Plot4Sale Jiji la Dodoma na mkoa wa Dodoma kwa ujumla tunauza viwanja, nyumba, maeneo na mashamba

Mathias Raymond Nyakapala

JF-Expert Member
Mar 1, 2017
2,182
1,490
Salamu ndugu Wanajamvi,nawasalimu na kuwaomba msiache hii ikakupita popote ulipo Nchini Tanzania kwasababu kuwekeza kwenye Ardhi ni baraka na hakuna siku itapungua Thamani yake ikiwa tu umefanya uwekezaji wa uhakika na kufata taratibu za Kisheria.

Dodoma ni Mji unakuwa kwa Kasi sana kwenye miaka ya hivi karibuni 2015-2021+,kuna maeneo mengi yameshakuwa na Miji mikubwa na yamejengeka na Serikali(Jiji la Dodoma)inaendelea kupima na kugawana Viwanja sehemu mbalimbali.

Karibu tukuuzie Viwanja/Kiwanja lakini tukushauri kabla ya Kukuuzia kulingana na nini unataka kufanya kwenye hiyo Ardhi....

Sehemu ambazo tunauza Viwanja ni kama
1.Miganga North na Mkonze.
2.Mtumba na Kikombo
3.Nzuguni na Chitelera
4.Ihumwa na Iyumbu
5.Nala na Chigongwe
6.Mbalawala na Mnadani
7.Kata za Mjini Katikati zinauzwa Nyumba
8.Mashamba yanapatikana zaidi kwenye Wilaya za Bahi,Chemba,Chamwino,Kongwa na Mpwapwa kulingana na unataka kulima nini

Mawasiliano:-
Whatsapp/Sms/Call 0752464548

Mfano wa Viwanja

IMG_1853.jpg

5e2cdc8e-b32e-42ae-8adc-a9d52b4a0267.jpg

IMG_1637.jpg

IMG_0632.jpg
 
Sasa mbona hujaweka bei?

Bei za Viwanja ukihitaji karibu ofisini kwetu pia kuna namba za simu kwaajili ya bei lakini hatuwezi kuweka bei za Viwanja kwasababu unakuta kwa mfano Mtumba pekee tuna Viwanja mpaka 10 sasa tutaandika bei ya Viwanja vingapi na tukiuza tunafuta au tunafanyaje?
 
Viwanja bei kuanzia Laki Saba lakini pia Mashamba ndo unaweza kupata kwa Laki mbili.
Naona hali ya uchumi sasaivi dodoma ndio imekaa vizuri,msimu uliopita presha za watu kupandisha viwanja bei kumewatokea puani,kuna mtu aliniambia dodoma viwanja bila ya kuwa na milioni 5 hujapata bado,na ndio mwaka ambao jiji dodoma waliongoza kimapato tanzania nzima,sasa iyo laki saba naifananisha na vile viwanja vinavyopigiwaga chapuo vikindu,kisemvule na chanika
 
Naona hali ya uchumi sasaivi dodoma ndio imekaa vizuri,msimu uliopita presha za watu kupandisha viwanja bei kumewatokea puani,kuna mtu aliniambia dodoma viwanja bila ya kuwa na milioni 5 hujapata bado,na ndio mwaka ambao jiji dodoma waliongoza kimapato tanzania nzima,sasa iyo laki saba naifananisha na vile viwanja vinavyopigiwaga chapuo vikindu,kisemvule na chanika

Viwanja Dodoma havijawahi kuwa na bei kubwa sana wala kushuka soko tangu Mwaka 2012 nilipoanza kushughulika navyo ila nachofahamu ni kwamba Bajeti yako inatokana na Umbali kutoka Mjini na sehemu hiyo imetengenewa matumizi gani.

Ukitaka Viwanja vya Laki Saba unapata vizuri tu na pia ukitaka kupata Viwanja vya Milioni 5-10 pia vipo lakini huwezi kupata kiwanja mjini katikati chini Milioni 450-1 Bilion
 
Viwanja vya Iyumbu square meter 1 shs ngapi??

Viwanja sisi hatuuzi kwa Sqm ila tunauza kwa bei ambayo tunadhani itatupa faida lakini kuna sehemu Iyumbu Sqm 1 ni 10,000/=Tsh na sehemu nyingine ni Ths 6,000/=tu sasa kama unataka kununua kiwanja cha mfano Sqm 500 tunakuuzia kwa Milioni 3.5 ila ukiweka kwa Sqm kinauzwa Milioni 5 kamili.
 
Back
Top Bottom