanaweza kufanyika kwa mwanasheria, mahakamani au serikali ya mtaa.

Bei: 40m ( mazungumzo kidogo)

MAWASILIANO: 0785 857564



























View attachment 2178197View attachment 2178198View attachment 2178200View attachment 2178202View attachment 2178204View attachment 2178203View attachment 2178207
Aina majini mkuu? Kwann unaiuza?
 
Kwamba yeye ndio wa kwanza kuuza nyumba?

Kama anazo tatu na ana madeni ni kwa nini asiuze? Unaweza kuwahoji swali hili watu wa real estate?
Shukrani sana mkuu kwa ufafanuzi mzuri.
 
More photos





View attachment 2180216
IMG_20220408_102110.jpg
IMG_20220408_102012.jpg
IMG_20220408_101913.jpg
IMG_20220408_102120.jpg
IMG_20220408_102039.jpg
IMG_20220408_101921.jpg
 
Kwamba yeye ndio wa kwanza kuuza nyumba?

Kama anazo tatu na ana madeni ni kwa nini asiuze? Unaweza kuwahoji swali hili watu wa real estate?
Mkuu, umejibu kwa jazba tu kiasi umesababisha asinijibu. Hujawahi ona mtu anauza nyumba ya familia then baadae inaleta migogoro? Hujawahi sikia aliyeuziwa nyumba yenye mauza uza kiasi kwamba wakashindwa kukaa?

Sababu za kuuza nyumba ziko nyingi mkuu, sio madeni peke yake.
 
Hii nyumba ukiipiga make up itapendeza sana.
Kwanza unaongeza course moja ya matofali ndiyo unapaua na bati la Msouth. Unaweka Aluminium windows na finishing nje.
Fence nzuriii maisha yameisha ni mwendo wa kula tyuuu pumzi.
 
Toa sababu tano kwanini hiyo nyumba unaiuza ....


Kama ni ya urithi unauza mgawane ...

Kama ina migogoro ya kifamilia ili tujue ili tusije kutana na misukule na kukabwa usiku humo ndani ....

Nyumba nying used Mimi nazijua ,kama ina migogoro ya kifamilia humo ndani hapatakalika utaona kila aina ya rangi ...


Mjomba alinunuaga nyumba kama hivo aisee kwake hapakaliki kashaenda kwa mganga Sana anaambiwa hapo dawa yake ni kuhama ....usiku mara unasikia mtu anapika na kutosha vyombo ukiamuka kuaangalia huoni kitu ..usiku kishindo kikubwa chini ....mara anaota ndoto za ajabu ....kukabwa usiku ..mara kwenye korido anasikika mtu anatembea ,kwenye mlango wa kitasa unasikia kabisa mtu anaingiza ufunguo anafungua mlango wakati nyote mmelala yaani full mauzauza ...

Yote haya yanatokea ikishafika usiku

Yaani ni shidaaaaaaa
 
Nyumba sio ya
√ familia
√urithi
√ si ya wana ndoa (mke na mume)
√ haina mgogoro (mmiliki ni kijana tu)
NB.
Sababu za kuuza ni kuwa ana mji mwingine Chanika na pia alikua na mipango yake binafsi (ya kibiashara)
Kuhusu ishu ya mauza uza hiyo ni imani yako tu.
Ukifika utapata maelezo kwa undani zaidi
 
Habari wana jukwaa,

Nyumba ya kupanga ipo Kitunda shule

Ni gari moja kutoka mjini (mmnazi mmoja, Machinga Complex, Kivukoni, Posta)

Sifa zake:
  • Nyumba ni apartments inayojitegemea.
  • Ina chumba kimoja ambacho ni self-contained, jiko, sebule na public
  • Maji na umeme unajitegemea
  • Ipo ndani ya fensi
  • Kutoka stand ni mwendo wa dakika 5-8
  • Kodi ni 130k
MAWASILIANO: 0785 857564

Screenshot_2022-04-13-08-01-53.jpg
Screenshot_2022-04-13-08-01-40.jpg
Screenshot_2022-04-13-08-01-12.jpg
Screenshot_2022-04-13-08-00-41.jpg
Screenshot_2022-04-13-08-00-28.jpg
Screenshot_2022-04-13-07-58-51.jpg
 
Back
Top Bottom