Plot4Sale Tunauza Nyumba, Viwanja na Mashamba. Tupo Dar

Mkuu, umejibu kwa jazba tu kiasi umesababisha asinijibu. Hujawahi ona mtu anauza nyumba ya familia then baadae inaleta migogoro? Hujawahi sikia aliyeuziwa nyumba yenye mauza uza kiasi kwamba wakashindwa kukaa?

Sababu za kuuza nyumba ziko nyingi mkuu, sio madeni peke yake.
Hakuna haja ya kuuliza swali kama hilo mana hata kama ina majini atakuambia? Sasa kama hawezi kukuambia uliuliza ili iweje!
 
Nyumba sio ya
√ familia
√urithi
√ si ya wana ndoa (mke na mume)
√ haina mgogoro (mmiliki ni kijana tu)
NB.
Sababu za kuuza ni kuwa ana mji mwingine Chanika na pia alikua na mipango yake binafsi (ya kibiashara)
Kuhusu ishu ya mauza uza hiyo ni imani yako tu.
Ukifika utapata maelezo kwa undani zaidi
Nakazia tu, ingekuwa na mauzauza au mgogoro isingetangazwa humu.
 
Habari wana jukwaa
Nyumba hii inauzwa ipo Kitunda (dar es salaam)
Ukubwa: ina vyumba vitatu, jiko, sebule, dining pamoja na public toilet.

UKUBWA WA ENEO: eneo lina ukubwa wa meter 32 kwa 34
Eneo lote limezungukwa na michongoma na migomba kidogo.

HUDUMA ZILIZOPO: maji,umeme na njia ya gari hadi ndani ya eneo la nyumba

UMILIKI: ni hati ya makazi (serikali ya mtaa)
mauzo yanaweza kufanyika kwa mwanasheria, mahakamani au serikali ya mtaa.

Bei: 40m

MAWASILIANO: 0785 857564



























View attachment 2178197View attachment 2178198View attachment 2178200View attachment 2178202View attachment 2178204View attachment 2178203View attachment 2178207
Milion 18 cash in hand mkuu.

Njoo inbox tuyamalizie mazungumzo
 
Back
Top Bottom