Plot4Sale Tunauza Nyumba, Mashamba na Viwanja sehemu mbalimbali

Sasa kwa nini huyo jamaa yako hakurudisha mrejesho kwa mhusika na kumwambia tu ukweli badala ya kupotea tu bila maelezo, halafu maelezo anakuja kukupa wewe?
Na wewe pia kwa nini haukumwambia ukweli jamaa kuwa umezidiwa na kazi kipindi hicho labda akutafute kwa mfano baada ya wiki mbili kama ikiwa bado hajapata mteja? Tatizo lenu madalali wa bongo mko so unprofessional... Sio wakweli kabisa yaani hamko honest na pia mna maneno mengi badala ya kumwambia ukweli mteja. Fanyia kazi hiyo na ujitahidi kubadilika, itakusaidia sana.
dovillenproperty
Dalali hana mtaji/ nauli za kuzungukia
 
Duh nimejifunza, hawa madalali wanakwamisha mno biashara alafu wana uongo uongo sana
 
Kiwanja kizuri na kama kinavyoonekana kwenye video hapa.
Bei Tsh 100m.

Maongezi zaidi wasiliana nasi

0756060183

20220628_153507.jpg
20220628_153251.jpg
20220628_153248.jpg
20220628_153251.jpg
 
NYUMBA YA GHOROFA INAUZWA BUNJU

Nyumba bado haijaisha ila imefikia hatua ya kuezeka na finishing
Ina vyumba 4 vikubwa vya kulala vyote ni self

#Stingroom#Dainingroom#kitchen#pupublicktoilet# juu pia kuna stingroom ndogo nk
Chini chumba kimoja self na juu vyumba 3 self
Ramani ya nyumba ni nzr na ni ya kisasa zaidi
Mitaa mizuri na majirani wamejenga vizuri na majengo mapya
Kiwanja kimepimwa na kuna hati
Size plot 700 SQM
BEI Tsh 195m
Maongezi zaidi 0756060183
IMG-20220714-WA0008.jpg
 
Back
Top Bottom