Plot4Sale Tunauza Nyumba, Mashamba na Viwanja sehemu mbalimbali

KIWANJA KINAUZWA MBWENI JKT

Kiwanja kina ukubwa wa 1300 SQM kimepimwa na kina hati
Bei Tsh 130m
Maongezi zaidi 0756060183
IMG_20220606_000807_129.jpg
IMG_20220606_000807_193.jpg
IMG_20220606_000807_204.jpg
IMG_20220606_000807_184.jpg
 
KIWANJA KINAUZWA MBWENI JKT

Kiwanja kina ukubwa wa 1300 SQM kimepimwa na kina hati
Bei Tsh 130m
Maongezi zaidi 0756060183

IMG_20220606_000807_129.jpg
IMG_20220606_000807_184.jpg
IMG_20220606_000807_193.jpg
IMG_20220606_000807_198.jpg
IMG_20220606_000807_204.jpg
 
NYUMBA INAUZWA BUNJU MIANZINI

Nyumba inauzwa Bunju Mianzini Kwa Kairuki

-Ina vyumba 2 vyote masta, kitchen, dining na Sitting room.

-Kiwanja ni Sqm 500 ina hati.

-Direction ni Bunju Mianzini lami mpya ya Kairuki hospital.

-Bei ni 120 milioni maongezi zaidi 0756060183

IMG_20220612_220226_662.jpg
IMG_20220612_220226_731.jpg
IMG_20220612_220226_744.jpg
IMG_20220612_220226_779.jpg
IMG_20220612_220226_784.jpg
IMG_20220612_220226_806.jpg
IMG_20220612_220226_791.jpg
IMG_20220612_220226_806.jpg
IMG_20220612_220226_820.jpg
IMG_20220612_220226_845.jpg
IMG_20220612_220226_848.jpg
 
Attachments

  • IMG_20220612_220226_779.jpg
    IMG_20220612_220226_779.jpg
    64.6 KB · Views: 15
KIWANJA KINAUZWA MBWENI MALINDI

Kiwanja kimefes lami mpya iendayo block 8
Size plot 1100 SQM
Bei Tsh 120m
Mawasiliano 0756060183

20220614_163843.jpg
20220614_163845.jpg
20220614_163832.jpg
 
KIWANJA KINAUZWA MBWENI MALINDI

Kiwanja kimefes lami mpya iendayo block 8
Size plot 1100 SQM
Bei Tsh 120m
Mawasiliano 0756060183

20220614_163845.jpg
20220614_163843.jpg
20220614_163832.jpg
 
NYUMBA INAUZWA BUNJU MIANZINI

Nyumba inauzwa Bunju Mianzini Kwa Kairuki

-Ina vyumba 2 vyote masta, kitchen, dining na Sitting room.

-Kiwanja ni Sqm 500 ina hati.

-Direction ni Bunju Mianzini lami mpya ya Kairuki hospital.

-Bei ni 120 milioni maongezi zaidi 0756060183

View attachment 2258753View attachment 2258754View attachment 2258755View attachment 2258756View attachment 2258758View attachment 2258759View attachment 2258760View attachment 2258761View attachment 2258762View attachment 2258763View attachment 2258764
nikilipa hyo 120m hela yako iko humo humo kama agent? au nikilipa hyo 120m nimupe tena hela na wewe asante?
 
KIWANJA KINAUZWA TEGETA MASAIT

Kiwanja kipo tegeta masaiti sq1400 kina hati miliki kinauzwa milioni 150 maongezi yapo kimenyoka sana kipo pazuli sana

0756060183
20220618_123326.jpg
20220618_123323.jpg
20220618_123318.jpg
20220618_123309.jpg
20220618_123150.jpg
20220618_122647.jpg
 
Hii nyumba inauzwa 380ml ipo tegeta block D ina square meter 1800,nyumba kubwa ina vyumba 4 kimoja master, ina servant sebule chumba master na kuna mabanda ya kuku makubwa ambayo yanaweza kuchukua kuku zaidi ya 2000 kwa mawasiliano zaidi 0756060183

IMG-20220623-WA0037.jpg
IMG-20220623-WA0034.jpg
IMG-20220623-WA0035.jpg
IMG-20220623-WA0036.jpg
 
Hivi ndugu unapataga wateja kweli??nakumbuka nilikupaga kazi ya kuuza Nyumba yangu moja Dar ukashindwa,yaani kwenda tu site kwako ni ngumu,nikakupa kazi ya Nyumba nyingine DODOMA nayo ukashindwa(ukaniunganisha na jamaa yako gani sijui wa DODOMA kwamba atakuja kuiona,tukaongea wote kwenye simu na hakuwahi kutokea!!!),mpaka leo nikionaga matangazo yako JF huwa sielewi ufanyaji wako wa kazi ulivyo
 
KIWANJA KINAUZWA MBWENI MALINDI

Kiwanja kipo mbweni Ubungo/malindi kama unaelekea Teta. kina ukubwa wa 1525 SQM.

Kimepimwa na kina hati.
Bei Tsh 90m
Maongezi zaidi wasiliana nasi kwa 0756060183
20220624_172356.jpg
20220624_172354.jpg
20220624_172352.jpg
 
Hivi ndugu unapataga wateja kweli??nakumbuka nilikupaga kazi ya kuuza Nyumba yangu moja Dar ukashindwa,yaani kwenda tu site kwako ni ngumu,nikakupa kazi ya Nyumba nyingine DODOMA nayo ukashindwa(ukaniunganisha na jamaa yako gani sijui wa DODOMA kwamba atakuja kuiona,tukaongea wote kwenye simu na hakuwahi kutokea!!!),mpaka leo nikionaga matangazo yako JF huwa sielewi ufanyaji wako wa kazi ulivyo
Kwanza sorry mkuu! Kuuza tunauza na pia saa nyingine tunazidiwa na kazi ila pia tunao wajibu wa pamoja kukumbushana. Ile ya Dodoma jamaa yangu amesema ni nje sana ya mji uuzaji wake utachukua mda sana. Hii ya madale kama bado hujauza tunaweza kuwasiliana kesho nikapaone
 
Sasa kwa nini huyo jamaa yako hakurudisha mrejesho kwa mhusika na kumwambia tu ukweli badala ya kupotea tu bila maelezo, halafu maelezo anakuja kukupa wewe?
Na wewe pia kwa nini haukumwambia ukweli jamaa kuwa umezidiwa na kazi kipindi hicho labda akutafute kwa mfano baada ya wiki mbili kama ikiwa bado hajapata mteja? Tatizo lenu madalali wa bongo mko so unprofessional... Sio wakweli kabisa yaani hamko honest na pia mna maneno mengi badala ya kumwambia ukweli mteja. Fanyia kazi hiyo na ujitahidi kubadilika, itakusaidia sana.
dovillenproperty
 
Kwanza sorry mkuu! Kuuza tunauza na pia saa nyingine tunazidiwa na kazi ila pia tunao wajibu wa pamoja kukumbushana. Ile ya Dodoma jamaa yangu amesema ni nje sana ya mji uuzaji wake utachukua mda sana. Hii ya madale kama bado hujauza tunaweza kuwasiliana kesho nikapaone
Mkuu,kwanza nilishaghairi siuzi tena.
Pili,unaposema nyumba ya DODOMA ipo "NJE SANA YA MJI"hivyo kuuzika itakuwa ngumu unakosea sana. Kwa anayeifahamu NALA ya Kwanza hawezi kusema ni "Nje Sana ya Mji"wakati ni mwendo wa dakika 10 tu kwa gari kutoka City Centre!!ni km 12 kutoka City Centre ambako Maji na Umeme vipo, sasa huyo jamaa yako alitaka nijenge nyuma ya Ukumbi wa Bunge ndio aseme ipo Mjini??Mahali ambapo nimepangisha na kila mpangaji analipa Kodi Tsh.Laki.Moja kwa Mwezi (Chumba,Sebule,Jiko,Choo&Bafu) panakuwaje "Nje Sana ya Mji"?
Sishangai,maana hata wakati nanunua viwanja Madale mwaka 2013, rafiki zangu wengi walikuwa wananishangaa eti nanunua Viwanja "Nje Sana Ya Mji au wengine walisema ni Porini". Leo hii Barabara ya Lami imepita mpaka hukohuko walikokuwa wanasema ni Porini. Na cha kushangaza haohao waliokuwa wanakuita porini,leo hii wamekuja kujenga porini zaidi yangu wamejenga MADALE MBOPO huko hivyo wanapita kwanza kwangu ndio wanaenda kwao kilometa 25 na wengine km 30 kabisa. Njoo uone watu walivyoshusha mijengo ya maana halafu useme ni "Nje Sana ya Mji". Au uliza tu Bei ya Viwanja sasa hivi pale Nala ya Kwanza halafu useme tena ni "Nje Sana ya Mji". Mahali ambako huduma za kijamii zimefika kama Maji,Umeme,Shule,Vyuo(Kuna Chuo cha Afya Decca,IFM na CBE Campus ya DODOMA zinajengwa,Ben Carson International School nk) hapawezi kuwa nje sana ya Mji. Na tena unaanza kwanza kufika kwangu ndio unaenda kwenye hizi Taasisi,halafu unaambiwa ni "Nje Sana ya Mji" nawe unakubali unaamua kukaa kimya tu!!!Za kuambiwa changanya na zako.
 
Back
Top Bottom