Msitari wa pambizo
JF-Expert Member
- Sep 25, 2014
- 2,880
- 4,883
Ukifika 10m njoo inbox
Hiyo yenye fensi ni kama kachumbari kwenye chakula. Kwamba kuna jirani yuko poa. Inayouzwa hapo ni hiyo imezungukwa na mapori....Hapo naona nyumba mbili.
Nyumba inayouzwa ni hiyo ndani ya fensi (na fremu zake) ama hii ya nje yenye vichaka?
Hiyo yenye frem ni ya jirani imepakana na hii inayouzwa mkuuHapo naona nyumba mbili.
Nyumba inayouzwa ni hiyo ndani ya fensi (na fremu zake) ama hii ya nje yenye vichaka?
SwadataaaahHiyo yenye fensi ni kama kachumbari kwenye chakula. Kwamba kuna jirani yuko poa. Inayouzwa hapo ni hiyo imezungukwa na mapori....
Panda kidogo, ongeza milioni 2 mkuu tuwasiliane.Nina milion20 mkuu kama upo serious tumalize kesho
Sorry mkuu nilichanganya tangazo naajaribu kuangalia pa kufuta sioni kabisaBoss nyumba ndo hiyo ya mabati au?
Nyumba siooni, ngoja nikanunue miwani niangalie tena!Nyumba inauzwa IPO jijini Dodoma mtaa wa Meriwa ina vyumba 3 self
Maongezi zaidi wasiliana nami 0756060183
Bei ngapi Mkuu??Nyumba inauzwa IPO jijini Dodoma mtaa wa Meriwa ina vyumba 3 self
Maongezi zaidi wasiliana nami kwa:- 0756060183View attachment 2249639View attachment 2249640View attachment 2249641View attachment 2249642View attachment 2249643View attachment 2249644
120m maongezi mkuuBei ngapi Mkuu??