Very true mkuu!Very true mkuu ...Morogoro road na Bagamoyo road ..Pana nafasi ya kuendelea kwa haraka
Kuanzia kibaha to chalinze ni sehemu nzuri sana kununua Ardhi ... Kuna uwezekano mkubwa miaka ya baadaye Mwendokasi ukafika mpaka chalinze
From dsm to chalinze ni 100km tuu ...Hii barabara ya kibaha to chalinze ikija tanuliwa ikawa double road Maendeleo yatakuja kwa kasi sana
Na pia Treni ya mwendokasi ikikamilika na kuanza safari za Dar to morogoro ..huu ukanda wa kibaha to chalinze utakua kwa kasi sana....
Bandari kavu kule vigwaza ikikamilika na serikali ikatilia mkazo containers zikawa zinapokelewa kule Watu ndo wataelewa jinsi gan Kibaha to chalinze very potential area
Tusisahau pia Mkoa wa pwani Ndo unaongoza kwa viwanda vingi Hususani ukanda wa Kibaha,bagamoyo na chalinze
Sent using Jamii Forums mobile app
Sure mkuu ..Sinza kuna Hadi single room ambazo ni self .Zinaenda mpaka 250k per month
Sent using Jamii Forums mobile app
Ni kweli wazee wetu leo hii wanajuta ndugu yetu alikuwa mwanajeshi anasema walipewa viwanja eneo la Kunduchi wakavikataa wakisema porini tena walifatwa kambini na wenyeviti wa vijiji wakaambiwa mje mchukue viwanja kwanini mnatoka mbali kuja kazini na kurudi njooni mchukue viwanja mjenge muwe karibu na kazini kwenu, cha ajabu walikataa lakini leo hii Kunduchi beach wanakaa matajiri huku wao wanaishi nje mji wengine vijijini huko mikoani.Hayo makosa ndo walifanya wazee wetu zamani eti ilikuwa wanasema kinondoni studio na mkwajuni pamoja na tazara ilikuwa porini ila sasa hivi hapakamatiki watanzania Sisi ni wabinafsi sana wakati mwingine kama una uwezo na nafasi wekeza kwa ajili ya watoto halafu usijenge kiache ww kanunue ujenge huko kibaha au bagamoyo unapo papenda mpaka watoto wakikua hpo kitunda pameshakuwa hot in town sometimes tuwekeze kwa ajili ya watoto wetu tuache ubinafsi.
Bei gani mkuu?Mkaribie Kibaha fully Lami bei za viwanja ni chee
Ukitoka NIDA kuelekea Pangani - Bagamoyo kuna wawekezaji wanatengeneza Bandari kavu eneo lile kuna viwanja kibao vinauzwa ... maji yapo na huduma ya umeme pia ipo
Karibuni Kibaha
Hahahahahah huko wamejaa waswahili ndio maana kumezubaa zubaa 😂😂😂 inshort Kilwa Road kumekaa kushoto. Unyama ni Bagamoyo Road na Morogoro Road. Kule lazma kuendelee maana waumini wa itikadi za Mshana Jr hawakuwa wengi
Ahahaah hatuwezi tosha ..ila nimejaribu kuchanganua faida zilizopo ukanda wa Kibaha na Bagamoyo compare to Kilwa road (kisemivule,vikindu mkuranga) na Pugu road (Chanika n.k)
Sent using Jamii Forums mobile app
kwa bei ya 100 milllion? au 10 million? Iko Samora Avenue? Kariakoo kati katit has 400 square meter
Mkuu niazime getto hilo nikagegede ntakupa service chargeupo sahihi mkuu, mimi nina lipia room kule chamazi elfu 40 kwa mwezi, nimeweka kitanda, godoro, shuka, ndoo, na taulo kwaajili ya kugegedea.
Yaani nimeokoa fedha nyingi sana na nipo huru kwenda muda wowote.
Mkuu, saivi nipo nje ya Dar, nikirudi tutayajengaMkuu niazime getto hilo nikagegede ntakupa service charge
Mzeya Kama una emergency utauza kwa bei ya kutupa lakini kama maisha yako yapo level mbona utachukua muda kuuza kwa bei unayotakaDah hii kitu inashangaza sana....japo wanasema Ardhi inapanda thamani kila siku
Sent using Jamii Forums mobile app
bei 20k kwa mweziNyumba inapangishwa tabata kinyerezi,vyumba viwili,jiko,choo na bafu,Ina fensi ,umeme na maji
Laki na nusubei 20k kwa mwezi