Bush Dokta
JF-Expert Member
- Apr 11, 2023
- 12,161
- 20,336
Bagamoyo ipi?Yeah kweli kabisa maana bagamoyo hapo Nina shamba nauza heka moja 250,000 unaweza kununua heka 10 kwa 2,500,000 ukitoa kwenye 85 unabaki 82.5m hapo kweli unanunua shamba na unajenga nyumba kubwa na chench inabaki.
Sent using Jamii Forums mobile app