Nauza viwanja, nyumba na kupangisha nyumba maeneo mbalimbali Dar es Salaam

baruti 1

JF-Expert Member
Apr 4, 2017
620
703
*Mapinga- Viwanja vya makazi!

Ukubwa wa sqm 500, viko km1.5 kutoka barabara ya lami. Vimepimwa tayari kwa ufuatiliaji wa umiliki kisheria.

Huduma zote za kijamii zinapatikana, maji & umeme upo. Kumejengeka TAYARI

Bei Tsh: 10M

Lipia hadi miezi mitatu!

Mawasiliano : 0753288167

WhatsApp Image 2023-01-17 at 16.21.47.jpg
WhatsApp Image 2023-01-17 at 16.21.48.jpg
WhatsApp Image 2023-01-17 at 16.21.46.jpg
 
Nyumba kali inapangishwa eneo la Tegeta Nyuki. Ina vyumba 2 vya kulala kimoja masters, Sebule nzuri, tiles, parking safi na nzuri kwa familia kwa wanandoa wanoanza maisha.

Huduma zote za kijamii zinapatikana, maji & umeme upo. USHUANI!

Bei Tsh : 300k per month

Mawasiliano : 0753288167

WhatsApp Image 2023-01-23 at 16.15.44.jpg
WhatsApp Image 2023-01-23 at 16.15.43.jpg
WhatsApp Image 2023-01-23 at 16.15.42.jpg
 
Per square meter bei gani!?
Hv kuna upepo wa kutosha!? Hewa inapita!!?
Mimi sipendi maeneo mazito kwa hewa kama Sinza
 
Nyumba nzuri iko Geza- Kigamboni karibu na hospitali ya wilaya. Kiwanja chake ni sqm 1200. Ziko mbili ndani ya geti.

Full AC, Geti, Umeme, Maji yapooo, barabara safi kama mbele.

Kiwanja kimepimwa na kina hati safi kabisa.

Bei Tsh: 320M

Mawasiliano : 0753288167
 

Attachments

  • WhatsApp Image 2023-01-24 at 10.27.21.jpg
    WhatsApp Image 2023-01-24 at 10.27.21.jpg
    51.3 KB · Views: 15
  • WhatsApp Image 2023-01-24 at 10.25.42.jpg
    WhatsApp Image 2023-01-24 at 10.25.42.jpg
    81.3 KB · Views: 15
  • WhatsApp Image 2023-01-24 at 10.24.40.jpg
    WhatsApp Image 2023-01-24 at 10.24.40.jpg
    63.6 KB · Views: 12
  • WhatsApp Image 2023-01-24 at 10.21.42.jpg
    WhatsApp Image 2023-01-24 at 10.21.42.jpg
    67.1 KB · Views: 15
  • WhatsApp Image 2023-01-24 at 10.23.53.jpg
    WhatsApp Image 2023-01-24 at 10.23.53.jpg
    94.9 KB · Views: 12
  • WhatsApp Image 2023-01-24 at 10.21.02.jpg
    WhatsApp Image 2023-01-24 at 10.21.02.jpg
    75.2 KB · Views: 13
Kiwanja kikubwa kinauzwa Mbutu Mkwajuni

Ukubwa wa sqm 4650, viko karibu na barabara. kiimepimwa tayari.

Huduma zote za kijamii zinapatikana, maji & umeme upo. Kumejengeka TAYARI

Bei Tsh: 80M

Mawasiliano : 0753288167
 

Attachments

  • WhatsApp Image 2023-01-26 at 22.11.08.jpg
    WhatsApp Image 2023-01-26 at 22.11.08.jpg
    79.6 KB · Views: 17
  • WhatsApp Image 2023-01-26 at 22.11.06.jpg
    WhatsApp Image 2023-01-26 at 22.11.06.jpg
    74.3 KB · Views: 17
  • WhatsApp Image 2023-01-26 at 22.11.04.jpg
    WhatsApp Image 2023-01-26 at 22.11.04.jpg
    106.2 KB · Views: 16
Kiwanja kizuri mno ndani kina nyumba ukubwa wa sqm 600.Ndani ya fensi, Kimepimwa. Document zote zipo.

Mawasiliano : 0753288167

Bei Milioni 55. Maongezi kidogo yapo


WhatsApp Image 2023-01-30 at 12.48.30.jpeg
WhatsApp Image 2023-01-30 at 12.48.29.jpeg
WhatsApp Image 2023-01-30 at 12.48.28 (1).jpeg
 
Mkuu wanakuja...kama hutojali nisaidie app uliyotumia kupima hicho kiwanja nikapimie mashamba yangu
Mkuu hiyo google map boss. Alama unaweka mwenyewe kwa editting. Tuwasiliane na hivyo viwanja vayko tuvifanyie matangazo mkuu. 0753288167
 
  • Thanks
Reactions: BRN
Kipo pia huku king’azi malamba njia ya kinyerezi kwenda mbezi Bei milion 8 hakina udalali piga simu 0693300971
 
Back
Top Bottom